Posts

Showing posts from August, 2019

Hizi ndio sehemu 10 zenye msisimko mkali zaidi kwenye mwili wa mwanamke

Ujumbe wa kwanza wa Sugu baada ya kufunga ndoa na mkewe Happiness, “Sasa ni rasmi”

Faiza Ally Ajibu Mapigo Baada ya Mzazi Mwenzake Sugu Kuoa, “Hope you Will Treat Me Well Tonight”

Jux Afichua Siri ya Penzi Kwa Jack hadi V-money

Madee afunguka sakata la Dogo Janja na Irene Uwoya

Hatimaye Sugu Afunga Ndoa Leo

Diamond, Nandy Bampa to Bampa

Chameleone Afunguka Harmonize Kufuta Sauti Yake, ‘Sipendi Kukosewa Heshima’

Wakazi, Nikki wafunguka kuhusu Majani na Pro. Jay

Kim Nana Afunguka “Mimi Sijaachika na Wala Siwezi Achika Kirahisi Hivyo”

WALE mnaopenda kufuatilia maisha ya watu mpo? Haya sasa muuza nyago maarufu Bongo Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amesema kuwa yeye kuachika siyo rahisi kama watu wanavyodhani au wanavyoomba iwe kila siku anajiamini ni msichana mzuri. Kim Nana aliiambia Mikito Nusunusu kuwa mikwaruzano katika uhusiano lazima itokee hivyo hata yeye ametofautiana kidogo tu na mpenzi wake Tonny Albert ’T Bway’ lakini siyo kama wameachana kama ambavyo watu wanazusha na kibaya zaidi ni kwamba asilimia kubwa ya watu wanapenda kusema mambo ambayo hawana uhakika nayo.  “Jamani eti nimeachika na kipigo juu, mimi siwezi kuachika kirahisi hivyo kama wanavyofikiria najiamini sana, sasa watu wanapenda kuongeaongea tu mambo wasiyokuwa na uhakika nayo.“Kutofautiana katika uhusiano ni jambo la kawaida sana tu, kwa sababu hata hao wanaoongea kuhusu mimi huwa wanagombana na watu wao wakaribu,” alisema.Nana haachiki kirahisi.

Mlela Alindwa na Baunsa, Ataja Sababu

Umuhimu wa kula ndizi katika kujitibu tatizo la nguvu za kiume

Njia nyepesi na isiyo na gharama ya kuongea na mpenzi aliyekasirika

FAHAMU JINSI YA KUPATA MPENZI BORA

Image
Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia.  Hivyo ili uweze kupata mpenzi sahihi unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:  Lazima na wewe uwe bora kwanza.  Huwezi kusema unataka mtu bora wakati wewe mwenyewe siyo bora. Kama unataka mpenzi bora na sahihi kwako unatakiwa kwanza wewe mwenyewe uwe bora kwanza katika kila eneo ambalo wewe linakuhusu ndipo na wewe utakapopata mwenza bora pia. Hii si kwa wanawake tu bali hata kwa wanaume pia kama unataka msichana ambaye ni bora anza kwanza wewe kuwa bora ndipo mambo mengine yatafuta.  Lazima na wewe ujiheshimu.  Utasikia wadada / kwa wakaka wakisema mimi nataka mtu ambaye anajiheshimu, ni hesh...

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

Image
unapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinziKuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisem...

MESEJI 25 NZURI ZA MAPENZI

Image
Kuna miezi 12 katika mwaka siku 30 katika mweziΓ―¿½siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku dakika 60 katika saa 1 lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. **** I asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of water and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me you! **** Kuna vitu viwili zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe ***** I will walk with you side by side for only one condition: hide your wings every time we walk together because the whole world might know that you’re my angel! **** Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu! **** Do you take me to be your lawfully wedded text mate, in sickness or in health, through metering or not, till low bat do us part? **** Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii. **** Each of us is an angel with one...

SMS ZA KIMAHABA ZA KUMLIWAZA NA KUMFURAHISHA MWENZI WAKO

Image
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha  na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima. *°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°* “Umbali si shari ila kujua hali ni mali”, “jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”, “japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali” I LOVE U ………………………………. Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,, STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2, SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX . Nafikir ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea ………………………….. Katu si kila rafiki ni msafi wa moyo. Wengine ni wanafiki wanakuonea choyo. Hutamani ufariki wachukuwe upen...

SMS ZA KIMAHABA ZA KUMLIWAZA NA KUMFURAHISHA MWENZI WAKO

Image
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha  na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima. *°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°* “Umbali si shari ila kujua hali ni mali”, “jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”, “japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali” I LOVE U ………………………………. Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,, STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2, SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX . Nafikir ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea ………………………….. Katu si kila rafiki ni msafi wa moyo. Wengine ni wanafiki wanakuonea choyo. Hutamani ufariki wachukuwe upen...

SMS ZA MAPENZI

Image
Penzi ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahisi litadondoka...... . Usielewe vibaya sikukatazi Kupenda au Kupendwa, ila tazama wapi Umependa au Umependwa'Je kumpenda asiye kupenda ni sawa na kusubiri boti airport.

MANENO MAZURI YA KUONGEZA UPENDO KWA MPENZI WAKO

Image
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.

MESEJI ZENYE KUVUTIA MPENZI MPENZI WAKO

Image
Katika hadithi zile za kale,  Watu walipendana nyakati zile,  Kwa mapenzi matamu yenye ukweli,  Mapenzi yao hayakujali mali,  Mapenzi yao yalipendeza sana,  Mapenzi yao ya kuaminiana,  Mapenzi yale mie nayatamani,  Ninayahitaji kutoka moyoni,  Ninajuwa mapenzi hayachagui,  Yanapojenga moyo wenye uhai,  Kuna mioyo inajuwa kupenda,  Mapenzi yake hayawezi kupinda,  Mapenzi yawezayo kukuzuzuwa,  Mapenzi moyoni yaliyotulia,  Mapenzi halisi ninayoyaimba,  Ambayo kutoka kwako nayaomba. Njoo sogea nipe pendo la dhati,  Mapenzi ya uwongo siyafuati,  Njoo kwangu mpenzi we usisite,  Nami nitakupa moyo wangu wote,  Nikisema hivi utanisikia,  Nikitaka hiki utanipatia,  Kumbuka siku ya kwanza nilisema,  Nakupenda wewe tu hadi kiama,  Nikaandika tungo kwa ajili yako,  Nikaonesha mapenzi yangu kwako,  Ndivyo hivyo kamwe sitobadilika,  Nitakupend...

UMUHIMU WA KUSHUGHULIKA UNAPOKUWA FARAGHA NA MWENZI WAKO

Image
JINSI YAKUKATIKA KATIKA MAPENZI......dada angu katika mapenzi kuna ukatikaji wake, na sio wakatika mauno tu kama unacheza mdumange au singeli hapana,,,kwanza inatakiwa ujue kukatika kabla ya sex na kukatika ukiwa sasa umekalii sasa pale uume,,,na pia ukiwa katika uume pia kuna ukatikaji wake dada angu na sio umeambiwa mwanamke viuno basi wewe wayamwaga mauno yasiyo hata na mpangilio ili mradi tu uunekane umekatika na ndio mana utaona mwanaume wamkatikia mauno weee na bado anakubwaga......jua kuna ukataji wake dada angu usiyamwage tu mauno kama umekalia pombe vile hayana hata mpangilio........SASA BASI TUTAJIFUNZA HUMU HUMU JINSI YA  KUKATA MAUNO STAILI ZOTE MBILI KABLA HUJAANZA KUSEX PALE NA UKIWA USHAANZA KUSEX NA MM MWALIMU WAKO..   πŸ₯¦KUCHEZEA GSPT.......hichi ni kiungo kikubwa sana chenye hisia wapo wanaosema hata zaid ya kisimi.....hichi kiungo kipo kwa mwanamke.....ila sasa kaka aku hi gspt haiji tu mbaka kunasehemu unatakiwa uanze kuichezea na ndio kinachomoka hicho ki...

KAMA UNATAKA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO KATIKA TENDO LA NDOA JIFUNZE KWANZA SEHEMU HIZI UZIJUE VIZURI

Image
MAZIWA..ya mwanamke yana sehemu 3 katika swala la mapenzi.....na yanajinsi ya uchezeaji kaka angu...unaaza sehemu moja inafata ya pili inafata ya tatu .......mwisho unakuja kuchanganya kwa pamoja.......na sio wanaume wa sasa akilishikilia ziwa kama anaugomvi nalo....juu halipandi chini halishuki ya tafarani...kisa basi alisikia maziwa ya mwanamke yanahisia sasa ilimradi tu kalishika shika mbaka anataka kuling'oa ziwa la mtoto wa watu........SASA BASI JIFUNZE JINSI YA KULISHIKA NA KULICHEZEA ZIWA KWAMGU .....KIPINDI KIJACHO HUMU HUMU KWENYE GROUP LETU.....NA MM MWALIMU WAKO........kaeni tayali kwa somo hiloπŸ₯¦  πŸ₯¦JINSI YA KUCHEZEA UUME NA KORODANI KWA NYIE WATOTO WAKIKE..........nasio tu unavutavuta kama unataka kuzichukua vile.....tukianza na uume nao unasehemu zisizo pungua 4 za kuanza  kuzichezea na sio hivyo mnavyo vuta vuta tu mtakuja kutung'oa wenzenu na hata kama wewe  ni mpenzi wa kulamba koni pia kunaulambaji  wake ..sio walamba lamba tu kama paka kila maha...

FANYA HAYA HISIA ZA MAPENZI ZIENDELEE

Image
TUNAISHI kwenye ulimwengu unaoenda kasi sana kiasi kwamba usipokuwa makini, unaweza kujikuta ukimpoteza mtu uliyempenda sana maishani kwa sababu tu ya kujua namna ya kwenda naye sawa wakati ukiendelea na mchakamchaka wa kukimbizana na maisha! Inafahamika kwamba mapenzi ni hisia lakini ni wachache wanaoweza kueleza jinsi ya kufanya hisia za mapenzi ziendelee kuwa hai. Siku hizi ndoa nyingi zinaendelea kuwepo kwa sababu ya kudra tu, unakuta mume na mke wanaishi kwa sababu ya mazoea tu lakini si kwa sababu ya mapenzi! Wengine wanakwambia kabisa, ‘mapenzi yalikuwa wakati tunaanzana’! Wanaishi tu ilimradi siku zinaenda, ilimradi wanawalea watoto lakini si kwa sababu ya upendo kati yao. Wengine wanafikia hatua hata ya kulala mzungu wa nne au kutengana vyumba kabisa! Kwa nje mnawaona kama wanapendana lakini kumbe ndani kuna ufa mkubwa kati yao, hakuna tena mapenzi kati yao. Cha ajabu, utakuta watu hawahawa ambao leo wanaishi kimazoea, wakati wanaanzana walikuwa wakioneshana mapenzi mot...

BAADHI YA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ZINAWEZA KUZALISHA KIUMBE WA AJABU

Image
Staili ya kufanya mapenzi ina umhimu wake katika upatikanaji; kwa hizo staili ngumu mnazofanya ipo siku mtazaa ngamia. Pamoja na hayo; KIFO CHA MENDE ndiyo inayotajwa kuongoza kuwa ni staili pekee yenye uhakika wa kutungisha mimba iliyonjema kwa zaidi ya asilimia 90%. Wakati huo 2% inatajwa kuwa watoto wenye utindio wa ubongo wanaweza sababishwa na namna ya mama mzazi atakavyohudumiwa na mkunga siku ya kujifungua. Lakini je wajua? “Baadhi ya staili ngumu za kufanya mapenzi zinatajwa kuchangia kwa asilimia 8% upatikanaji wa watoto wenye umbo la kipekee (Abnormal human being). BADILIKENI MAPENZI SIYO VITA ” Mnamkunjana kama mataili?….mnafungana kamba kwenye kenchi? mnakutana kwa bembea? …mnabinuka kama popo? …kwa hayo machache mnatarajia mtapata kiumbe cha kawaida?

VYAKULA VINAVYOHUSISHWA NA TENDO LA NDOA

Image
.kuna vyakula tunafahamu  vinahusishwa sana na tendo la ndoa na wengi wao tunavijua,,yaweza kuwa ni kweli au yawezakuwa unakosea katika matumizi,,utakuta mwanaume kaambiwa karanga zinahusiana na tendo la ndoa,,, basi ndio akitaka kufanya mapenzi ndio atakula mikaranga hiyo kama ugomvi.....sasa wakishakuwa kitandani badala ya kufanya shughuli ya tendo la ndoa ..ye anaachia mishuzi hapo mbwa mbwa mbwa chumba kizima kina kuwa kama choo sasa🀣 ...ukiuliza karanga.........kaka angu kunajinsi ya kutumia hivyo vyakula nakama vile karanga, tangawizi,matikiti na mbegu zake,mbegu za maboga,nk.........nasio unafakamia tu utie aibu kitandani huko...........SASA BASI JIFUNZE KWANGU JINSI YA KUTUMIA VYAKULA HIVYO..MM MWALIMU WAKO πŸ₯¦

JIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABU

Image
UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘              πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•   πŸ’•πŸ’•πŸ‘πŸΎMke  nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.πŸ’•πŸ’•   Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.πŸ‘‰πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•   πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Mwanaume pale mwanamkeπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka ‘kumkaba’ kwani akilala vibayaπŸ’• akiwa amekukumbatia ataamka akiwa naπŸ’•πŸ’• maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.               πŸ’•πŸ˜˜ Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’•   πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.πŸ’•πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ                   πŸ’•πŸ˜˜Mume ni MT...