Posts

Showing posts from June, 2019

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI

from Utundu kitandani https://ift.tt/2ZWlcKL via IFTTT

UVUMILIVU NI MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO

Image
Habari yako msomaji wangu,,,naomba nikukumbushe kuwa katika safari ya mahusiano,,utakutana na wengi,,utawatamani wengi ila tambua katika hao wote ni mmoja tu ndo anatakiwa,,kama umempata jifunze kumtengeneza awe sawa na hitaji lako,,,katika mahusiano kama mnasikilizana na kuelewana ni rahisi sana kufika mbali,,,hivyo katika kipindi cha kujuana jitahidi kuwa na uvumilivu maana hakuna mabadiliko ya siku moja hasa ndani ya mtu,,unahitaji kimchukulia,,kumvumilia,,kumwombea na kumshauri,,wakati mwingine utakutana na changamoto please simama imara jua hilo ni daraja lako lakupita,,tianeni moyo siku zote,,mtegemeeni Mungu,,tafuteni amani,,epukeni kuhukumiana bali jifunzeni kusameheana,,hakika mtaona mkono wa Mungu na mtafurahiana. from Utundu kitandani https://ift.tt/2KMex24 via IFTTT

WANAWAKE TU;JIKUBALI NA MTEGEMEE MUNGU UTAFANIKIWA

Image
Maandiko katika kitabu cha biblia yanasema"MWANAMKE AMCHAYE BWANA ATASIFIWA"nikwambie kitu msomaji wangu sikuzote mtu ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu,,atakuwa na ujasiri na imani,,pia mwanamke jifunze hili,usipoteze muda wako kumlazimisha mtu NA usifanye mambo ambayo yatakugharimu kisa tu upendwe,,jitambue na mpe nafasi Mungu,,jiamini kama mwanamke,,jitume acha utegemezi,,kwa kidogo unachopata jitunze,,pendeza,,vaa vizuri,siyo unajichooka hadi siyo poa,,pendeza wakati wote huku ukimtumaini na kumtegemea Mungu,,hakika hutakuwa wa kawaida,,Mungu atakufurahisha tu kwa mumeo na kama hujapata basi atakuja anayeendana na hadhi yako,,acha kujiweka chini jikubali wewe ni mzuri na mrembo. from Utundu kitandani https://ift.tt/2XxRuyf via IFTTT

NJIA 8 ZA KUGUNDUA IWAPO MWANAMKE AMEPANDWA NA HAMU KANDO YAKO

Image
Je unaweza kutambua iwapo mwanamke amepandwa na nyege akiwa kando yako? Well, kama unazifahamu ishara bayana basi inakuwa rahisi kwako.Ok, tuanze hivi. Hebu chukulia umeketi na marafiki zako wa kiume na wa kike halafu ghafla rafiki yako mmoja akaanza kuonyesha ishara fioa ambazo wewe pekee ndio umezitambua kuwa amepandwa na nyege na anataka ufanye makamuzi ya haraka haraka. Hiki ni kipawa kilioje? Sasa waonaje kipawa hiki cha kutambua mwanamke kama amepandwa na nyege bila hata kumgusa wala kumchungulia mwili wake wa ndani kiwe unakimiliki? Relax, Nesi Mapenzi iko hapa. Tutakupa ishara zote tuzijuazo hapo chini.Zama nasi… #1 Anakuangalia kana kwamba wewe ni nyama iliyotandazwa vyema Kwa lugha nyingine tunaweza kuita ‘macho ya mahabat’ ama ‘macho ya mlalano’. Kuna mtizamo wa macho ambao mwanamke atakuangalia tofauti na vile ambavyo unamtambua kukuangalia. Hii ni ishara ya kukuambia kuwa amekupa nafasi ya wewe uchukue hatua ya kwanza kwake. Utamwona kuwa mara kwa mara anat...

FAIDA ZA KUKATA KIUNO KWENYE SITA KWA SITA

Image
Nikabidua kiuno changu kilichokua kimeumbika vizuri kwakweli, nikaona John macho ya tamaa yakimtoka nikainama ile staili ya mbuzi kagoma kwenda, John mwenyewe akanisogelea bila kuitwa akapitisha mashine yake kwangu!! Aaah raha ya ajabu kwakweli, nikaanza kuzungusha kiuno changu kama mcheza sebene vile aah John akawa akinung’unika kwa raha tu huku mchezo ukiendelea mara bao la kwanza hilooo, naona John katoka mmh mwanaume mvivu huyu bao moja tu kachoka. Kwakweli bado nikawa sijaridhika jamani, nikamgeukia John nikaanza kuchezea mapumbu yake huku nikimbinyabinya John mwenyewe akainuka tena kwa mchezo wa kusaka goli la pili, nikamwambia “John nipe tena mpenzi” kwa sauti yangu tu John akazidi kupagawa akanifata tena nami nikambwaga kitandani halafu nikaikalia na kuanza mbwembwe zangu za kukatika mmh John alipagawa pale kitandani na kusema “Amina, umejifunza wapi haya mpenzi?” nilifurahi jamani maana ndio kwa mara ya kwanza John kuniita mimi mpenzi. Nilihakikisha nampa mahaba...

ZIJUE FAIDA 17 ZA KUJAMIIANA

Image
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele. Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupung...

MAMBO YA KUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA

Image
Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba. Sababu hizo zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke, mwanamume au wakati mwingine kutojulikana kabisa hali hiyo imesababishwa na nini. Wataalamu wanasema kwamba kwa miaka 20 iliyopita matatizo yanayohusu kushindwa kuzaa yameongezeka kwa kiwango kikubwa na asilimia 25 ya watu wanaotaka kubeba mimba na kuzaa mtoto wanakabiliwa na tatizo hilo. Ni kweli kuwa kwa kawaida watu wengi hubeba mimba na kujaaliwa mtoto pale tu wanapofanya tendo la ndoa. Lakini jambo hilo halitokeo kwa watu wote na ingawa kwa baadhi ya watu kila kitu huonekana kwenda sawa lakini pia hushindindwa kubeba mimba. Utafiti unaonyesha kwamba katika kila familia au 'couples' 5 zinazojamiiana katika wakati muafaka wa ovulation ni moja tu ndio hufanikiwa kupata mtoto, huku karibu wanawake 9 kati ya 10 wakifanikiwa kushika mimba baada ya kujaribu kutafuta mtoto kwa mwaka mmoja mzima bila kuzuia mimba. Hivyo basi nawaomba wale ambao wamekuwa wakifanya jitiha...

FAHAMU HAYA MAMBO 8 YA KUFANYA BAADA YA TENDO LA NDOA

Image
Kuna mengi ya mambo ya kufanya baada ya ngono badala tu ya kwenda kulala. Guys, kama wewe ni grasping katika Mirija juu ya mambo ya kufanya baada ya ngono, mimi nimepata mwongozo wako wa kulia hapa! Sisi ni kwenda kuchunguza kila aina ya mambo mbalimbali kufanya ili baada ya kufanya ngono wewe kuungana na mpenzi wako kwamba mengi zaidi! 1. Cuddle Hii ni kweli haki ya kiwango? cuddling na spooning baada ya ngono ni moja ya njia kubwa kwa basi mwanamke wako au hata mtu wako kwa kujua kwamba wewe upendo wao na kwamba wawili ni bora kushikamana sasa. Ni bora zaidi kuliko tu tu kugeuka juu na kuanguka usingizi haki? 2. Majadiliano Moja ya mambo makubwa ya kufanya baada ya ngono ni majadiliano. Huwezi kuwa na majadiliano kuhusu ngono, heck, huna hata kuwa na kuzungumza kuhusu chochote kweli, tu akizungumza na kila mmoja anaweza kufufua moto na hata kuboresha mawasiliano yako. Mbona si majadiliano kuhusu baadhi ya fantasies kwamba unaweza kuwa au hata kuzungumza kuhusu maisha yako ya baa...

ZIJUE SABABU HIZI 10 ZINAZOSABABISHA MAPENZI KUPUNGUA

Image
Habari zenu wadau wa blog hii,naamini umzima na unafurahia darasa hili la watu wazima,Hebu leo tuangazie mambo 10 yanayo sababisha mapenzi kupungua Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati. Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au kutojaliwa kama wewe unavyojali basi hata dunia iwe na raha gani kwako utaiona chungu na hata raha ya maisha hutakuwa nayo hata kama una hela kiasi gani na hata kama una cheo kikubwa kama mfalme au hata rais. Wengine hufikia hatu ya kuteseka tu bila kuondoka kwenye mahusiano kwa kuogopa kuumizwa tena huko waendapo na wengine huondoka baadae sana wakiwa tayari wameshachelewa. Kuna Sababu Nyingi Sana zinazoweza kusababisha mapenzi kupungua kwenye mahusiano yenu na wakati mwingine hata kusababisha kuachana. Mojawapo kati ya sababu hizo ni pamoj...

ZIJUE DALILI 4 AMBAZO UKIZIONA KWENYE MAHUSIANO UJUE MNAENDANA

Image
Wataalamu wa mahusiano wanasema kuwa kuna dalili nne ambazo ukiziona kwenye mahusiano yako basi amini kuwa ninyi mnaendana na pia mapenzi yenu yatadumu 1. Uhusiano wenu uwe na uwiano. Mahusiano ambayo yamefanikiwa ni yale yenye uwiano sahihi. Katika mahusiano mtakuwa tofauti wakati mwingine, na utofauti huu lazima ulete ulingano. Mfano, kuna ambao hupenda sana kutoka out na marafiki, huyu anahitaji kupata mtu ambaye si mpenzi sana wa kwenda out ili kuleta mlingano. Unatakiwa kuwa na mtu ambaye unakamilika unapokuwa nae, mtu ambaye mkiwa pamoja mkichanganya tabia zenu mnapata tabia moja ambayo imetokana na kuathiriana kwa matendo yenu. 2. Mnafurahia kusafiri pamoja. Njia rahisi kabisa ya kujua kama mnaendeana ni kama manafurahia mnapokuwa manasafiri pamoja, Watu wanaoendana hupenda kusafiri pamoja na kwenda sehemu tofauti tofauti.  Kama wewe unataka kusafiri kwa gari, lakini mwenzako anataka kupanda ndege na ubishani wenu unakuwa mkubwa basi ujue ninyi manatatizo. Wapen...

MAMBO 9 YANAYOCHANGIA MAISHA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO

Image
Inasemekana maisha katika ndoa si kitu rahisi kwani kuna changamoto nyingi na tofauti. Inasemwa kwamba hakuna kanuni inayojulikana ambayo unaweza ukaifuata na kufanikiwa kwa kuwa kila ndoa inachangamoto tofauti sana. Watalamu wa saikologia hata hivyo wamefanya tafiti kadhaa na kuja na viashiria ambavyo unaweza kuvitumia kujua uhai au uimara wa ndoa kati ya wenza wawili. Majibu ya tafiti zao ambazo zimefanyika nchini Marekani ni za kushangaza ila za kusisimua kama ambavyo ninaziandika katika makala hii. Ushahidi unaonesha kuwa muda wa uchumba,utofauti wa umri kati ya wenza,kipato cha familia,imani ya dini, uzuri wa umbo au kipato kama kigezo cha kuchagua mchumba ni baadhi ya mambo yanayochangia maisha marefu katika ndoa au kinyume chake. 1. Muda wa Uchumba Wanandoa ambao wametumia muda mrefu katika uchumba angalau miaka mitatu wana nafasi kubwa zaidi ya kutoachana ukilinganisha na wale wanaokaa uchumba kwa muda mfupi zaidi. Sababu zinaweza kuwa katika muda mfupi ...

FAIDA ZA SUPU ZA PWEZA KWA WANANDOA

Image
Ni maajabu! Pengine hiyo ndiyo sentensi ya haraka itakayotoka kinywani mwako pindi ukisikia namna minofu na supu ya samaki aina ya pweza vilivyo na umuhimu kwa wanandoa. Kumekuwa na uvumi mwingi mitaani kuhusiana na samaki pweza, ambaye daima hupatikana baharini na kwingineko kujulikana pia kwa jina la utani la ‘paka bahari’. Wengine huwanasibisha pweza na masuala ya kishirikina kutokana na muonekano wake wa kiwiliwili kidogo na rundo la mikia. Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa zaidi ya wiki kupitia mahojiano maalumu na madaktari kutoka taasisi kadhaa zikiwamo za Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam umethibitisha kuwapo kwa faida takribani tisa za supu ya pweza mwilini mwa mwanadamu, hususan kwa wale walio katika ndoa na kina mama wanyonyeshao. Katika uchunguzi wake huo ambao pia ulihusisha mahojiano na baadhi ya wauzaji na walaji wazuri wa pweza, Nipashe i...