Habari Njema...Straika Hatari wa Ahly Kuwakosa Simba SC

 

Habari Njema...Straika Hatari wa Ahly Kuwakosa Simba SC

Modeste hatakuwa sehemu ya kikosi cha Al Ahly kitakachoondoka kuja Tanzania kuvaana na Simba SC.


Modeste alikuwa kwenye mipango ya kocha wa Ahly Marcel Koller lakini cha kusikitisha ni kwamba amepata baridi kali na ndiyo maana atakosa safari ya Tanzania



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/6MjAV3h
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI