Kajala Amshukia Sound Brown "Usione Nakaa Kimya Ukazani Mimi Mjinga"


Kutoka kwa @kajalafrida ameamua kuweka wazi juu ya kukerwa na mtangazaji wa Clouds Media @soudbrown mara baada ya mtangazaji huyo kupost sehemu ya chatting alizodai kuwa za mrembo huyo akizungumzia kuhusu kutaka kurudiana na Harmonize. 



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/xHfuYji
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story