Posts

Hii Ndio Jinsi ya Mwanamke Kuepuka Kuwa Mchepuko

Image
Mara nyingi asilimia kubwa ya wanawake hupenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini baadae wanapotambua kwamba mwanaume huyo ameshaoa hushangaa sana, huumia na kusema waliwaamini kuwa wako single na kwamba wanaume wote ni mbwa tu. Wanaume sio mbwa au paka shume, ni nyie wenyewe ndio mnashindwa kuwaelewa na hamtaki kufanya uchunguzi. Mlishaambiwa kwamba nyuma ya mwanaume mwenye MALI na MAFANIKIO kuna mwanamke. Na wewe unataka mwanaume aliyefanikiwa. Unategemea nini? Kama utakutana na mwanaume ambae ni handsome, ana mali, anaendesha gari nzuri, yuko vizuri kiuchumi, basi huyo sio mumeo mtarajiwa, huyo ni mume wa mtu fulani kwa muda huo. Ni agharabu sana kukutana na mwanaume anayejiweza halafu akawa single, either uwe shareholder au unyang'anye share zote za mwanamke mwenzako kitu ambacho sio busara hata kidogo. Mume wako mtarajiwa yupo anahangaika kutoka na maisha, anapigania ndoto zake. Huenda yupo shambani, Konda wa Dala dala, yupo anauza duka mahali, anapiga kitabu ...

Polisi Dar Hawataki Mchezo Kabisa..Yauwa Majambazi Watatu

Image
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewaua majambazi watatu na kukamata silaha mbili aina ya Short Gun Pump Action na Bastola aina ya Browning. Mnamo tarehe 26.07.2020 majira ya saa mbili usiku Jeshi la Polisi Kanda Maalum lilipata taarifa kuwa huko maeneo ya Mbagala Chamanzi kuna gari lenye namba T 855 ATE aina ya Nissan X-Trail likiwa na watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika harakati za kufanya uhalifu. Baada ya kupata taarifa hizo kikosi kazi cha kupambana na ujambazi kiliweka mtego katika eneo hilo na baada majambazi hao kuhisi wanafuatiliwa na Polisi ghafla walianza kupiga risasi hovyo kwa hofu na ndipo askari wakaamua kujibu mapigo kwa kulishambulia gari la majambazi hao na kufanikiwa kuwaua papo hapo majambazi watatu na jambazi mmoja akafanikiwa kukimbia. Askari walifanya upekuzi ndani ya gari la majambazi hao na kumkuta jambazi mmoja akiwa amevalia mavazi ya Jeshi la Polisi aina ya kombati za kijani (JUNGLE GREEN) na kofia aina ya bareti ny...

Yanga Yapeleka Mkataba wa Morrison FIFA

Image
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umepeleka mkataba wa kiungo wao, Bernard Morrison kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) pamoja na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ili waweze kuamua suala la utata wao. Utata wa mkataba wa Morrison na Yanga umezidi kushika kasi ambapo kila upande unavutia kwao. Morrison anasema mkataba wake na Yanga ulikuwa ni miezi sita tu na tayari umeisha, huku Yanga wakisema kuwa ana mkataba hadi 2022. Akizungumza na Spoti Xtra, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, alisema kuwa suala la Morrison uongozi umelichukulia kwa uzito jambo lililowafanya wapeleke mkataba wa mchezaji huyo CAF na FIFA. “Tumepeleka mkataba wa Morrison CAF na FIFA, wao wana mamlaka kwenye masuala ya michezo, hatufanyi mambo kwa kubahatisha, hivyo hilo suala lake ninaweza. STORI: LUNYAMADZO MLYUKA, DAR from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2D3yS0w via IFTTT

Chanzo Cha Ajali ya Boti iliyoua watu 10 Chatajwa

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema kuwa watu 10 wamefariki Dunia huku wengine 100  wakiokolewa, baada ya Boti iliyokuwa ikitokea maeneo ya Sibosa kupigwa na dhoruba kisha kugonga mwamba na kupasuka ndani ya Ziwa Tanganyika. Kamanda Manyama ametoa taarifa hiyo hii leo Julai 31, 2020, wakati akizungumza na EATV&EA Radio Digital, ambapo amesema kuwa ajali hiyo ilitokea jana Julai 30 majira ya saa 5:00 Asubuhi. "Boti iloikuwa na watu karibia 100, na ilipokuwa ndani ya maji ilikumbwa na dhoruba kali na kugonga mwamba kisha kupasuka, na watu takribani 100 wameokolewa na kusababisha vifo vya watu 10, Wanawake3, Mwanaume 1 na watoto 6, zoezi la uokoaji linaendelea leo tuna mashaka huenda kuna miili ndani ya maji" amesema Kamanda Manyama. Aidha kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Uvinza  Dkt Ruben Mwakilima, amesema kuwa miili imehifadhiwa katika Zahanati ya kalya na tayari miili ya watu wanne imekwishachukuliwa na ndugu zao. fr...

Meneja wa Harmonize Afunguka Kumng'oa Harmonize WCB

Image
Meneja wa msanii Harmonize Dr Sebastian Ndege maarufu kama Jembe ni Jembe, amesema alikuwa anatuhumiwa na watu suala la kumchukua Harmonize kwenye menejimenti aliyokuwa ili aweze kufanya naye biashara. Akizungumza kwenye Show ya SalamaNa inayoruka kila siku ya Alhamisi saa 3:00 usiku kupitia East Africa TV, Sebastian Ndege amesema kuna hisia tatu ambazo watu walikuwa na mashaka naye wakati anamchukua Harmonize. "Kuna hisia tatu ambazo watu walikuwa wana mashaka mimi kuwa meneja wa Harmonize, moja ni kumfelisha dogo, mbili ni kumpoteza tatu ni kumtoa WCB, lakini ukweli ni kwamba mimi nilisubiri muda wake uishe ili niweze kufanya naye kazi" amesema Meneja wa Harmonize Dr Sebastian Ndege  from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3jRqfqF via IFTTT

Kutana na Mzee Chief Mlope Bingwa wa Asili

Image
Mzee chifu mlope ana uwezo mkubwa aliojaliwa na mwenyezi mungu wa kusoma DUA🌎🌍 na VISOMO kwa wenye matatizo yaliyoshindikana mzee huyu atakusaidia, pia ninatibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia mitishamba. 1/➡je umeachwa na mme, mke, au mpenziπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ wako ukiwa bado unampenda? chifu malunde atamrudisha umpendae kwa muda wa masaa manne (4)tu na atakutafuta mwenyewe na kuanza kutimiza ahadi zako zote alizokuahidi na kumfunga  asiwe na mtu mwingine, mzee chifu mlope atakusaidia kumpata yoyote unayemhitaji kwenye mahusiano na aliye mkorofi ndani ya ndoa atatulia na kutunza familia. 2/➡je una mikosi inayokusumbua kwenye maisha yako? mzee mlope atakuondolea mikosi yako yote kwa kusafisha nyotaπŸ’«πŸŽ‡ yako na kuing'risha ili uwe na mafanikio makubwa kwenye maisha yako. . 3/➡mzee chifu mlope hutoa pete πŸ’πŸ’πŸ’na mikufu ya bahati ambayo itakufanya uwe na mafanikio makubwa kwenye shughuli zako, utoaji huu wa pete na mikufu inatolewa kulingana na nyota ya mhusika. 4/➡je unahitaji kushind...

UCHEBE afunguka tetesi za kupata MWANAMKE mwingine baada ya SHILOLE 'Waowaji wachache sana'

Image
UCHEBE afunguka tetesi za kupata MWANAMKE mwingine baada ya SHILOLE 'Waowaji wachache sana' Tazama Hapa Chini: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/318mSDf via IFTTT