Hapa Nandy Hapa Ali Kiba...NANDY Athibitisha Uwepo wa Kolabo yake na KING KIBA

The African Princess NANDY athibitisha uwepo wa kolabo yake na mfalme wa muziki wa Bongo Fleva KING KIBA

Nandy amethibitisha hilo wakati akijibu maswali ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo shabiki mmoja alimuuliza kama ana ndoto za kufanya kolabo na Alikiba. Nandy alimjibu "Tunayo tayari"

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2Dp8RJa
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI