Shughuli ya Azam FC na Fei toto wao Imeisha Vibaya, Watolewa Shirikisho


Azam FC imetolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) hatua ya awali na klabu ya Bahir Dar Kenema ya Ethiopia kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika Uwanja wa Azam Complex jijini Dar.

Mechi ya kwanza Ethiopia Bahir ilishinda mabao 2-1 na leo Azam ikiwa nyumbani ilishinda mabao 2-1 hivyo kufanya matokeo ya jumla 3-3. spoti

Bahir Dar Kenema inatinga hatua ya kwanza CAFCC na mshindi atatinga hatua ya makundi.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/qArs0b3
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI