Edo Kumwembe 'Yanga Walijisahau Wakajiona wao ni Mamelodi Sundown's au Al Ahly'


Edo Kumwembe

“Majuzi nilikuwa nawasifu Yanga namna ambavyo wanakuwa bora wakati hawana mpira. Katika mechi hii hawakuwa na ubora wowote ule wakati hawana mpira. Walijisahau na kujiona wao ni Al Ahly. Walijisahau na kujiona wao ni Mamelodi Sundowns. Wakajisahau na kujiona wao ni Man City. Nyodo za kujaribu kucheza vizuri na kusaka wakiwa ugenini zikawaponza Yanga.” - Edo Kumwembe

from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/WpjQr78
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI