Timu ya Messi Inter Miami wapokea kichapo Fainali ya US Open Cup 2023

 

Inter Miami

Klabu ya Inter Miami leo alfajiri imekubali kichapo cha 2-1 magoli dhidi ya Houston Dynamo FC kwenye mchezo wa Fainali ya US Open Cup 2023 uliopigwa katika dinmba la DR PNK huko nchini Marekani.


Inter Miami imepokea kipigo hicho huku ikiendelea kumkosa nahodha wake majeruhi Lionel Messi ambaye alishuhudia Houston Dynamo ikitwaa taji la US Open 2023 akiwa jukwaani.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/iLonU1c
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI