Kauli Kwanza ya Paul Makonda Baada ya Kukabithiwa Ofisi Lumumba Leo


Makonda “Nitafanya kazi kwa uaminifu nisimuabishe Mungu na M/Kiti wa Chama kwa kupeleka jina langu”

Katibu Mwenezi wa Itikadi wa CCM @baba_keagan amekabidhiwa ofisi na kuzungumza kuhusu majuhukumu yake mpya huku akisema atakuwa mwaminifu ili asimuangushe Mungu pamoja na Mwenyekiti wa Chama Rais Samia Hassan Suluhu.

Makonda amesema atajifunza kwa viongozi waliomtangulia kama Shaka, Sophia Mjema pamoja na Nape Nnauye ili aweze kutekeleza vyema majukumu yake hayo mapya ndani ya siasa.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GDchks1
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI