Mchezaji John Bocco Kumaliza Mkataba Wake Simba, Kupewa Shavu Hili na Simba


John Bocco
John Bocco Kumaliza Mkataba

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.

Kapteni John Bocco inatajwa hayupo kabisa kwenye mipango ya klabu ya Simba baada ya mkataba wake kumalizika, na mpaka hivi sasa tayari klabu imempa taarifa kuwa itaachana nae hivi karibuni.

Simba inamtazama John Bocco kuwa miongoni mwa washauri wa timu hiyo baada ya mkataba wake wa utumishi kwa Wekundu wa Msimbazi kumalizika, Simba inasubiri ripoti ya Bocco mwishoni mwa mwezi ujao kama atakubali wadhifa huo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GY5UQPv
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI