Posts

FAIDA ZA MASIKILIZANO KWENYE MAHUSIANO

Image
Masikilizano huleta maelewano thabiti yanayopelekea kudumishwa kwa penzi,,,,mapenzi hayahitaji ujuaji uliopitiliza bali yanahitaji upeo ambao utaruhusu mawazo yenu wote yawapeleke njia ambayo ni sahihi,,,usawa kwenye mapenzi ni sahihi ili isije mmoja akaelemewa na mzigo halafu akakinai mapenzi,,,,,hebu ishini kwa kuongozwa na upendo na kila mmoja aweke tamaa pembeni ili mfikie malengo yenu mapema. from Utundu kitandani http://bit.ly/2KjLfHj via IFTTT

MPE VIPAUMBELE MPENZI WAKO

Image
Vipaumbele kwenye maisha vipo vingi na kila kimoja kina nafasi yake,,,mwenza wako kuna wakati anahitaji muda wako tu na si kingine,,,wakati mwingine atahitaji umwoneshe kuwa yeye ana nafasi gani katika maisha yako ili awe na uhakika wa usawa,,,uhalisia wa ukweli wa penzi lako kwake,,,,,,unaposhindwa kumpa kipaumbele au muda wako,,,tambua kuwa atahisi kuwa una mwingine muhimu zaidi yake na hata upendo wake kwako utakuwa wa mashaka sababu ya kukosa uhakika kama anapendwa au hapendwi. from Utundu kitandani http://bit.ly/2XgVzmW via IFTTT

UNA HAKI NA NAFASI YA KUPENDA AU KUPENDWA

Image
Usikate tamaa,usaliti uliofanyiwa usikufanye ukayachukia mapenzi,kikubwa ni kujua sifa NA vigezo vya mtu mwenye upendo wa dhati na atakayeheshimu hisia zako,,,ni haki yako NA unaweza kufurahia mapenzi tena,,,hebu tulia na ujitathimini kisha ruhusu akili ishirikiane na hisia ili vifanye maamuzi ya kumpata mtu sahihi na wakati sahihi atayeleta furaha na kukusahaulisha machungu yote. from Utundu kitandani http://bit.ly/2XiZKyK via IFTTT
from Utundu kitandani http://bit.ly/2HNpDkV via IFTTT
from Utundu kitandani http://bit.ly/2WeTATF via IFTTT

MWANAUME MPENDE MKEO NA MWANAMKE MUHESHIMU MUMEO

Image
Ni agizo na nataka ujue nguvu iliyopo katika upendo na heshima,, mwanamke unapoonesha heshima kwa mumeo unachochea nguvu ya upendo kwake,,,kumbuka mwanaume hujiuliza nani hufaa kukaa ndani ya nyumba,,mala zote huvutiwa na heshima yako,,,Jua heshima ikiwa ndani ya pendo lenu basi kuna ustawi pia wew mkaka jua kuwa upendo na KUJALI ni tunda pekee litakalomfanya mkeo kujiona wa tofauti na wa thamani,,,na unapoonesha upendo unachochea heshima kwa mkeo,,NA kumfanya akupende na kukuheshimu siku zote. from Utundu kitandani http://bit.ly/2JOAxJ6 via IFTTT

SAMEHE PANAPOSTAHILI

Image
Sio kila anayeomba msamaha anastahili kusamehewe wengine huomba ili kupata nafasi ya kukumaliza kabisa. from Utundu kitandani http://bit.ly/2XfQZp1 via IFTTT