Ukatili: Mrembo wa Tamthilia ya Juakali Baada Kujifungua na Mtoto Kufariki Afunguka Kunyanyaswa


Ukatili: Mrembo wa tamthilia ya Juakali baada kujifungua na mtoto kufariki, aeleza alivyokuwa akipigwa na mpenzi wake

Msanii wa filamu @zaiylissa ameweza kutoa la moyoni juu ya magumu aliyoyapitia aliwa na ujauzito mpaka anakwenda kujifungua na baadae mtoto kufariki.

Staa huyo wa tamthilia ya Juakali amesema amepitia vipigo na manyanyaso kutoka kwa penzi huyo akiwa na ujauzito wa miezi 8.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/aPUME9u
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI