Singida Fountain Gate Wachapwa Goli 2 na JKU Chamazi

 

Singida Fountain Gate Wachapwa Goli 2 na JKU Chamazi

 Singida Fountain Gate Wachapwa Goli 2 na JKU Chamazi

Timu ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ imefanikiwa kwenda hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-0 na JKU ya Zanzibar leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.


Mabao ya JKU leo yamefungwa na Nassor Juma dakika ya saba na Gamba Matiko dakika ya 42 na kwa matokeo hayo Singida Big Stars inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3 kufuatia kushinda 4-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita na sasa watamenyana na Future ya Misr



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/iTeNgqV
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI