Posts

Showing posts from February, 2023

Bamia Hii Hii Unayoijua..Pambana na Magonjwa Yafuatayo kwa Kutumia Bamia..!!!

Image
watu wengi tumekua hatutumii bamia either kwa radha yake au tu kasumba ya kuona Bamia ni MBOGA ya walala hoi !!!.  Leo Naomba ufahama Bamia kama moja ya Mboga za majani ndio MBOGA yenye uwezo wakusaidia afya zetu ,,,Bamia ina unatajiri wa nutrients mbali mbali ,, nutrients izo ni  1)- Calories - 30 calories 2)-Vitamin C- 21 Milligrams 3)-Carbohydrates - 7.6 Grams  4)-Fatty - 0.1 grams  5)-Magnesium - 16 milligrams 6)-Diatery Fibers - 3 grams . Kutokana na kua nautajiri huo mkubwa,, Tafiti zimethibitisha kua BAMIA ni kiboko ya Magonjwa yafuayo  - Diabetes ( kisukari) -Asthima ( inayoanza na iliyokwisha kuathiri) -Cholesterol -Kidney Disease (Magonjwa ya figo) Ulcers (Vidonda vya tumbo ). -Mimba ,,husaidia mtoto kukua akiwa na Afya njema na aliyekamilika . -Anemia  -Matatizo ya kutoona Vizuri . -Pia Bamia huongeza nguvu ktk mfumo wa mwili wa kinga ktk kupambana na magonjwa . - Kuondoa Maumivu wakati wakutoa haja kubwa  -Kuimaris...

Tazama Magazeti ya Leo Jumatano Tarehe 01 March 2023

Image
  Tazama Stori kubwa katika Magazeti ya Leo Jumatano Tarehe 01 March 2023 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/jshNdC8 via IFTTT

Kura ya Alaba kwa Messi yamponza

Image
  David Alaba amesisitiza kuwa kura ya timu ya Austria kwa Lionel Messi kama Best FIFA Men’s Player iliamuliwa na timu nzima na siyo yeye peke yake kama Nahodha, hayo yamejiri baada ya kushambuliwa mitandaoni kwa kuacha kumpigia, Karim Benzema ambaye wapo wote Real Madrid. Iliwashangaza wengi Kura ya Alaba imeonekana kumchagua Messi na kumpa Benzema nafasi ya pili kisha Mbappe nafasi ya tatu. Tuzo hiyo upigiwa kura na Nahodha wa timu za taifa, Makocha na Waandishi wa habari za michezo kutoka kila taifa. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/LyqxFvg via IFTTT

Kuvaa Shanga Miguu au Vikuku Kwa Mwanamke Kuna Maana Yoyote Mbaya?

Image
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile, au analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo kwenye urembo huu. Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je mwenza wako akivaa urembo huo, utaafiki? from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/B4dC2AW via IFTTT

Polisi wa Afrika Kusini wafunguka hatua waliyofikia kubaini waliomuua AKA

Image
  Polisi wa Afrika Kusini wafunguka hatua waliyofikia kubaini waliomuua AKA VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/4pL6OUY via IFTTT

Rais Samia Amteua Dkt. Said Ally Mohamed Kuwa Katibu Mtendaji Wa Baraza La Mitihani (NECTA)

Image
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, kabla ya uteuzi huu Dkt. Mohamed alikuwa ni Mkurugenzi wa Huduma za Ufundishaji, Mafunzo na Mitihani, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/huLGQJs via IFTTT

Wanaouzia Wanafunzi ‘Dawa Mvuto wa Mapenzi’ Waondolewa

Image
Wauzaji wa dawa za asili wakiwa nje ya mlango wa kuingilia katika Shule ya Sekondari Viwandani iliyopo jijini Dodoma. Picha na Habel Chidawali Dodoma. Siku chache baada ya gazeti hili kuandika kuhusu biashara ya dawa za mapenzi kwa wanafunzi wa shule za Sekondari Viwandani na Dodoma, Serikali imewaondoa wafanyabiashara hao. Jumatano ya wiki iliyopita gazeti hili liliandika habari ikieleza ‘dawa za mvuto wa mapenzi, nguvu za kiume zinavyowatesa wanafunzi’ habari ambayo iliibua hisia za watu na Serikali kuchukua hatua. Awali, Mkurugenzi wa Jiji, Joseph Mafuru na Meya Profesa David Mwamfupe waliahidi kulifanyia kazi jambo hilo na kuwaondoa wafanyabiashara, ili kuwanusuru wanafunzi na vitendo viovu. “Tumekusikia na katika hili naagiza mara moja wanaohusika waende wakalifanyie kazi maana kuna mambo ya kusubiri, lakini mengine ni ya kuchukua hatua mapema iwezekanvyo,” alisema Profesa Mwamfupe. Miongozi mwa mambo yaliyotajwa kufanyika eneo hilo ilikuwa ni kwa wauza dawa hao kuwauzia...

Kitwanga Atoa ya Moyoni "Inanichekesha Kivuko CHETU Kupelekwa Kenya Kutengenezwa"

Image
  Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amehoji “Sijali kama kivuko chetu (MV Magogoni) kilinunuliwa kwa Tsh. Bilioni 8 na kinaenda kutengenezwa kwa Tsh. Bilioni 7.5 lakini tunashindwaje kukitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka #Kenya?” Ameongeza “Tuangalie nani yupo nyuma ya huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na uamuzi walioufanya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze #Tanzania ili Wazawa wapate kazi na siyo kuiba kisha mnapeleka fedha nje ya Nchi.” from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/dfZXn0p via IFTTT

Yanga Waanza Kubet Michezo Miwili ya Kwa Mkapa Kuingia Nusu Fainali Baada ya Kutoka Suluhu na Bamako

Image
  UONGOZI wa Yanga umetamba kuwa bila kujali matokeo yao ya mchezo wa jana Jumapili dhidi ya Real Bamako, kikosi chao kina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushinda michezo yao miwili ya nyumbani dhidi ya Real Bamako ya Mali na US Monastir ya Tunisia. Yanga jana Jumapili walishuka kwenye Uwanja wa Machi 26, nchini Mali kuvaana na Real Bamako ya Mali katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mara baada ya ushindi dhidi ya TP Mazembe, Yanga sasa imebakiwa na michezo miwili ya nyumbani dhidi ya Real Bamako na US Monastir. Akizungumzia malengo yao katika mashindano hayo Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe alisema: “Leo (jana), Jumapili tunatarajiwa kuwa na mchezo dhidi ya Real Bamako ambao ni muhimu kwetu kupata matokeo ya ushindi au angalau sare kwa ajili ya kuweka sawa hesabu za kucheza robo fainali ya mashindano haya. “Lakini hata kabla ya mchezo huu na bila kujali matokeo yake tayari tuliweka w...

Yanga Wakomaa Na Hesabu Za Robo Afrika Uwanja Wa Mkapa Dar

Image
  UONGOZI wa Yanga umetamba kuwa bila kujali matokeo yao ya mchezo wa jana Jumapili dhidi ya Real Bamako, kikosi chao kina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushinda michezo yao miwili ya nyumbani dhidi ya Real Bamako ya Mali na US Monastir ya Tunisia. Yanga jana Jumapili walishuka kwenye Uwanja wa Machi 26, nchini Mali kuvaana na Real Bamako ya Mali katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mara baada ya ushindi dhidi ya TP Mazembe, Yanga sasa imebakiwa na michezo miwili ya nyumbani dhidi ya Real Bamako na US Monastir. Akizungumzia malengo yao katika mashindano hayo Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe alisema: “Leo (jana), Jumapili tunatarajiwa kuwa na mchezo dhidi ya Real Bamako ambao ni muhimu kwetu kupata matokeo ya ushindi au angalau sare kwa ajili ya kuweka sawa hesabu za kucheza robo fainali ya mashindano haya. “Lakini hata kabla ya mchezo huu na bila kujali matokeo yake tayari tuliweka waz...

Hii si Movie, Wahalifu wa Magenge ya El Salvador Wakiingizwa Kwenye Gereza Jipya! Wanatisha

Image
Hii si movie, wahalifu wa magenge ya El Salvador wakiingizwa kwenye gereza jipya! Wanatisha VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Qd2G1hf via IFTTT

Tazama Magazeti ya Leo Tarehe Jumatatu 27 February 2023

Image
Tazama Magazeti ya Leo Tarehe Jumatatu 27 February 2023 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Kv9bSeY via IFTTT

Kocha Wa Yanga Aiteka Shoo Leo Jumapili Dhidi Ya Real Bamako Ya Mali

Image
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameiteka shoo yote katika mchezo wa leo Jumapili dhidi ya Real Bamako ya Mali, baada ya kutambulisha mbinu mbili kali za ushindi wakiwa ugenini. Yanga ambayo inashika nafasi ya pili kwenye Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika, leo Jumapili itapambana na Real Bamako, mchezo ukipigwa Stade du 26 Mars, dimba lililopo Kusini mwa Mji wa Bamako nchini Mali. Katika mchezo huo unaotarajiwa kuanza saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Yanga imepania kuibuka na ushindi ili kuweka mazingira mazuri zaidi ya kufuzu robo fainali ya michuano hiyo. Juzi Ijumaa katika mazoezi yao ya kwanza yaliyofanyika kwenye kituo cha Stade Malien, Yanga ilionekana kufanyia kazi zaidi mazoezi ya kufunga kutumia mipira ya krosi. Mbali na zoezi hilo, pia benchi la ufundi la timu hiyo lilitoa program ya kufunga mabao kwa mashuti makali nje ya eneo la hatari la wapinzani. Katika mazoezi ya kufunga kwa kutumia krosi, program hiyo iliwataka mabeki wa pembeni kupiga ...

Upungufu wa nguvu za kiume, kukosa hamu au Maumbile Madogo Husababisha Mwanaume Kushindwa Kujiamini Katika Tendo

Image
  Upungufu wa nguvu za kiume, kukosa hamu ya tendo au maumbile madogo husababisha mwanaume kushindwa kujiamini katika tendo.  DALILI NI KAMA:-  1.kukosa hamu ya tendo 2.Kuwahi kufika kileleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Dhakari kusinyaa katika ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Dhakari kusimama kwa ulegevu          TIBA SAHIHI:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza hamu na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.MAX MAN GEL @240,000/= >Hii uongeza dhakari kwa inch 5-7 3.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza dhakari kwa inchi 6-7 4.MAX MAN, VIMAX @270,000/= >Huongeza dhakari, nguvu na kuimalisha misuli kwa walioathiliwa na kujichua  5.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii uongeza dhakari kwa size unayotaka pamoja na kuimalisha misuli 6.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelesha kufika kileleni na kuongeza parfomance Fuatilia huduma na vipindi vyetu ktk mitandao ...

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mgumba Atenguliwa

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba. Aidha Rais Samia amemuhamisha Waziri Kindamba kutoka kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe na kwenda kuwa Mkuu wa Tanga. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa leo Februari 26, 2023 imeeleza mabadiliko mbalimbali yaliyofanywa na Rais kama inavyosomeka hapo chini. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fPET2oq via IFTTT

Tumalize Ubishi Hapa Hapa, Nani zaidi Kwenye Mahaba, Wembamba vs Vibonge?

Image
Rafiki, ngoja tuchangamshe kijiwe kidogo, mambo ya ushauri wa mapenzi nitaendelea nayo wiki ijayo, lakini leo hebu tujikite kwenya mjadala huu mzito. Kwako wewe yupi bora? Mwembamba? Kipotabo? Kimbaumbau? Au kibonge? Minyamanyama? Au mirindimo? Jamaa zangu wananinong’oneza kwamba wembamba ni moto wa kuotea mbali. Lakini nilipowauliza wataalam mbalimbali juu ya hilo, mambo yalikuwa ni moto! Jibu nililopata ni kwamba kwa asilimia kubwa kuna ukweli; kwamba walio na wembamba wana uwezo wa kukimbia masafa marefu zaidi ya wale ambao ni wanene. Japokuwa wanaweza kujitetea; lakini ukweli ni kwamba siyo wanene wengi wenye uwezo wa kukimbia masafa marefu. Suala la mahaba linahitaji kutumia akili zaidi ya kufikiri kwamba utamridhisha mwenzi wako kwa sababu wewe ni mwembamba au mnene. Ni wanawake wa aina gani wanavutia zaidi katika suala la mahaba? Utafiti unaonesha kuwa walio wembamba wana raha yake kwa sababu furaha ya wanaume wengi ni kudumu kwenye mapenzi kwa muda mrefu. Kwa hiy...

KUMEKUCHA Uchaguzi Nigeria: Boko Haram wajeruhi wapiga kura

Image
  Takriban watu watano (wanawake wawili na wanaume watatu), wamejeruhiwa kufuatia watu wanaoshukiwa kuwa ni magaidi wa Boko Haram kufyatua mabomu ya lami toka Milima ya Mandara ya Gwoza, iliyopo eneo la serikali ya mtaa wa Jimbo la Borno wakiwalenga wapiga kura. Washambuliaji hao, wanahisiwa kutoka kambi ya Ali Ngulde ya kikundi cha Jamā’at Ahl as-Sunnah lid-Da’wah wa’l-Jihad milki ya Boko Haram, na walifanya mashambulizi wakati wapiga kura wakikaribia kuanza mchakato wa upigaji kura wa Rais na Wabunge unaofanyika nchi nzima. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka kwa vyanzo vya usalama na Zagazola Makama, Mtaalam wa Kupambana na uasi na Mchambuzi wa Usalama katika Ziwa Chad, amesema mashambulio hayo yalivuruga mchakato wa upigaji kura kwa saa kadhaa huku wapiga kura wakikimbia ili kuokoa maisha yao. Eneo hilo la Gwoza, lililopo takriban km103 kusini mwa mji mkuu wa Jimbo la Maiduguri, limekuwa likikumbwa na machafuko ya mara kwa mara ya makundi ya waasi, ambayo hutek...

Huku Fahyma, Kule Paula, Rayvanny Apagawa, Awekwa Mtu Kati

Image
  Patakuwa hapatoshi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo kwa mara ya kwanza,Rayvanny atakutana uso kwa uso na baby mama wake, Fahyma  katika event ambayo Paula Kajala naye atakuwepo! Inafahamika kwamba Paula ndiye aliyevunja penzi la wawili hao na kusababisha Rayvanny ahamishie majeshi kwake, lakini baadaye ikaelezwa kwamba Chui ameamua kurudi kwa mzazi mwenzake, Fahyma baada ya kuzinguana na paula. Watatu hao watakutana ‘live’, Jumapili hii mkoani Kilimanjaro ambako itafanyika shoo kubwa ya mastaa wa Bongo Fleva na Bongo Movies katika Ukumbi wa Hugo Gardens. Mitandaoni tayari kumechafuka, wadau wakihoji je, Rayvanny atachagua kuhang na nani kati ya wawili hao? from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/xjRgcG4 via IFTTT

Upungufu wa nguvu za kiume, kukosa hamu au Maumbile Madogo Husababisha Mwanaume Kushindwa Kujiamini Katika Tendo

Image
Upungufu wa nguvu za kiume, kukosa hamu ya tendo au maumbile madogo husababisha mwanaume kushindwa kujiamini katika tendo.  DALILI NI KAMA:-  1.kukosa hamu ya tendo 2.Kuwahi kufika kileleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Dhakari kusinyaa katika ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Dhakari kusimama kwa ulegevu          TIBA SAHIHI:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza hamu na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.MAX MAN GEL @240,000/= >Hii uongeza dhakari kwa inch 5-7 3.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza dhakari kwa inchi 6-7 4.MAX MAN, VIMAX @270,000/= >Huongeza dhakari, nguvu na kuimalisha misuli kwa walioathiliwa na kujichua  5.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii uongeza dhakari kwa size unayotaka pamoja na kuimalisha misuli 6.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelesha kufika kileleni na kuongeza parfomance Fuatilia huduma na vipindi vyetu ktk mitandao ya kijami...