Matokeo Yanga vs ASAS Leo 26 August 2023

Matokeo Yanga vs ASAS Leo 26 August 2023
Matokeo Yanga VS ASAS


Matokeo Yanga vs ASAS Leo 26 August 2023

Siku ya kesho Yanga watashuka dimbani Tena kuvaana na Asas Fc katika mchezo wa pili CAF 

CHAMPIONS league hatua ya awali.

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya awali dhidi ya Asas Fc

Mechi ya kwanza Yanga iliibuka na ushindi wa goli 2-0 katika uwanja wa Azam complex chamazi ambapo kiitifaki Yanga walikuwa wageni kwa ASAS FC.

Mechi itapigwa majira ya saa kumi na moja jioni 17;00


MATOKEO YANGA Vs ASAS

YANGA 0:0 ASAS




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/SCdoft9
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI