Posts

Showing posts from September, 2019

FULL PARTY YA WEMA ,MATUKIO YOTE YA BIRTHDAY PARTy YA WEMA.. WEMA NA MPENZI WAKE MAHABA LIVE

Image

Mwanaume wajibika kwa style hii kuizuia michepuko ya mpenzi wako

Image
Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati. Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia vidonda vya tumbo. Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata wapenzi wa ukweli lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha penzi, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani. Kwa kifupi ni kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia utundu na ubunifu wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake. Ninapozungumzia hayo, namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai. ...

LADIES;Things your not supposed to tell your girlfriends about your Guy

Image
It is normal for us ladies to spill everything about our lives to our closest girlfriends. Some of us even have a special day each week to meet with the girlfriends and discuss our lives in depth. However, when in a serious relationship, there are things about your man you should never tell your girlfriends. The urge to tell them will be there, but so help you God to never reveal these 5 things about your man to your girlfriends. His secrets Men are secretive by nature. They do not tell their friends their secrets. So, when your man confides in you, it means he completely trusts you and knows that his secret is safe with you. Do not be tempted to share his secrets with your girlfriends no matter how juicy a topic they would make. Your friends will never look at him the same way again. Worse still, he might learn that you revealed his secrets and all his trust in you will be dead. His weakness So your man has a weakness and it drives you mad? Of course he’s hum...

Have you struggled with when you can use term “I Love You”…The solution is here

Image
Three words that paralyze, solidify or make people flee relationships. But why does it have to be so awkward to say those words? Is it about what it means, or what you interpret when your partner says them? You need to ask yourself what ‘I love you’ means to you. Does it mean marriage, moving in together or just that you treasure the person you are with? Is it a warm fuzzy feeling like a blanket in Nairobi’s July rains or is it just something to punctuate an orgasm? The meaning of these three words varies so intensely from person to person. Before you go blurting it out based on an ‘ideal’ time in your relationship, first ask yourself, what does ‘I love you’ mean to me? Being in love isn’t just something you ‘know’ – it is something you do. Love is action. You can say it; but does your beau experience it by the way you treat them, talk to them, think of them? Love is an action that comes incrementally. You can only love someone you know; spend time with, learn to ...

Signs that will show how your guy have lost love interest with you

Image
The beginning of a relationship is always the most exciting. You’re getting to know someone new with the same interests. Chemistry is hard to come by, so it’s a great feeling when you connect with someone with potential. Unfortuntately, it’s also common for those feelings to fade. One of you may get bored, or feel like the relationship isn’t moving fast enough. It’s a shame when something promising loses steam, but there are plenty of signs that a guy is losing interest to be on the lookout for. 1. Texting declines. Back when things were going well, the two of you couldn’t stop texting. Now, it’s hours in-between messages—if not days. This is a sign that you’ve fallen off of his list of priorities. That, or he’s just running out of things to talk about with you. Don’t push it. More texts won’t make him change his mind—they’ll probably just make him feel like you’re more maintenance than he’s ready for. 2. He’ll go out more, but not invite you. Suddenly, his gu...

Namna bora zaidi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke

Image
Ni kitu gani hasa kinamfurahisha mwanamke? Hauwezi kumfurahisha mwanamke kwa kumkejeli au kumshika baadhi ya maeneo ya mwili wake(utaishia kumchukiza na kujiondolea point). Utajua unamfurahisha mwanamke pale tu unapomfanya ajisikie furaha, na wakati mwingine hushindwa kujizuia na hujikuta anakukiss!. Ntakupa mambo matano ya kufanya ambayo yakuufurahisha moyo wa msichana unayemtaka(kumpenda). Unaweza kubadilisha muonekano wako kimavazi, wakati mwingine unaweza kumkazia macho lakini hiyo haitamfurahisha bali itamtisha. Kumchangamsha/kumfurahisha mwanamke kunahitaji kutengeneza mvuto(impression) zaidi ya muonekano na swaga. Kama unataka kujua jinsi ya kumfurahisha mwanamke , mwanzo wa yote, huanza na maongezi. Na mwisho wa yote ni hapo pia. Mawasiliano mazuri kimaongezi ndiyo njia pekee ya kumfurahisha na kumchangamsha msichana. Yatumie haya mambo matano, na utafanikiwa hata kabla ya kufikia mwihso: 1. Mshawishi kupitia kitu anachokipenda Unaweza kud...

Dare tips for a sex night

Image
Truth or dare doesn’t have to be a group activity. Unless your friends are as kinky as fuck, you should only attempt these dares during a one-on-one game with your partner. It’ll make for some pretty amazing foreplay.But remember, these dares for couples have a way of arousing everyone a lot more than you think!1.Lick your partner’s ears.2.Spank, squeeze and pinch your partner’s butt.3.Place an ice cube on the girl’s navel until it melts.4.Pass a candy to your partner using just the lips / unwrap a candy together using only the lips.5.Kiss each other for a whole minute. 6.Give your boyfriend a lap dance.7.One partner lies down. The other partner moves their hand or a feather all over the laying partner’s body including all strategic regions.8.Unhook your girlfriend’s bra and take it off her body using just one hand.9.Lift your girlfriend’s shirt up from the back all the way to the collar using just your teeth.10.Stroke your partner’s tee shirt/pants until we see the pants move or the ...

Mwanamke kuwa mbunifu kuyanogesha mapenzi kwa mwenzi wako kwa kumtimizia haya;

Image
Ndoa au Mapenzi ni tamko takatifu ambalo mamilioni ya watu tumejiingiza wenyewe kwa hiari. Hii ina maana kwamba umepata mtu wa kuishi na wewe katika raha na shida zote hadi kifo. Unakuwa umeingia katika kifungo cha Kupendana, kuheshimiana na urafiki, hata hivyo jinsi miaka inavyoenda unaweza kujikuta unapoteza umuhimu wa huu uhusiano na mbaya zaidi unaweza kujikutana unajisahau nini unahitaji kutoka kwa mwenzako. Kuna mambo ya msingi ambayo mwanaume yeyote huhitaji kupata kutoka kwa mke wake mpenzi na kinachotakiwa kwa mwanamke ni yeye kufahamu nini mwanaume anahitaji na kuwekeza kidogokidogo kwa kuongeza jitihada na muda ili haya mahitaji kuwa kitu halisi. Je ni Vitu gani mwanaume huhitaji sana kutoka kwa mke wake? 1. WANAUME HUPENDA KILE KILICHOKO AKILINI MWA MWANAMKE. Wanawake ni viumbe tofauti sana (complex) wao ni walezi kwa asili, waumbaji wa vitu, wasimamizi wazuri na wabunifu sana. Wanaweza kwa urahisi sana kuelezea kitu kilichopo kwenye akili zao li...

Four ways to overcome Jealousy in your relationship

Image
Jealousy – That is unhealthy feeling that arises in most relationships. Where you want more attention from the person you love can do a lot more harm to you than you can ever imagine. Your emotions can cause you to have thoughts that make you believe that there’s no hope. It’s dangerous and can cause your relationship to crumble. Getting jealous from time to time is normal but when it goes a long way, it becomes catastrophic. Here are four ways to tame jealousy in your relationship: 1) Get your facts right Yes, you suspect your spouse is cheating or you suspect there’s something going on between him and the lady next door, but how certain are you? Your suspicions may be due to his recent behaviour – the way he smiles or the new attention he gives to himself. Before you do anything drastic, figure out if it’s true. Stalking him and reading his texts would only make you suspect him the more. 2) Talk to him about it This might be the last thing on your mi...

Hivi ni kweli kuwa wanawake wenye msabwanda a.k.a tako ni watamu zaidi kitandani??

Image

Nahisi Kushindwa na ndoa; Mume Wangu Anatembea na Kondomu na KY Kwenye Gari

Image
Mimi ni mwanamke nimeolewa na nina watoto wawili, mume wangu tulioana tukiwa tunapendana, lakini siku hizi mwenzangu matendo yake yamekuwa ya hovyo hata sina mapenzi naye tena. Mara kwa mara namkamata katika mawasliano na wanawake tofauti tayari wakiwa kwenye mahusiano. Kinachonichosha zaidi condoms haziishi kwenye gari anayokuwa nayo, mwanzo nlikuwa nazikuta anasingizia ni za rafiki yake hapo naye ni mtu mzima ana mke, nikawa napotezea hapo nilijua fika mume wangu ndo mtumiaji, imeniuma zaidi siku kipindi fulani gari yake imepata ajali wakati ikiwa kwenye matengenezo tukawa tunatumia ya kwangu sometimes nikaanza kukuta tena condoms kwenye gari, kubwa zaidi na ky gelly, moyo wangu uliuma sana yaani toka siku hiyo sipendi tena mume wangu na natamani kutengana naye kabisa ndugu zangu nifanye nini juu ya hili? Ni mengi ya kueleza lakini yanayoniumiza zaidi ni hayo, na hiyo KY hata kwenye gari yake niliwahi kuikuta akaniambia ni ya rafiki yake, kilichokuja kinishtua zaidi ...

Kudanga Vs Uchangudoa: Tofauti iko Wapi ? Je Kudanga Imehalalishwa?

Image
Wasalaam wakubwa na wadogo , Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?

Tunda “Najichukia Kwasababu Nimemuumiza Whozu Naomba Anisamehe Turudiane”

Image
Ameandika Tunda Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram: ‘Najichukia kwasababu nimemuumiza mwanaume muaminifu na mwenye kunijali haijawahi tokea. Kama unaweza tafadhali nisamehe, nakuhitaji kwenye maisha yangu. Nilikua na tabia za kitoto kwako, naona aibu kwaajili ya tabia zangu, tafadhali nisamehe. Upendo wako ni hamasa tosha, usinikatili nia yangu ya kuwa na wewe. Nakupenda sana, nisamehe **Whozu ‘, ameandika Tunda kupitia ukurasa wake wa Insta

How Long Would You to Date a Lady Before you Expect S*x From her?

Image
How long would you to date a lady before you expect s"x from her?  Loading... 1. A few days  2. A week  3. A month  4. Three months  5. Other (specify)

Kuna Anguko la Vijana wa Kiume Kwenye Mahusiano? Wanakosea Wapi?

Image
Kuna hali inarudi kwa kasi mno… Wazee kuoa mabinti wadogo sawa na watoto wao ama hata wajukuu Kipindi cha nyuma walijulikana kama wazee wa bandari lakini hawa hawakuwa waoaji bali waliwaweka tu vimada kwa kuwqpangishia chumba, upande mzima ama nyumba kamili… Siku hizi hiyo haipo tena… Mzee akifika bei binti anataka ndoa… Japo kiuhalisia mzee anaibiwa tuu… Wadogo zetu mko wapi? Mnakosea wapi? Mnajichua sana, show off nyingi, six packs na kujipodoa kwingi…. Kwa mwanamke mapenzi ni zaidi ya hivyo vitu…

Top 10 ya makabila yenye wanawake wazuri haya hapa tafiti mpya 2019

Image
Hebu Leo tupate new update za kumi bora ya makabila yenye wanawake wazuri tanzania. 1. Wahiraki, hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. wanyaturu, hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vi...

Amenisomesha, Kaninunulia Gari Lakini Sina Mapenzi Naye! Nifanyeje?

Image
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.  Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia   yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.  Loading... Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo pia ni sharo sio mshamba kama huyu wa zamani.  Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...? ...

HIZI NDIO FAIDA ZA KUMSIFIA MKE/MPENZI WAKO KWENYE MAPENZI

Image
KUNA baadhi ya watu hawaamini kama inawezekana kuwa na uhusiano wa furaha na amani. Katika tathmini ambayo imefanywa na wataalamu mbalimbali kuhusiana na suala la imani ya watu kuwa katika mahusiano ya furaha inaonesha kuwa zaidi ya asilimia 60 hawaamini furaha na amani katika mahusiano. Wengi wanaona mapenzi ni kama njia ya utumwa ya kuridhishana tu kimwili, kusaidiana masuala ya kiuchumi na yenye furaha ya kufikirika tu ila si suala linaloweza kumpa mtu amani na thamani stahili. Wengi wanasema hivyo kwa sababu kadhaa. Wapo waliobadili zaidi ya wapenzi watatu kwa kutafuta furaha na bado wakaikosa. Wapo walioonesha kupendwa sana mwanzoni kisha baadaye kila kitu kikayeyuka. Kwa sababu hii wengi wanajiambia kupitia hisia zao za ndani kuwa furaha katika mahusiano ni hadithi tamu kuisoma ila isiyokuwa na uhalisia wowote. Na wewe msomaji wa makala hii ni miongoni mwa wanaoamini katika fikra hizo? Fikra za kuwa mahusiano ya mapenzi si lolote ila ni eneo tu la kuteseka k...

warembo hawa duuuuh.

Image

Je,,unafahamu ni kwanini wanaume hununua Mapenzi…soma hii somo lote liko hapa

Image
Kwa nini wanaume hununua sex? Mwanaume anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex bila kuhusisha upendo au mahusiano wala kuhusisha hisia kati ya wawili. Suala la wanawake Malaya (prostitutes) kuua mwili kwa wanaume ni suala la dulia zima haijalishi ni mzungu au mweusi au muasia, wasomi na wasio wasomi, maskini na matajiri, waliooa na ambao hawajaoa wote wamekuwa wakijihusisha na hii tabia. Wanaume walioulizwa kwa nini wanaenda kununua sex wengi walitoa Sababu zifuatazo Ingawa walikiri kwamba wakati wa sex na hao Malaya huwa wanajisikia aibu, hatia, na hisia hasi kulipa ili upate sex. Sababu kubwa ya wanaume kununua mapenzi wengi walikiri ni kumridhisha hitaji ya sex na raha yake kwa wakati ule (32%) Waliofuatia walisema Sababu kubwa ni kutaka kupata ladha Tofauti ya mwanamke (21%) Wengine walikiri kwamba wanaenda kununua sex kwa Sababu hawapati kile wanahitaji kutoka kwa wake zao nyumbani (20%) Wengine walikiri kwamba ni kwa Sababu wao wana fedha na M...

Romantic bedroom ideas

Image
You may not believe it, but the essential part of the house is the bedroom . The best memories are created inside the bedroom and between the sheets . So, you better prepare yourself with some of the best romantic bedroom ideas to enjoy the moment together. There was a point in history when a vast majority of the population lives in a home that’s just a single bedroom. There are still places in Europe and the rural USA where the bathroom is just a hole on the ground . Even when you’re roughing it in the wild, the tent is nothing more than a portable bedroom. The reason why the bedroom is the most crucial part of the house is simple. We are most vulnerable when we are asleep. We have to do it every day for more than a few hours. We need something to protect ourselves from the elements and other things that go bump in the night. Bedroom ideas for couples Sleep isn’t the only thing that happens in the bedroom. A lot of intimate moments happen there . It’s possibl...

Wanaume Mnao Jisifia Mnajua Mambo Sita kwa Sita Mnaboa Wengi Si lolote..One Minute Man

Image
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA  MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME   DR MACHEMLA NDO SULULISHO LAKO  tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi  6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo  vya,  HORMONES  ZA CETROGEN  ambazo mwanaume,  anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume SUPER MIZIZI, ni dawa  inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume  kukuwa  na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa, NSHOLA ni dawa bora,  ya kurudisha nguvu, za, kiume  bari inatibu  ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4  ,bila kuchoka  atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za...

MWANAMKE ANAYETOKA NJE YA NDOA HUWA NA DALILI HIZI..,

Image
1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume) 2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui 3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki 4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume 5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe 6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu 7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje 8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe 9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu’ inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo. 10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi

mbinu wanayotumia wanandoa walioajiriwa mjini kuchepuka.

Image
Nina uzoefu kidogo na mambo ya kazi za ajira maofisini, nimefanya hivi kwa muda mrefu. Wakati flani nilifanya kazi katika ofisi zilizo katikati ya jiji, kule mitaa ya Posta jijini Dar es Salaam. Ofisi nyingi za serikali na watu binafsi zinapatikana mitaa ile. Kutokana na sababu hiyo, kuna idadi kubwa pia ya migahawa, hoteli, mama ntilie, pub na kadhalika. Kuna mambo mawili makubwa yenye ushawishi mkubwa wa usaliti. Ofa za chakula au vinywaji na usafiri. Kwa kawaida, wafanyakazi wa ofisi moja hupenda kutoka pamoja wakati wa chakula cha mchana, wenyewe tunapendelea zaidi kusema lunch! Kila mmoja ana sehemu yake anayokula kulingana na kipato chake, wapo wanaokwenda Southern Sun kupata chakula cha mchana, na wapo wanaowafuata mama ntilie wanaojibanza kwenye vichochoro vingi vilivyopo mjini. Huko ndiko tunakokutana na akina dada waliovalia vizuri na kupendeza, wakitokea katika maofisi mbalimbali, huwezi kujua yupi ni mhudumu wa chai, yupi ni bosi, wote wanang’ara. Na h...

messi aibuka mchezaji bora wa FIFA 2019 , ronaldo hajatokea.

Image
Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA leo lilihitimisha kilele cha utoaji wa tuzo za FIFA The Best 2019 kwa kutangaza wachezaji mbalimbali waliofanikiwa kushinda. Tuzo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ni tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa kiume ambapo ilikuwa ikiwaniwa na Virgil van Dijk wa Liverpool, Cristiano Ronaldo wa Juventus na Lionel Messi wa FC Barcelona. Ronaldo hakutokea katika sherehe za utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika Italia na Lionel Messi kuibuka mshindi kwa mwaka 2019 na kuwashinda Ronaldo na Van Dijk, hii ndio mara ya kwanza kwa Messi kushinda tuzo hiyo toka mfumo mpya uanzishwe. Jurgen Klopp wa Liverpool akiibuka kocha bora wa mwaka, Megan Rapinoe raia wa Marekani akiibuka mchezaji bora wa mwaka wa kike.

maneno 14 anayotamani mwanamke umwambie.

Image
Ikija katika maswala ya kuwavutia wanawake, kile kitu ambacho utamtamkia kitakusaidia pakubwa katika azma yako ya kumuwini. Hakuna ujanja wowote ambayo unatumika bali ni maneno yako. Wanawake ni viumbe ambao ni wasikilivu ilhali wanaume ni viumbe waangalifu, hivyo matumizi yako ya maneno ni silaha nzito ambayo umebarikiwa nayo. Ok. Ikija katika usikilizi, kila mwanamke huwa tofauti. So itabidi umsome mwanamke kwanza na uyafahamu mambo gani anapenda ili ikija wakati wa kumtamkia maneno itakuwa rahisi kwako kumteka kihisia. Tumeandaa orodha ya maneno ambayo ukiyatumia yapasavyo yatakusaidia kumzuzua mwanamke yoyote awe rafiki yako ama mpenzi wako. Zama nasi. #1 Yuko smarti . Hapa hauwezi kukosea wakati utakapomwambia kuwa anapendeza. Unachohitajika ni kumtamkia maneno kama haya wakati ufaao. Unaweza kumweleza sehemu ambayo unaona yuko smarti na utakuwa unamfurahisha wakati wote. #2 Unapenda jazba na msukumo wake . Kama umeona kuwa mwanamke aina hii ana ari na msukumo wa k...

utundu wa kumfanya mwanamke ajitolee nguo yeye mwenyewe

Image
Mbinu hizi unaweza kuzitumia kwa girlfriend wako ama unaweza kuzitumia kwa mwanamke ambaye umeweza kujuana na yeye. Kama umechoshwa na kila siku ni wewe ndie wa kumvua nguo basi hakuna shida, leo atazivua mwenyewe. Mbinu zenyewe ni kama zifuatazo: #1 Mwambie avue mwenyewe. Hii ndio njia ya moja kwa moja ambayo unaweza kumwambia mwanamke avue nguo. Je hii mbinu ushawahi kuitumia awali? Na kama uliitumia ulipata majibu gani kutoka kwa mwanamke? Kutumia hii mbinu lazima umpatie masharti yaliyo moja kwa moja. Kwa mfano badala ya kumwambia “avue nguo zake” unapaswa kumwambia “avue shati lake”. Maagizo ambayo ni rahisi kutimiza huwa ni vigumu kwake kukataa. Kwa mwanamke ambaye anakataa/mgumu kutimiza jambo hilo, wakati mzuri wa kumwambia “avue [semehu ya nguo] yake” ni wakati ambapo mumepata kuongea maongezi ambayo yamegusa mioyo yenu. Kwa mfano umejaribu kumfanya avue shati lake kwa muda wa dakika 30 na amekataa muda huu wote, so umeamua kutulia kidogo uangalie ni kitu ga...