Fiston Mayele Aanza Balaa FC Pyramids, Apiga Hat-trick

 

Fiston Mayele Aanza Balaa FC Pyramids, Apiga Hat-trick

Fiston Mayele ameanza na kutupia katika mchezo wake wa kwanza akiwa na Jezi ya timu yake mpya ya Pyramid ambao waliumana na Bardur FC ya Uturuki.


Hii ni mehi ya kwanza kuanza katika kikosi cha Pyramids na amefunga bao tatu (3) ikiwa Pyramid imeibuka na ushindi wa bao 7 - 0.


Miamba hii ya Misri imepiga Kambi Uturuki ikijiandaa na Ligi kuu ya Misri na michuano ya kimataifa ambapo wapo kwenye Ligi ya mabingwa.


Mipango Yao ni kubeba ubingwa wa michuano yote wanayoshiriki na hii ni mara ya kwanza kwao kushiriki Ligi ya mabingwa Afrika.


Mpinzani wao kabla ya kutinga makundi ni APR ya Rwanda ambao APR wataanza Nyumbani Rwanda Kisha Cairo Misri.


Tazama Video hapa chini;




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9EsMm3w
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI