Kocha Pitso Mosimane apewa "Thank You" Al Wahda, Kisa Matokeo Mabaya

Kocha Geita Gold atakiwa kujisalimisha kwa Mkurugenzi« NyumaMbele »Comments (0) WhatsApp Facebook Twitter Email This Kocha Mkuu wa Geita Gold, Hemed Suleman 'Morocco' Kocha Mkuu wa Geita Gold, Hemed Suleman 'Morocco' Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi amemtaka kocha mkuu wa timu ya Geita Gold inayomilikiwa na halmashauri hiyo afike ofisini kwake mara moja kueleza kiini cha matokeo mabaya. Zahara ametoa maelekezo hayo katika mahojiano maalum na waandishi wa habari mjini Geita na kueleza haridhishwi na mwenendo wa timu hivo benchi la ufundi wafike kumueleza kikwazo ni nini. Geita Gold Fc inafundishwa na kocha Hemed Suleiman, ambaye tangu apewe dhamana hiyo, imecheza michezo nane ya ligi kuu ya Tanzania bara na kupoteza michezo minne, kupata sare tatu na ushindi mmoja pekee.


Uongozi wa klabu ya Al Wahda umemfuta kazi kocha wake mkuu, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini kufuatia mwenendo usioridhisha wa matokeo katika klabu hiyo iliyopo ligi kuu ya Falme za Kiarabu (UAE),


Hapo jana klabu hiyo ilipokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Shabab Al Ahli Klabu ya Al Wahda sasa inakamata nafasi ya 6 ikiwa na alama 9 latika ligi kuu nchini humo.


Unadhani Pitso anafaa kuja Timu gani hapa Bongo? Tupe maoni yako



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/tqDxBYX
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI