Nyota wa Kikapu nchini Marekani LeBron James Asaini Mkataba Mpya Lakers, Analipwa Shiling Milioni 11 Kwa Lisaa
Nyota wa Kikapu nchini Marekani LeBron James amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na Los Angeles Lakers, mkataba wenye thamani ya ($85 million) ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi msimu wa mwaka 2022-2023.
Kwa mujibu wa ESPN, mkataba huu mpya unamuonesha LeBron James akilipwa kiasi kikubwa cha fedha kwa dakika hadi miaka miwili;
Kwa dakika 1 atakuwa akilipwa ($82) sawa na TSH. 190,158
Kwa Saa 1 atalipwa ($4,891) sawa na TSH. Milioni 11
Kwa Siku 1 atalipwa ($117,397) sawa na TSH. Milioni 272
Kwa Mwezi Mmoja atalipwa ($3.57M) sawa na TSH. Bilioni 9
Kwa Miaka 2 ya mkataba wake atalipwa ($85.7M) ambazo ni sawa na TSH. Bilioni 197
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3ltaEgw
via IFTTT
Comments
Post a Comment