Baba Levo: BASATA kuweni macho na Nay qa Mitego Anataka toa Wimbo Mpya

Baba Levo: BASATA kuweni macho na Nay qa Mitego Anataka toa Wimbo Mpya

 

Mwanamziki maarufu kutoka nchini Tanzania BABA LEVO,ameonekana kuwa na wasiwasi na nyimbo mbili alizotangaza msanii mwenzake NAY WA MITEGO kuziachia,huku Nay akiwataka mashabiki wachague gani ianze kuna ya michano na ya kujirusha.


Wasiwasi wa Baba Levo unatokana na kile kwamba Nay amekuwa msanii wa kufungiwa nyimbo sana na Baraza la sanaa nchini humo BASATA kila mara anapotoa nyimbo,Levo ameiomba BASATA kua macho.


"Nina ngoma mbili hapa zipo tayari Kuna club banger na la michano,tuanze ipi hapa semeni wanangu' huku Baba Levo akijibu...`BASATA njooni chap anatoa huku...," amesema BABA LEVO



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CYOrPyw
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI