TANZIA: Mtoto wa Naziz Afariki Dunia Akiwa Hotelini Tanzania


TANZIA: Mwanamuziki kutoka Kenya Nazizi amefiwa na mtoto wake Jazeel

Kwa mujibu wa ujumbe uliochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Nazizi umeeleza kuwa #Jazeel amefariki akiwa nchini Tanzania kwaajili ya mapumziko ya Christmas

Barua hiyo haijaeleza kwa undani sababu ya kifo cha mtoto huyo lakini imeeleza kuwa kuna tukio lililotokea wakiwa Hotelini ambalo limepelekea kifo Chake

Tukio hilo limetokea December 25,2023 siku ya Sikukuu ya Christmas. Tayari mtoto huyo amezikwa nchini Kenya siku ya leo


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/SIavtXo
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI