Nchi 10 Duniani Zinazoongoza Kuwalipa Walimu Mishahara Mikubwa

 

Nchi 10 Duniani Zinazoongoza Kuwalipa Walimu Mishahara Mikubwa

 Nchi 10 Duniani Zinazoongoza Kuwalipa Walimu Mishahara Mikubwa

Malalamiko juu ya mishahara midogo kwa walimu yamekuwa yakisikika katika maeneo mengi duniani, lakini licha ya malalamiko hayo yapo maeneo ambayo walimu hulipwa mishahara mizuri zaidi.


Huko nchini Luxembourg walimu wa sekondari wa chini walio na uzoefu wa zaidi ya miaka 15, hupata hadi kiasi cha TZS 254,663,728.


World Economic Forum imetoa orodha ya nchi 10 duniani zinazowalipa walimu mishahara mikubwa zaidi.


10. Austria : $62,882 (Sawa na TZS 146,640,824) 9. Ireland : $62,906 (Sawa na TZS 146,696,792) 8. Denmark: $64,259 (149,851,988) 7. Mexico: $64,491 (Sawana TZS 150,393,012) 6.United States: $65,248 (Sawa na TZS 152,158,336) 5.Australia: $65,714 (Sawa na TZS 153,245,048) 4: Canada: $71,664 (Sawa na TZS 167,120,448) 3. The Netherlands: $81,064 (Sawa na 189,041,248) 2. Germany: $91,041 (212,307,612) 1. Luxembourg: $109,204 (Sawa na 254,663,728)


Utafiti linganishi wa Nation Newsplex na Taasisi ya Masuala ya Kiuchumi umeonesha kuwa nchini Kenya walimu hulipwa vizuri zaidi Afrika Mashariki, ambapo huweza kulipwa hadi KES 116,000 (Sawa na TZS 2,252,389.66) kwa mwezi kulingana na Salary Explorer.com.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/7VYcUT0
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI