Utafiti: Kutumia Pesa zako Kwa Ajili ya Wengine Kuna Kufanya Uwe na Furaha Kuliko Kuzitumia Wewe


UNAAMBIWA: Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Michael Norton kutoka Havard, kutumia pesa zako kwa ajili ya wengine kunakufanya uwe na furaha zaidi kuliko kutumia kwa mahitaji yako mwenyewe. 


"Ukimnunulia kitu Mzazi wako unajisikiaje? vuta picha ile furaha unaipata ukimnunulia kitu Mpenzi wako au Mwanao... inazidi hata ile furaha ya wewe kujinunulia kitu, ndio maana tunasema kutumia pesa kwa ajili ya wengine kunakupa furaha zaidi, kwahiyo usiogope  kutumia pesa kwa ajili ya wengine" 





from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GR7Yup
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI