Fabrice Ngoma Man of the Match Simba Vs Al Ahly



Ile namba 6 iliyonyakuliwa pale AIRPORT sio Mwalimu wa Viungo kweli .

Ligi yetu imebarikiwa kuwa na Mwalimu wa Viungo,Fabrice Ngoma Luamba.

Kiungo aliyajaliwa nidhamu ya hali ya juu akiwa Uwanjani,huwezi kuona akipata adhabu za kadi ama madhambi ya hatari.

Fabrice Ngoma Timu ikiwa inashumbuliwa amekua msaada mkubwa kwa Mnyama katika kurudi chini kabisa katika kuzuia na kuziba nafasi.

Wakati yupo na mpira anakua na utulivu wa hali ya juu,pasi yake,hapotezi mipira "kizembe".

UTULIVU MKUBWA!KAZI YA KUTOSHA!WHAT A PLAYER.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9eTFdOI
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI