MKE WA BOSS SEHEMU YA 17
MKE WA BOSS
SEHEMU YA 17
Jayden Trez
0713586587
SEHEMU YA 17
Jayden Trez
0713586587
Tulipoishia
hallow mimi ni yule muhudumu wa ile hotel mliyokua na mama"
Akaendelea
"kuna jambo linamuhusu uyo mama , na je unanikumbuka? nikamjibu
" ndio nakukumbuka vipi? Akajibu safi sasa------------------------------------
*×**

"safi sasa nahitaji tuonane ili nikupe full mkanda mdogo angu".
Nikamjibu
" sawa kwahiyo tunakutana wapi?"
Akajibu
"utakapokua tayari we nitafte kupitia iyo namba". Basi nikamwitikia kwa kumuahidi nitamtafuta huku kichwani nikiwa na mawazo mengi ya nini anataka kunambia.
Nikakata simu happy akasema naona unapokea simu zenye utata mana nilikua nasikiliza maongezi yenu inaonekana mna jambo kubwa. Nikamjibu
"ayo hayakuhusu happy", Naye akajibu
"ni kweli yuu hayanihusu ila yatanihusu kama humu tumboni kuna mimba yako maana nitakua mkeo na hiyo mijimama unayoenda nayo hotelini utaiacha sawa eee?""
Niliamua kuka kimya nisimjibu chochote mana happy alikua anajua sana kuongea. Kwani niliamini kua kakaa kimya sio ujinga bali ni pigo kwa wapumbavu. Nilikua kimya huku nikijiandaa kuondoka baada ya kumaliza maandalizi nikamwambia happy niko tayari.
Aliingia ndani kwake akajiandaa haraka naye akatoka tukaanza safari ya kuelekea hospitali. Njiani nilikua na mawazo mengi sana nikiwaza zaidi juu ya happy. Zaidi nilikua nawaza muhudumu wa ile hotel anataka kufumbua siri gani za yule mama. Uchangamfu wa happy ulipotea kabisa alikua mpole sana.
Nikajiuliza hivi ikiwa ni kweli happy mjamzito mimi nitafanyaje? mzee alikua kashanipa maonyo ya kutosha ikiwa mi ni mkaidi na tayari nimemtia mimba bintie wa form three. Kichwa kilikua kimevurugwa kwa mawazo mengi.
Nikawa nafikiria namna ya kukabiliana na hali yoyote itakayokua maana kama ni maji yameshamwagika.Nikajisemea moyoni liwalo na liwe mimi sijali chochote nishakaa sana mtaani ko sina wasiwasi nitatoka nduki na kurudi tena kitaa. Ingawa niliamini ya kua nitayakumbuka sana maisha ya pale nyumbani.
Happy alikua kama ameijua hali yangu akasema
" kaka yuu usiwaze sana mimi nipo kwaajili yako huenda ni mipango ya Mungu ili tuje kuishi pamoja kama mume na mke".
Maneno ya happy yalifanya kazi mbili kwapamoja yaani moja, yalinifariji kwa kuambiwa nisihofu. upande mwinginine yalinikera sana kwani kuambiwa tutakua pamoja kama mume na mke sikufurahishwa nayo.
Nikamwambia happy
"hebu kwanza tukifika hospitali ndo tutajua nini cha kufanya sawa eee? "
Happy akasema
" naona kama una mawazo sana yuu na mimi sipendi uwe ivo mpenzi wangu jamani. Nikamjibu
"okey sawa basi niko sawa eenhh we una mpango gani?" Happy akajibu
"yani hii kama ni mimba basi najua baba atatupatia nyumba moja ya kwake iko kule Uwanja wa ndege. Kisha tutaenda na kuanzisha maisha yetu huko au unasemaje?"
Majibu ya happy yalikua ya kitoto sana yani hakua hata anajua madhara ya kile alichokibeba. Nikaona ananiongezea tu mawazo nikamwambia happy hebu niache kwanza. Nilijua tuu happy kutokana na umri ndo mana alikua anajibu vile. Basi alikua kama amesikia nilivomwambia atulie kwani alikua ametulia sana.
Safari ikaendelea hadi tukafika hospitali. Tulipokelewa na manesi wawili ambao wakatuuliza tunahitaji huduma gani? Tukawajibu tunahitaji kupima mimba. Basi wakawa wanauliza ni nani anayepima? mi nikawajibu ni yule aliekua amekaa pale. Manesi walishtuka sana kwani walimwona happy ni mdogo sana. Wakazidi kuuliza huyo ni nani yako? Nikawajibu ni mdogo wangu, baada ya kumwuliza anasumbuliwa na nini ndo a metuambia kua anahisi ni mimba basi wakasema
"ina mana huyu mtoto ana mpenzi?" Nikawajibu
"ndio.
Wakasema
"na nyinyi kama wazazi mmechukua hatua gani ?" Nikawambia
"ayo yote tumeshaongea na mwanetu nyumbani hivyo hapa tumekuja kuhakiki tuu". Maswali yalikua mengi hadi yalikua yananikera nikajisikia vibaya sana. Basi manesi wakasema
"aya jiandaeni basi ili tumpime uyo mtoto iyo mimba....... Mwingine akadakia
" makubwa haya mana huyu mtoto alivo mdogo hata nasikia uvivu".
Mwenzie akadakia
"yani hii dunia sijui inaelekea wapi? Sasa mtoto kama huyu akizaa si itakua mtoto kamzaa mtoto jamani". Yule mwingine akasema
" ama kwelii wanaume hawana huruma utakuta anayehisiwa ni mbaba au ni mkubwa kama huyu kakaake hapa". Wasilolijua ni kua mimi ndo muhusika mwemyewe.
Basi wakaongea paleee kisha wakampa happy kidude fulani wakamwambia aende akakojolee mule. Baada ya happy kurudi waliingia maabara baada ya mda mfupi wakarudi huku wameshikilia makaratasi wakatuita na kutuambia njooni ofisini mchukue majibu yenu. Tulinyanyuka huku tukiwa na wasiwasi sana baada ya kuingia Nesi mmoja akasema----------------------------------------------

Tukutane sehemu ya 18 nikupe majibu ya happy
Comments
Post a Comment