Posts

Showing posts from October, 2022

Twitter Kuanza Kuwatoza Pesa Watumiaji Wake kwa Ajili ya Kupata Verification Tick

Image
Twitter kuanza kuwatoza pesa watumiaji wake kwa ajili ya kupata Verification Tick. Siku chache baada ya Elon Musk kuununua mtandao huo wa Kijamii, mpango mpya ambao unatakiwa kuanza kutekelezwa mara moja ni huu ambapo mtumiaji atalazimika kulipia ($20) takribani TSh. Elfu 46 kwa mwezi. Kwa kiasi hicho, mtumiaji atalazimika kufanya Subscription ya Twitter Blue na ndipo atapatiwa Blue Tick. Kwa wale ambao tayari wamekuwa verified tangu zamani, watalazimika kuendana na utaratibu huo mpya ndani ya siku 90. Ambapo wametakiwa kufanya Subscription ya Twitter Blue, vinginevyo watapatoeza verification badge zao. Wafanyakazi wa Twitter wametakiwa kukamilisha mpango huo (feature) hadi kufikia November 7, la sivyo watapoteza Kazi. Twitter Blue ni feature ambayo inamuwezesha mtumiaji kupata Exclusive Access ya Premium features. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/l6Jm5ag via IFTTT

Mambo 7 ambayo rais William Ruto ameyafanya kinyume na matarajio ya Uhuru Kenyatta

Image
Rais aliyeondoka madarakani Uhuru kenyatta na mrithi wake William Ruto Siku chache tu baada ya rais William Ruto kula kiapo cha kuwa rais , alianza kazi ya kurekebisha kile ambacho mtangulizi wake Uhuru Kenyatta anadai alikosea wakat wa Uongozi wake. Na ili kudhihirisha kwamba uhasama uliokuwepo kati yake na mtangulizi wake haukuwa jambo la mzaha, kiongozi huyo alipangua baadhi ya maagizo yaliofanywa na mtangulizi wake . Miongoni mwao ni suala la usajili wa majaji sita wa mahakama kuu ambao rais Uhuru Kenyatta alikataa kuwateua akidai walikuwa hawana maadili. Pamoja na suala hilo haya hapa maagizo saba ya Uhuru Kenyatta yaliobadilishwa na mrithi wake Rais William Ruto. 1. Kuondolewa kwa ruzuku ya mafuta na Unga Hatua ya rais William Ruto ya kuondoa ruzuku ya mafuta na ile ya chakula ilipokelewa na hisia tofauti nchini Kenya kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha kote duniani. Licha ya kwamba ruzuku hizo zilelanga kuwapeusha wakenya wa kipato cha chini dhidi ya ma...

Wakazi "EP ya Mbosso Khan ni Kali"

Image
Rapa wakazi ametoa maoni yake baada ya kuisikiliza EP mpya ya msanii @mbosso_ #KHAN ambapo anasema ni kali kwani Mbosso hajapoteza uhalisia wake. Aidha, amebainisha kuwa ina makosa mawili ambapo ameyataja kuwa ni Ruby na Diamond. Kwa Ruby amesema hajapenda namna walivyomuwekea autotune. Kuhusu Diamond ameeleza kwamba uazimaje wake wa style za wengine umechukua attention zaidi kuliko ubora wa EP na mbosso_ mwenyewe. Mbosso aliiachia EP yake hiyo Oktoba 28, 2022 yaani Ijumaa ya wiki iliyopita, ambapo ina jumla ya ngoma 6. Umeshaisikiliza⁉️ Tuachie komenti yako from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/BK4k2Uy via IFTTT

Rayvanny Sio Bilionaire Aache Kupotosha Umma

Image
Baada ya @rayvanny ku-sign Deal na @mziiki, kama Wasambazaji wa kazi zake, amesema kwamba hivi sasa ni Billionaire kutokana na Deal Hilo. Kwanza kabisa @rayvanny inabidi aheshimu sana Neno "Billionaire", kuna maneno ya kuropoka ropoka ila sio hili neno. Tanzania nzima mpaka sasa inaaminika kwamba Billionaire ni Mmoja tu, @moodewji , sasa huyu Rayvanny anatoa wapi Confidence ya kuropoka kwamba yeye ni Billionaire? Hivi anaelewa kweli namna ambavyo Billionaire anapatikana? Au anajua kumilikia Tsh Billion 1 unaitwa Billionaire? Mbona Mabillionea wangekuwa wengi sana, mpaka mtu anayemiliki Nyumba tatu, Gari, Mashamba kadhaa na yeye angekuwa Billionaire. Rayvanny pita hata memkwa, Ubillionea unahesabiwa kwa Us Dollar sio Tsh, Ili kuitwa Billionaire lazima utajiri wako Usome kuanzia DOLLAR BILLION MOJA, DIAMOND TU NI MILLIONAIRE, WEWE UNAPATA WAPI UJASIRI WA KUJITANGAZA BILLIONAIRE? NB: Billionaire is a person possessing assets worth at least a billion pounds or dollars....

Tanzania Yafikisha Watu Milioni 61.74

Image
. Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti, akisema kuwa idadi ya watanzania ni milioni 61.74. Amesema hayo leo Jumatatu Oktoba 31, 2022 kati ya hao Watanzania milioni 59.8 wako Tanzania Bara na watu milioni 1.8 wako Zanzibar. Kwa upande wa wanawake ni milioni 31.6 sawa na asilimia 51 wakati wanaume ni milioni 30 sawa na asilimia 49. “Ninapenda kuwatanzangia Tanzania ina idadi ya watu milioni 61.74. kati yao wanawake ni milioni 31.6 sawa na asilimia 51 na wanaume milioni 30.05 sawa na asilimia 49 ya watu wote,” amesema. Rais Samia amesema Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu nchini ambao ni milioni 5.3 sawa na asilimia saba na kufuatiwa na Mwanza watu milioni 3.6 sawa na asilimia sita. Rais Samia katika kipindi cha miaka 10 kuna ongezeko la watu milioni 16.8 sawa na asilimia 3.2. “Miaka kumi iliyopita Tanzania ilikuwa na watu 44, 928, 923 hii inaonyesha kumekuwapi na ongezeko la watu mili...

Haya Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu October 2022

Image
  D from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/APcgCbs via IFTTT

Wamiliki wa Shule Wamvaa DR Mkenda Sakata la Kuifungia Shule ya Chalinze Modern

Image
Dar es Salaam. Umoja wa Wamiliki na Maneneja wa shule binafsi Tanzania (Tamongosco), wameingilia kati suala la kufungiwa kwa Shule ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani wakitaka uamuzi huo utenguliwe. Tamongosco wamejitosa katika sakata hilo ikiwa ni siku chache tangu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda kutangaza uamuzi huo baada ya kubainika watahiniwa saba walibadilishiwa namba za mtihani katika kituo cha mtihani chenye usajili na namba PS1408009. Oktoba 25 mwaka huu, waziri huyo alichukua uamuzi huo kufutia malalamiko ya mtahiniwa Iptisam Suleiman Slim wa kituo cha mtihani cha shule hiyo kueleza alibadilishiwa namba yake ya mtihani wakati akifanya mtihani wa taifa wa darasa la saba uliofanyika Oktoba 5 na 6 mwaka huu. Uchunguzi wa timu iliyoundwa ilibaini wanafunzi saba akiwemo Iptasam walibadilishiwa namba katika baadhi ya masomo yao hivyo Waziri Mkenda aliagiza kuchukuliwa hatua kwa watumishi wa shule waliohusika na kadhia hiyo pamoj...

Meridianbet soka bonanza ni nuru kwa vipaji vya vijana

Image
  Meridianbet   Soka Bonanza wiki hii lilikuwa pale maeneo ya Yombo Kiwalani, kwenye ule uwanja wenye historia kubwa ya matukio ya kimichezo, na timu nzima kutoka   Meridianbet   iliandika historia nyingine ya kuwapa burudani ya msimu wakazi wa maeneo hayo kwa Soka safi na Zawadi za kutosha kama Jezi, Mipira, Soksi na Glovu na zawadi nyingi. Ilikuwa ni kama ndoto kwa vijana wa maeneo yale ambao walikuwa wakiwaza ni nani atakaewashika mkono, kwenye kupambania vipaji vyao na hatimaye ndoto yao ikatimia pale ambapo  Meridianbet   walipoamua kuwashika mkono kwa kufanikisha jitihada zao za kufika mbali. Timu nne kutoka maeneo tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam haswa maeneo hayo ya Yombo Kiwalani zilikutana na kutunishiana misuli, sio wengine ni Ajax FC, Kiwalani United na Kiwalani FC, pamoja na Kigilagila FC palikuwa hapatoshi.   Meridianbet  walidhihirisha Ukubwa wao kwa kuzikutanisha timu hizi pamoja na waamuzi bora kabisa kama mahakimu wa mchezo ...

Marekani imemuachia Huru Mfungwa wa Guantanamo raia wa Pakistan

Image
Saif Ullah Paracha (katika picha isiyokuwa na tarehe) raia wa Pakistan ameachiwa huru kutoka gereza la Guantanamo Bay  Saif Ullah Paracha (katika picha isiyokuwa na tarehe) raia wa Pakistan ameachiwa huru kutoka gereza la Guantanamo Bay Tangazo fupi la wizara ya mambo ya nje ya Pakistan siku ya Jumamosi lilithibitisha kurejeshwa kwa Saif Ullah Paracha, mwenye umri wa miaka 74, nchini mwake. "Tunafurahi kwamba raia wa Pakistan aliyekuwa kizuizini nje ya nchi hatimaye ameungana tena na familia yake," taarifa ilisema Marekani imemuachia huru na kuhamishiwa Pakistan mmoja wa wafungwa wa nsiku nyingi sana waliobaki katika kituo cha siri cha Guantanamo Bay kinachoendeshwa na Marekani huko Cuba. Tangazo fupi la wizara ya mambo ya nje ya Pakistan siku ya Jumamosi lilithibitisha kurejeshwa kwa Saif Ullah Paracha, mwenye umri wa miaka 74, nchini mwake. "Tunafurahi kwamba raia wa Pakistan aliyekuwa kizuizini nje ya nchi hatimaye ameungana tena na familia yake," taarif...

Sarah Mwanamke Mweusi, Wazungu Waligeuza Makalio yake Kuwa Maonesho Kinguvu, Wakatoza Viingilio

Image
  Sarah mwanamke mweusi,wazungu waligeuza makalio yake kuwa maonesho kinguvu,wakatoza viingilio VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Xh81bqV via IFTTT

Mastaa Waliotokana na Mashindano ya Umiss Bongo

Image
Bongo ‘mastaa’ wa kike ni wengi na kila mmoja anaIjua mwenyewe njia aliyoitumia hadi kupata jina mjini, wapo waliopata umaarufu kwa sifa nzuri na wapo wale wa tofauti. Leo hii nataka usanuke kuwa, mastaa wengi wa kike Bongo wametoka kwenye mashindano ya umiss hapa Tanzania. Tukirudi kwenye Masijala za hawa ‘mastaa’ wetu wakike, tutakumbuka walipotokakwa. Kwa kuanza tuanze na binti Sepetu ambae dunia inamjua kama miss Tanzania 2006. Katika kinyang’anyiro cha umiss mwaka huo kulikuwa na warembo wengine kama vile Jokate alishika namba 2, Lisa Poulsen namba 3, Uwoya namba 5 na Aunty Eziekeil ambaye hakubahatika hata kunusa top 10. Mwaka uliofuata 2007, katika mashindano ya miss Mwanza alipatikana staa mwingine Zamaradi Mketema, ambae kipindi hicho Uwoya na Jokate wakiwa ni miongoni mwa majaji katika mashindano hayo. Wifi yetu/Shemeji yetu kwa #ReyKigosi, hapa namzungumzia Chuchu Hansi ambae yupo vizuri kwenye filamu zetu za hapa Bongo pia alikuwa Miss Tanga 2005. Warembo wen...

Mbagala kupelekewa mabasi 750 ya mwendokasi

Image
Dar es Salaam. Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Oktoba 29, 2022 na Mkurugenzi wa Maendeleo ya  Usafirishaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Fanuel Karugendo walipojumuika na wakazi wa Mbagala na wadau wengine kufanya usafi katika Kata ya Mbagala. Karugendo amesema mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo.  Aidha Mkurugenzi huyo amesema mradi huo utasaidia kusafirisha abiria 600,000 mpaka 700,000 kwa siku kupitia barabara hiyo. "Hata katika kuja kushiriki usafi leo ni katika kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kujiandaa na ujio wa mabasi hayo ambayo asili yake ni kutoa huduma katika mazingira safi,"amesema Karugendo. Mkazi wa eneo hilo, Shukuru Othuman amesema usafiri huo utamaliza changamoto zao za usafiri wa umma katika eneo hilo. from UDAKU SPECIAL https://ift...

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Kutoka Katika Makampuni Mbali Mbali

Image
Principal Sales And Marketing Officer at Kibo Seed Company Laboratory Technician at ICAP – 12 Positions Sales Officer at Kibo Seed Company Quantitative Interviewers at ICAP – 24 Positions Visitor Coordinator at School of St Jude Internship: Finance and Administration at UONGOZI Institute 5 Job Opportunities at ISOAF Tanzania Limited – Various Posts Digital Education Project Officer at Save the Children Field Supervisors at ICAP – Various Positions Bio-Behavioral Survey (BBS) Site Coordinator at ICAP  from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ZuAFEcq via IFTTT

Diamond Platnumz Amponza Mbosso, Wimbo wa Yataniua Yaondolewa Youtube

Image
Siku moja baada ya msanii kutoka lebo ya WCB, Mbosso kuzindua EP yake aliyoipa jina la KHAN katika ufukwe wa Bahari Beach jijini Dar es Salaam, moja kati ya nyimbo sita zilizomo kwenye EP hiyo imeondolewa Youtube. Ngoma iliyoondolewa, inaitwa YATANIUA ambayo Mbosso ameimba na bosi wake, Diamond Platnumz na hivyo kufanya ngoma zilizosalia YOUTUBE kuwa tano, Asalaam, Wayo, Shetani, Pole na Huyu Hapa. Tangu kuzinduliwa kwa EP hiyo, kuliibuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, Diamond akituhumiwa kuigilizia nyimbo mbili kwenye kipande alichoimba katika wimbo huo. Kipande cha kwanza anachodaiwa kukopi ni kutoka kwa msanii Asake wa Nigeria katika Wimbo wake wa Peace Be Unto You ambapo alichokibadilisha Diamond ni maneno tu lakini staili ya uimbaji inafanana kwa kila kitu na kipande hicho cha Asake. Kipande cha pili ambacho Diamond anadaiwa kukopi, ni kutoka kwenye ngoma ya Adiwele kutoka kwa msanii wa Afrika Kusini, Young Stunna akiwa amewashirikisha Kabza De Small na DJ ...

JE, Una Uume Mdogo au Upungufu wa Nguvu za Kiume? Soma Hapa

Image
IMEWASILIII!!. Baada ya wengi kuiulizia kwa muda mrefu, sasa imewasili. WENICK CAPSULES ni vidonge Bora kabisa vya kuongeza UUME na NGUVU hata kwa walio na tatizo la kisukari na presha. Dawa hii imeboreshwa zaidi na matokeo unaanza kuyaona siku unapoanza tu kutumia. Vidonge hivi vimetengenezwa kwa mimea na matunda na havina madhara yoyote. VINATIBU:- *Kukosa hamu ya TENDO *Uume mdogo *Kushindwa kurudia TENDO *Kushindwa kutungisha mimba *Uume kusimama legelege Dawa hii inatibu matatizo hayo hata kwa walioathiriwa na kisukari au kujichua kwa muda mrefu. Inapatikana @270,000/= tu PIA TUNA:- >GIN SENG (240,000/=) Hii huongeza ham ya tendo, nguvu na uwezo wa kurudia tendo >MAX MAN GEL (240,000/=) Hii huongeza urefu na upana wa dhakari >VIGA SPRAY (180,000/=) Hii huchelewesha kumaliza tendo WEKA ODA KWA:- Call/Whatsapp no (+55) 0767447444 0714335378 TAHADHARI:- Hakikisha unapatiwa risiti yenye mhuri na GARANTII ili kuepuka bidhaa feki mitandaoni. ...

Paula, Fahyma Wamponza Rayvanny Ashambuliwa Kisa Vijembe Kwenye Nyimbo

Image
  Rayvanny au Chui; ni msanii mwingine mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye amejikuta akishambuliwa, kisa ex-wake, Paula Kajala na baby mama wake, Fahyma. Hii ni baada ya kudaiwa kuachia nyimbo ambazo zina vijembe ndani yake tangu alipotangaza kujiondoa kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na Diamond Platnumz. Katika moja ya nyimbo zake ambayo amemshirikisha msanii G Nako, Rayvanny anarusha vijembe kwamba inakuwaje mtu umeshaachana naye, halafu bado anakufutailia ikidaiwa hapo anamlenga Paula ambaye aliachana naye hivi karibuni. FAHYMA au Fahyvanny; ni mwanamitindo na sosholaiti. Kufuatia kuandamwa na maneno mengi kwamba, kuna kitu hakipo sawa, ndipo Rayvanny akaamua kuwatolea uvivu baadhi ya wakosoaji wake akiwataka kunyamaza kwani anafanya muziki wake kwa ajili ya watu wake na hana vita na mwanamke yeyote duniani. “Nafanya muziki wangu kwa ajili ya watu wangu na sina vita na mwanamke yeyote duniani, tusipangiane. Baada ya kuachana...

Haya Hapa Magazeti ya Leo Jumamosi Tarehe 29 October 2022

Image
  Haya Hapa Magazeti ya Leo Jumamosi Tarehe 29 October 2022 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/zf5ThGY via IFTTT