SI KILA MTU ATAKUWA SAWA NA EX WAKO
Habari wapendwa wangu,,,natumaini mko salama,,,,nataka niseme na wewe ambaye hadi sasa umeinama na moyo wako umeinama,,,,kila ukitaka kupiga hatua unaogopa yale uliyotendewa,,,,,Ila naomba nikusaidie kitu,,,jambo la kwanza ongeza upendo kujipenda wewe mwenyewe na kupitia hili utaona uzuri na uthamani wako unaongezeka,,,,,pili jua kuwa kama moyo umeinama na umri unaenda umejawa na Uoga,,,,,,BASI INUA MIKONO YAKO KWA MUNGU...yupo kukufuta chozi lako maana wewe ni mwanae mpendwa,,,,,,na ukifika hatua umeanza kuomba basi jenga imani kuwa atakuinulia mtu sawa na ulivyo omba,,,,pia ukiwa unamwomba Mungu epuka kuwa na mashaka,,,,pia kuna wengine wamekosa kujua kuwa kama ulimwomba Mungu ni dhahiri utamjua mtu wako maana tayari tabia za x wako ulizijua so utakuwa makini.....pia kama ushaanza mahusiano usikae kumfananisha na x wako,,,,so unahitaji kuwa huru na kushea furaha yenu,kama anakupenda mpende,kama anakufurahia mfurahie,,,,usichukue mazingira ya x wako kuyaleta kwenye penzi jipya hautafurahia mahusiano yako.
from Utundu kitandani http://bit.ly/2UKJ2Lr
via IFTTT
Comments
Post a Comment