Maskini Gigy Money Ataka Kujiua KISA Video yake ya Ngono Kusambaa Mtandaoni, Aweka Kitanzi

 

Maskini Gigy Money Ataka Kujiua KISA Video yake ya Ngono Kusambaa Mtandaoni, Aweka Kitanzi

Msanii wa maigizo, muziki na mwanamitandao Gift Stanford Joshua maarufu kama #GigyMoney ameibua hofu na mijadala mtandaoni baada ya kuweka mtandaoni ujumbe wenye ishara za kutaka kujioa uhai.


Gigy ameweka picha ya kitanzi kwenye ukurasa wake Instagra na maelezo kuwa anafanya kila analoweza kwa nia ya kusaidia mwanae wa kike lakini anajihisi kuwa kwa sasa anaelemewa na anatamani kupumzika.


"God Am tired.... I want to rest... when God... am so weak God you say I have to depend. On you.. uko wapi ... this is too Much for Me God ..Mung najaribu kwa ajli ya uyu binti tu lakini nimechoka nataka kupumzika" amenadika Gigy kisa akaondoa post hiyo ndani ya muda mfupi.


Hata hivyo ujumbe huu unakuja masaa kadhaa tangu kusambaa kwa njia ya mtandao kwa video anayotajwa kuonekana akishiriki mapenzi na mwanaume faragha.


Aidha, kupitia mitandao baadhi ya wadau na wapenzi wa kazi zake wamelaani kitendo cha kurekodi na kusambazwa kwa picha hizo za faragha ambazo baadhi yao wanadai anayeonekana kwenye video hiyo ni Gigy.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/82GXMf0
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI