Mrembo Wema Sepetu Aipigia Saluti Jezi ya Yanga

Mrembo Wema Sepetu Aipigia Saluti Jezi ya Yanga


Muigizaji Wema Sepetu amevutiwa na 'jezi' za klabu ya Yanga zilizozinduliwa mchana wa leo ambazo zitavaliwa katika michuano ya ligi ya mabingwa Africa (CAFCL).


Wema kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa uongozi wa Yanga na kwa mtengenezaji wa 'jezi' hizo Sheria Ngowi kwa kutumia umaridadi mkubwa katika kuzitengeneza.


kwa upande wako umekubali uzi upi katika 'jezi' hizo ?



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/liG2VxD
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI