Posts

Showing posts from April, 2020

Kusepa Kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy Anachangia?

FULL STORY VIDEO YOUTUBE BONYEZA HAPA

MARIIOO KUJIUNGA KONDE GANG TAZAMA VIDEO HAPA

Image
MARIIOO KUJIUNGA KONDE GANG TAZAMA VIDEO  HAPA

MARIIOO KUJIUNGA KONDE GANG

Image
MARIIOO KUJIUNGA KONDE GANG TAZAMA VIDEO HAPA

NGUVU YA MWANAMKE KWENYE MAPENZI

Image
Tukumbuke kwamba kinyume cha beba ni shusha, na kinyume cha kusanya ni tapanya, basi ukishindwa kumuhendo mwanamke vizuri kwa upendo na uaminifu mkubwa basi wewe mwenye utakuwa umejitengenezea jehanamu.  A – Pale mwanaume anapompa mwanamke mbegu, mwanamke humpa mwanaume mtoto.  B – Pale mwanaume anapompa mwanake nyumba, mwanamke uifanya nyumbani.  C – Ukimpa mwanamke bidhaa za shambani yeye anakutengenezea chakula D – Ukimpa maneno machache yeye anakutengenezea sentensi nzima E – Ukiamua kumchanganya akili yake kidogo tu yeye anaweza kukuvurugia maisha yako yote, ila ukimpa furaha kidogo yeye atayafanya maisha yako yawe paradiso. Kwahiyo tusilaumiane Wakubwa tuu🔞 Bofya Hapa kupakua App ya Utundu kitandani na upate mautundu na maufundi yoote         Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome    🔞Wakubwa tu: video kali zote na origina...

JE UNAJUA UPENDO WA MAPENZI UNAHITAJI VITU VYA AINA GANI?SOMA HAPA

Image
Asante sana kwa kuendelea kutembelea kutufwatilia siku ya  leo tunataka kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe kudumu katika mahusiao hayo. 1. Imani Upendo unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasio onekana unatakiwa kuwa na imani na mwenzi wako imani katika mausiano ni muhimu sana kuaminiana toa wasiwasi kwa mwenzi wako mwamini kuwa amekuchagua wewe hakuna mwingine ukopeke yako. 2. Ujasiri Upendo unahitaji uwe jasiri katika hali zote uajasiri katika kunena ujasiri kutenda, ujasiri katika kuuzungumzia upendo kwa mwenzi wako upendo unamhitaji mtu jasiri sio kitu rahisi kama wengine wanavyozungumzia. 3. Mawasiliano Upendo unahitaji mawasiliano maana mawasiliano hutengeneza mahusiano bila mawasiliano huku na mahusiano ili ujenge msingi mzuri mzuri wa mahusiano y...

FANYA HAYA KUMFIKISHA ANAPOTAKIWA KUFIKA

Image
kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha. Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema. Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo. 1.Mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi 2. Pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi 3. Tumia ulim wako ipasavyo kutomasa kitovu chake 4. Mnyonye lita kadhaa za mate na huku ukitumia ulimi wako ipasavyo kuuchanganya ulimi wake 5. Papasa matiti yake huku uki...

UKIFANYA HAYA,MUMEO HATACHEPUKA TENA

Image
Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati. Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa unajitafutia vidonda vya tumbo. Hata hivyo, wapo waliobahatika kuwapata wapenzi wa ukweli lakini kwa kushindwa kwao kujua yapi ya kufanya ili kudumisha penzi, leo hii wameachika na bado wanaranda mtaani. Kwa kifupi ni kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu na ukabaini naye anakupenda, hutakiwi kubweteka bali unatakiwa kutumia utundu na ubunifu wako katika yale ambayo yatamfanya huyo mtu wako ahisi wewe ni wa pekee kwake. Ninapozungumzia hayo, namaanisha ubunifu kwenye mambo mengi ambayo hakika nikianza kuyaelezea hapa, nafasi inaweza isitoshe ila kwa leo nigusie utundu katika uwanja wetu ulee wa kujidai. Faragha ni eneo mu...

Kuwa mnyenyekevu kwenye mahusiano

Image
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu,,hata ungekuwa umemkosea nini,ukijishusha,ukanyenyekea analainika,,labda awe na mapepo ndo unyenyekevu wako hautagusa moyo wake,,mume hafokewi,mume hagombezwi,,mume hafanyiwi jeuri na kiburi,,akinuna na wewe unanuna,asipokutafuta na wewe humtafuti,,utapoteza ndoa yako,, Ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama ruba,,asipokutafuta mtafute,asipo ongea na wewe,wewe ongea nae,,hakunaga mke anaambiwaga anajipendekeza kwa mumewe,,kunyenyekea hakukugeuzi housegirl na kupoteza nafasi yako kama mke,,ila kiburi na jeuri ndo vitakufukuza kwenye hicho kiti na hiyo nafasi ya kuwa mke haraka sana,,ujeuri weka pembeni, ndivyo walivyofanya waliodumu kwenye ndoa zao,,kuwa mnyenyekevu sio kuwa mpumbavu. from Utundu kitandani http://bit.ly/2XBqdYo via  IFTTT

Vitu Nane vya Kipumbavu Ambavyo Wadada Hufanya Kwenye Mapenzi

Image
1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga 2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao 3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui 4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo. 5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye ajatoa pesa ya mahari 6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako. 7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambaye wazazi wako hawamjui 8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa JITAMBUWE!!!

Mapenzi hisia

Image
Kwenye mapenzi ukiona unatumia nguvu ya ziada au ushawishi wa kitu fulani ili fulani akupende au aongeze mapenzi basi yawezekana hajakupenda kwa dhati Mapenzi ni hisia,,anayekupenda kweli hawezi kukufanya utumie nguvu au ushawishi wa kitu kumpata Na ukishamkubalia basi pima upendo je,ni upendo wa maneno au vitendo? Vipimo huja kwenye kutazama vitu kama kuheshimu hisia zako kama unavyofanya kwake,,,kukupa muda wake,,,kukujali kama wewe unavyomjali,,,kuboresha mawasiliano na kuthamini uwepo katika hii dunia.                        from Utundu kitandani http://bit.ly/2WAl4yA via  IFTTT

Jinsi ya kuongea na msichana bika kuishiwa swaga

Image
# 1Mfanye ajue kuwa unamtaka . Najua unajua, kuongea na mwanamke kwa mara ya kwanza siyo kama mtu anayemfata mwanamke na kumuomba watoke out. Inatakiwa iende kwa hatua, lakini licha ya hiyo hautafikia lengo. Mwanamke anahitaji kujua unamtamani/ kumpenda hata kabla hamjaongea ili aweze kukuchambua / kukufahamu / kukuchunguza(to evaluate you). Kama utamfata mwanamke ambaye kwanza hajawahi hata kukuona ukionesha interest kwake, utaishia kumshtua tu. Na ataishia kukwambia neno ambalo mama yake alimfundisha akiwa mdogo – kwamba akikutana na mwanaume amwambie nini “Niache”. #2 Fanya mautundu . Baada ya kujua kuna kiumbe kama wewe duniani, anza michezo ya kichokozi. Jitahidi kuwa unamuangalia kila wakati mpaka yeye ajue unamuangalia, hii itamfanya naye awe anafanya hivyo hivyo japo hatapenda kujionesha(ila usimshangae). Sasa unatakiwa kujua, na yeye anakuangalia? je marafiki wake wanakuangalia? je wanatabasamu wakikuona?. Jaribu kujua hayo. Hakuna haja ya kutak...

Maumivu Makali Ukeni Wakati wa Tendo la Ndoa.....

Image
Habari zenu jamani, Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenzi napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane tafadhali. Karibuni kwa ushauri

Hamu ya Kufanya Mapenzi na Walionizidi Umri Majibaba

Image
Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua. Wavulana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa na Siwataki kabisa, Napendelea Wale kuanzia Miaka 30 naona ndo wananifikisha, Vijana Wanajisifu sana ila hakuna kitu Kwenye Tukifika Uwanjani ..Ama mie ndo Natatizo ? Naombeni Ushauri. By Flora

Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae

Image
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. KWA MFANO:  1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear'' 2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui'' 3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, s...

Nimetumbukia Kwenye Majaribu Mazito na mke Wa Rafiki yangu

Image
Kuna Rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi leo, Jamaa alikataza hadi mkewe kujihusisha na familia yangu Kumbe jamaa hana kazi mwaka Wa nne sasa yupo benchi alifukuzwa kazi Kama miezi miwili iliyopita nilikutana na mkewe accidentally, tukapeana contact upya na alikua mjamzito Wa miezi kama mitano hivi kuelekea sita, Akawa ananipigia simu kuomba hela kila baada ya siku mbili tatu, jambo ambalo lilinishangaza sana maana kwa maisha yao yalivyokua mazuri haikua rahisi kuamini Baada ya kumpa kama laki na hamsini hivi jumla nikaanza kumkwepa, haikusaidia akawa ananipigia kwa namba zingine, Siku moja akaniomba tuonane Katika kuonana akanieleza kwa urefu sana matatizo yao ifuatavyo Moja ni kuwa mumewe hajishugulishi na chochote amekaa tu home tangu afukuzwe kazi miaka minne iliyopita Pili anategemea wazazi ndo wamtumie hela Ma...

Makosa Makubwa Tunayofanya Wanaume Katika Mapenzi

Image
NAWAPA KISA KIFUPI TUU AMBACHO KINANISIBU KWA SASA, Mimi ni mwanaume, nimeoa ila kwa sasa mke wangu na mtoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine kikazi. Familia yangu naipenda sana na huwa nawapatia kila aina ya mahitaji mara ninapoambiwa kuna upungufu fulani wa mahitaji, hata kama sina hela niko tayari kukopa mahali lakini siyo mke wangu kwenda kukopa kwa watu. Kuna sababu kuu mbili za kutokuruhusu mwanya wa mke wangu kukopa: Moja, ni kuruhusu mwanya wa kutongozwa na hao watakaomkopesha (kama ni wanaume). Pili, inatengeneza umbea, majungu na unafiki usio na msingi especially akina mama. Hivi karibuni kuna jamaa yangu tunafahamiana naye, naye yuko mbali na mkewe japo huja walau mara moja kwa mwezi au miezi miwili hivi, then hurudi kwenye biashara na kazi zake. Mke wake amekuwa akinisumbua sana mara kwa mara, huniomba nimkopeshe pesa. Wakati fulani nilimpa, akanirudishia. Mara ya pili akanikopa tena, muda wa kulipa ulipofika akaniambia kuwa Mr. amempigia simu kuwa bado...

Yajue Majina ya Wanaume na Sifa Zao Katika Mapenzi..Tazama Jina Lako Kisha Utuambie Kama Uko Hivyo..!!!

Image
1. Andrew-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu 5. Joseph/Josephat/yusuph-kicheche 6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa 7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu 8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri 9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege 10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia 11. Prosper-hajui habari za mapenzi 12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie (kuwadi) 13. Aaron-maneno mengi ila vitendo sifuri 14. Costantine-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu 15. Elvis-handsome ila hapendwi na mademu 16. Edward-serious sana kwenye mapenzi 17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha 18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi 19. Mohammedy-anapenda watu waliomzidi umri 20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya 21. Alpha-wanapenda sifa kwa wanawake ili wapendwe 22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli 23. Elias-wanapenda ...

Siwezi Kumsamehe Mke Wangu, Ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini Kwake

Image
Baada ya kupoteza kazi yangu niliyumba sana, niliwaza nitaishije bila kazi hapa mjini, hata hivyo nilijipa moyo kwamba kwa kuwa wife ana kazi Basi mambo madogo madogo hayatasumbua wakati huo nami nitakua nakazana kutafuta kazi nyingine. Kumbe nilikua nimekosea kuwaza hivyo, ilianza taratibu kama mzaha wife kuchelewa kurudi na kuja kuanzia saa tano usiku na kuendelea kwamba wamelazimika kufanya overtime. Baada ya wiki kadhaa visingizio vikaisha akawa hana cha kusingizia tena, anakuja usiku ule ule mwingi bila kunisemesha chochote na kupitiliza chumbani kulala moja kwa moja bila kula wala kuoga. Nikajiuliza, kwa biologia ya wanawake ilivyo na joto la Dar inawezekana wife akarudi na kulala tu bila kuoga? Na chakula je ina maana analala na njaa? Nikasema nitapata tu majibu ya maswali Haya, only time will tell. Hadi napoteza kazi yangu sikua namiliki Gari wala wife hakua nalo, baada ya hizi harakati za kurudi usiku mwingi na kutoshinda home weekend nzima hatimaye wife "...

Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto...

Image
Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5. Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto. Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto? Je, nifanyeje? Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine . Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo.

Mume Wangu Hana Wivu Kwangu..Nataka Nichepuka Ajue ili Apate Wivu Tugombani....

Image
Anaomba ushauri wako, nimeolewa na ndoa yangu ina miaka miwili sasa, shida ni mume wangu. Anafanya kazi, anahudumia familia,a nanijali kwa kila kitu, haninyanyasi lakini shida moja mume wangu hana wivu. Yaani naweza kumuaga naenda sehemu falani hata hanikatazi, nikichelewa kurudi hata hapigi simu, nikimuuliza kwanini hajali hivyo hata nikirudi usiku ananiambia kuwa mimi ni mtu mzima. Kaka najikuta kuwa nina kisirani, ni mtu wa hasira ila mume wang hajali kabisa, kuna wakati nachelewa makusudi hata mpaka saa nane lakini nikirudi ataniuliza nilikua wapi na jibu lolote nitakalompa atakubali. Kaka nashindwa niishije na huyu mwanaume, yaani nawaonea wivu wanawake wenzangu wanavyojaliwa na waume zao. Kuna wakati natamani hata kuchepuka ili ajue apate wivu anigombeze tugombane, yaani ni wale wanaume ambao hata nikimuudhi basi ataomba msamaha yeye akiniambia kua hataki kuniudhi hivo yaishe...yaani natamani ugomvi Kuna wakati hata naongea na wanaume wengine lakini hajali, sio kama ...

Mkeo ni Asali na MCHEPUKO ni Sukari...Mwanamke Ifunike Asali yako April 05, 2020 Mapenzi

Image
MKEO ni ASALI na MCHEPUKO ni SUKARI. Hebu angalia mkeo alivyo mtamu, na mchepuko alivyo hasara. 1. Asali inatengenezwa kwa Hali ya uasili lakini sukari inatengenezwa kwa akili ya mwanadamu. (Mkeo ni ubavu wako halisi) 2. Asali ina thamani kuliko sukari (1lt ya asali ni 15,000 lakini 1kg ya sukari 2800) {mkeo ana thamani sana kuliko huo mchepuko} 3. Asali huponya Magonjwa lakini sukari huongeza Magonjwa {Mkeo ndiye tabibu halisi wa maumivu ya moyoni mwako} 4. Asali si nyepesi kuisha wakati wa kuilamba lakini sukari unawezaibugia kwa mkupuo {Mkeo huduma zake hazichoshwi kwa uwepo wako} 5. Asali ina radha kamili na msisimko wa kutosha lakini sukari unaweza ilamba huku unapiga story. {Mkeo ubora wake si sawa na ule wa mchepuko upatiakanao kwa kukimbizwa ili kuwakwepa wanaokuja kutaka huduma kwake} Mkeo ni asaliiiiiiiiiii hebu faidi asali yako achana na sukari ya viwandani. Ifunike Asali yako ili usivutiwe na sukari zilizokosa uhifadhi mzuri.... Naamini watu wazima weny...

Mapenzi Sio Vita, Kwanini Tukomoane Kwenye 6X6?

Image
Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi katika ulimwengu wa mapenzi, kizazi hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita badala ya starehe inayoweza kumhamisha mtu kifikra mpaka katika ulimwengu wa kusadikika. Vijana wengi wamekua busy kutafuta dawa za kuwafanya wawe na nguvu kupitiliza kanakwamba wanaenda vitani. Wengine wanatamba kwamba akikukamata ni mpaka kivimbe ndo akuachie. Kwani lengo ni kuumizana? Mchezo ule hauhitaji hasira ila upole, utaratibu maalum na hisia kali zitakazo kuhamisha katika ulimwengu uliopo. Inashangaza kuona mtu ana-pump kama anazibua chemba iloziba mwaka mzima na kumsababishia kero na maumivu makali mwenza wake. Ukifanikiwa kukaa jirani na eneo ambalo zoezi hilo huendelea unaweza kusikia kelele nyingi utadhani mtu anapigwa mangumi ila ukiuliza utaambiwa ni wapenzi wanagegedana. Hebu tujaribu kufanya romantic love na sio vita na utaona matokeo yake, upendo utazidi kuliko awali. Jungu kuu halikosi ukoko.

Unajua Athari za Kuitana Sweet, Dear na Baby Kwa Watu Ambao Sio Wachumba ama Mke na Mume?

Image
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia wanaitana baby! Mbali na hilo, yapo maneno mengine kama sweet, dear, honey na mengine mengi. Maneno yote hayo ya Kiingereza, yana maana zaidi ya moja, lakini kubwa zaidi ni kumaanisha mpenzi, mpendwa (hutumika katika kuonesha mapenzi ya dhati kwa mwingine). Leo nataka kukupa kitu kipya kabisa kichwani mwako. Unahitaji utulivu wa hali ya juu ili kujifunza hili. Ni maneno mazuri sana, ya kipekee lakini kwa upande mwingine ni hatari kwa sababu hukaribisha matatizo ambayo hayakutarajiwa na mtumiaji. HUTUMIKA WAPI HASA? “Dear, naomba uniamshe saa 12:00 asubuhi, kesho nina vikao vingi sana asubuhi,” inaweza kuwa kauli ya mume akimwambia mkewe, ambaye naye anamjibu: “Sawa sweet, usijali.” Kwa hakika ndipo sehemu sahihi zaidi kutumika. Ni maneno yenye mshawasha mkubwa na huonesha penzi la dha...

Mbinu Za Kumfanya Mwanamke Akupende na Kukuzawadia Tunda Bila Hata ya Kumtongoza

Image
Wanawake wengi huwa hawajui ni kitu gani kinachowafanya wanase kwenye mitego ya wanaume. Hawajui kuwa wanaume wengi hutumia hizi njia kuwafanya wanawake wawapende kila siku. Hizi ndizo njia za kuwanasa. Wanaume wengi hushangaa na kujiuliza, kwanini wanawake wengi huvutiwa na wanaume wengine, lakini sio wao. Je wanatatizo au mapungufu fulani? Ni kitu gani wanakikosa ambacho hao wengine wanacho/ wanavyo? Usijali, katika huu mchezo wa kuwavutia wanawake, haikuhitaji uwe na fedha nyingi kwenye account ya benki, au uwe na gari zuri sana kuliko wanaume wote ndo uwavutie wanawake – kinachowavutia ni mwanaume anaye jua na anayeweza kuwavutia Jinsi gani ya kumvutia mwanamke na akupende bila ya wewe kumwambia #1 Usioneshe unampenda sana. Kwa muda mrefu, kumekuwa na utamaduni wa mwanaume kumwonesha mwanamke anampenda sana ili aweze kukubaliwa, na wanawake ndo wamejijengea utamaduni wa kufatwa. Hii inawapa wanawake uhuru wa kuchagua mwanaume wanayemtaka na kuwa...