Posts

Showing posts from December, 2023

Yanga yaanza kwa kishindo Mapinduzi, yamchampa mtu 5-0

Image
Yanga SC wameanza mbio za Kombe la Mapinduzi kwa kumtandika Jamhuri 5-0 katima mechi yao ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano hayo. Jamhuri SC 0 - 5 Yanga SC Mechi hiyo ambayo Yanga aliuwasha zaidi na kuonesha ana wachezaji bora imepigwa kwenye Uwanja wa Amaani Visiwani Zanzibar. Magoli ya Yanga yalifungwa na Crispine Ngushi (2), Skudu Makudubela, Kibwana Shomari na Crement Mzize. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/wmiRJ2v via IFTTT

Matokeo Simba Vs JKU Leo 01 January 2024, Mapinduzi Cup

Image
Matokeo Simba Vs JKU Leo 01 January 2024, Mapinduzi Cup MATOKEO Simba vs JKU Leo 01 January 2024,Matokeo Simba vs JKU SC tarehe 01/01/2024, Simba VS JKU Zanzibar, Simba vs JKU Leo Mapinduzi Cup 2023/2024, Simba vs JKU SC, JKU SC vs Simba SC, SIMBA vs JKU Live Leo, Simba SC vs JKU SC Leo, Matokeo ya Simba Sc vs JKU SC Zanzibar Leo 01 January 2024. Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya JKU SC ya Zanzibar. Mchezo huo wa Kwanza wa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2023/2024 unatarajiwa kupigwa January 01, 2024 kuanzia saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar, JK SC vs Simba SC, Simba Sc players, Simba SC  Fuatilia matokeo ya moja kwa moja kati ya JKU SC SC vs Simba SC hapa chini, Matokeo ya dakika baada ya dakika na takwimu za mechi hiyo zitawekwa hapa chini, JKU Sports Club vs Simba 1.1.2023 Mapinduzi Cup 2023/2024 Matokeo  SIMBA 0:0 JKU from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/jsAE3aS via IFTTT

Mapinduzi Cup 2024 Top Scorers / Wafungaji Bora Kombe la Mapinduzi

Image
  Lets Zoom in on the Updated Mapinduzi Cup 2024 Top Scorers / Wafungaji Bora , The Mapinduzi Cup 2024 commenced on December 28, 2023 and will hold its Final game on January 13, 2024 in Zanzibar . This is When the Champions of Mapinduzi Cup 2024 will be crowned. Twelve teams are competing for the Mapinduzi Cup 2024 title in this Season's Edition and Already goals are getting fired into the back of net by the Mapinduzi Cup 2024 Top Scorers / Wafungaji Bora . In this Season's Mapinduzi Cup 2024 , Simba play against Jamhuri, APR, and Singida Fountain Gate in group B, and Yanga faces off against Bandari, KVZ, and Vital'o in group C, while Holders Mlandege square off against Azam, Chipukizi, and URA in group A. Before we have a look at  Mapinduzi Cup 2024 Top Scorers / Wafungaji Bora , first let us check the current Group Standings ,which are as follows. Group 'A' Azam FC,  - 4 Pts Mlandege - 2 Pts Vitalo'o,  - 2 Pts   Chipukizi  - 1 Pts Group 'B

Ajali ya Basi iliyouwa 13: Ndugu waitwa kutambua miili

Image
Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki imesema Mamlaka za Jamhuri ya Zambia zilitoa taarifa kuhusu ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Volvo la Kampuni ya Mukombe Luxury lenye namba za usajili DK72 HH GP linalofanya safari kati ya Afrika Kusini na Tanzania, lililogongana uso kwa uso na lori lenye namba za usajili T850 DSN la nchini Tanzania. Katika ajali hiyo iliyotokea katika Wilaya ya Serenje, Jimbo la Kati nchini Zambia Desemba 26, 2023 ilisababisha vifo vya watu 13 na majeruhi 42 wa mataifa mbalimbali, ikiwemo Tanzania, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Ethiopia, Afrika Kusini, Botswana na Zambia. Watanzania waliofariki dunia katika ajali hiyo ni Oscar Mwamulima (37), mwenyeji wa Mbozi, Mbeya, Said Mohamed Dige (20), mwenye hati ya Kusafiria Na. TAE403048, mzaliwa wa llemela, Mwanza. Wenngine ni Peter Blass Munishi (48), mwenye Hati ya Kusafiria Na. TAE378465, mzaliwa wa Siha, Kilimanjaro na Bashiru Sa

Msanii Rayvanny Afunguka kuzimiwa mziki Wasafi Festival Arusha

Image
Msanii Rayvanny amefunguka kuwa alizimiwa mziki alipokuwa anafanya show ya wasafi festival mkoani Arusha na sababu Ni kwamba muda wa show ulizidi na aliyefanya hicho kitendo alikuwa ni mmoja wa wafanyakazi wa Wasafi na Rayvanny alimfuata alivyoshuka stejini na kumsema kwa kuwa haukuwa utaratibu mzuri kwasababu ni kitendo kilichomkera mpaka kufikia kumfikishia habari Diamondp ambaye ndio boss wa show hiyo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nLD6QST via IFTTT

Chama, Phiri Waipasua Simba SC

Image
Wachezaji kutoka Zambia Clatous Chama na Mose Phiri wameonekana kuipasua Simba SC, kwa baadhi viongozi kutaka waendelee kuwapo klabuni huku wengine wakisema waondoke zao. Awali, ilielezwa kuwa baadhi ya wadau wa klabu hiyo wakiwamo baadhi ya viongozi na benchi la ufundi, walitaka ishu za wachezaji hao zimalizike haraka kwa kuwaacha waende zao, lakini imeonekana kizuizi ni mikataba yao. Hivi karibuni ilitolewa taarifa ya kusimamishwa kwa Chama, huku Phiri ikielezwa ameandika barua ya kuomba kuondoka kwenye timu hiyo kutokana na kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza. Hata hivyo, chanzo cha uhakika kutoka ndani ya Simba SC kinasema kila kikao kinachohusu ishu hiyo, kimekuwa kikiwagawa wajumbe baadhi wakitaka wachezaji hao wabaki na wengine wakitaka waondoke. Taarifa zinasema, Phiri bado yupo kwenye kikosi akiendelea na ishu zake kama kawaida, huku suala la Chama likiwa linasubiri Kamati ya Nidhamu na Maadili kulimaliza, huku chanzo kikisema barua bado haijafikia kamati hiyo in

Magazeti ya Leo Tarehe 30 December 2023

Image
  Magazeti                                           Magazeti ya Leo Tarehe 30 December 2023 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CvdlFwD via IFTTT

Mtunzi wa filamu ya 'Sarafina' afariki kwa ajali

Image
  Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema aliuawa katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern Cape jioni hii,” familia yake ilisema katika taarifa Jumatano. Mwandishi mashuhuri wa tamthilia hiyo alikuwa abiria katika gari lililohusika katika ajali hiyo. Alifahamika zaidi kwa kutengeneza kibao cha Sarafina! ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Broadway mnamo 1988. Ilichukuliwa kuwa tamthilia ya muziki iliyoigizwa na Whoopi Goldberg mnamo 1992 ambayo ilipata mafanikio ya kimataifa na iliteuliwa kwa Tuzo za Tony na Grammy. Sarafina! alisimulia hadithi ya mwanafunzi mdogo na jinsi alivyowatia moyo wanafunzi wenzake kupigana dhidi ya ubaguzi wa rangi katika ubaguzi wa rangi Afrika Kusini baada ya mwalimu wake kutupwa gerezani. Ubaguzi wa rangi ulikuwa mfumo wa kitaasisi ambao

Yanga na Msuva Mambo Safi, Kumtangaza Rasmi Mapinduzi Cup

Image
  Hatima ya winga wa Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Simon Msuva, kurejea katika klabu yake ya zamani ya Yanga huenda ikajulikana kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza kesho Visiwani Zanzibar, huku nyota huyo akisema lolote linaweza kutokea. Taarifa zilizopatikana jijini, Dar es Salaam zinasema Msuva ameshaachana na JS Kablie ya Algeria, na sasa yuko huru kujiunga na klabu nyingine. Uamuzi wa kutangaza usajili wa nyota huyo huko Zanzibar ulitolewa na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye pia alikariri klabu yake itamtambulisha mchezaji ambaye si mgeni hapa nchini katika mechi yao ya kwanza ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, alisema tayari wameshakamilisha mazungumzo na nyota huyo ambaye yuko nchini akifanya mazoezi na kikosi cha Taifa Stars na kinachosubiriwa ni wakati huo sahihi waliopanga. "Tulitaka kutangaza mchezaji mpya, lakini tumeahirisha, Rais wa klabu akashauri kuwa ni bora tukamtangaze kwenye K

Ndoa 15 zafungishwa kwa Mkupuo Arusha

Image
  Katika Kusherehekea Sikukuu ya kuzaliwa kwake Yesu Kristo ,(Krismas) Kanisa Katoliki Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria lililopo Unga ltd katika Jimbo Kuu la Arusha safi limefungisha ndoa 15 kwa mkupuo ,huku Paroko wa Kanisa hilo,Padri Festus Mangwangwi akiwapa miezi mitatu wanandoa hao, kuhakikisha ndoa zao zinajibu kwa kupata ujauzito. Aidha kanisa hilo pia limebatiza watoto wachanga wapatao 70 ikiwa ni ishara ya kuendelea kukua na kukubalika kwa kanisa hilo duniani. Katika Mahubiri yake Padri, Mangwangi alisisitiza kwa kila muumini kutoishi maisha ya kipagani bali waishi maisha ya ndoa yenye kumpendeza Mwenyezi Mungu na kwamba aliyewaunganisha Mwenyezi Mungu binadamu asiwatenganishe ???????????????????? huyo,alitoa miezi mitatu kwa kila bi harusi aliyefunga ndoa kanisani hapo kuhakikisha ananasa Ujauzito na baada ya muda huo anataka kushuhudia agano hilo kanisani. Kwa kuonesha hatanii aliwataka wanandoa wa kike kushika kipaza sauti na kumhakikishia mume wake kwamba atamz

Haya Hapa Magazeti ya Leo Tarehe 28 December 2023

Image
  Haya Hapa Magazeti ya Leo Tarehe 28 December 2023 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/B2XDbke via IFTTT

Mtalii Aliyeua Mambo Mrefu Kuliko Wote Hajafanya Kosa, Alikuwa na Kibali

Image
Kufuatia mlipuko wa kihisia ambao umeibuka katika mitandao ya kijamii baada ya Mwindaji kutoka nchini Marekani Josh Bowmer kutamba kwenye mitandao baada ya kumuua Mamba mkubwa zaidi Duniani aliyekuwa anapatikana nchini Tanzania, #XXLyaCloudsFM imepiga story na @nakaayasumari ambaye ni mtaalamu wa masuala ya Wanyama Pori kutupa mwanga wa ambacho kimetokea! Nakaaya anaeleza kwa uelewa wake kuwa kama Taifa lina ruhusu uwindaji kwa baadhi ya Wanyama Pori ikiwa ni kwa kufuata taratibu maalum! Kuhusu Josh, anaamini pia amefuata taratibu za kupata kibali ambacho kikawaida kinagharimu gharama kubwa. Source: Clouds FM from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/UnWG7pP via IFTTT

TANZIA: Mtoto wa Naziz Afariki Dunia Akiwa Hotelini Tanzania

Image
TANZIA: Mwanamuziki kutoka Kenya Nazizi amefiwa na mtoto wake Jazeel Kwa mujibu wa ujumbe uliochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Nazizi umeeleza kuwa #Jazeel amefariki akiwa nchini Tanzania kwaajili ya mapumziko ya Christmas Barua hiyo haijaeleza kwa undani sababu ya kifo cha mtoto huyo lakini imeeleza kuwa kuna tukio lililotokea wakiwa Hotelini ambalo limepelekea kifo Chake Tukio hilo limetokea December 25,2023 siku ya Sikukuu ya Christmas. Tayari mtoto huyo amezikwa nchini Kenya siku ya leo from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/SIavtXo via IFTTT

Edo Kumwembe Afunguka Kwanini Fei Toto Asifiwi Kwa Kiwango Chake Uwanjani Kama Anavyosifiwa Pacome

Image
Ameandika Edo Kumwembe: Hata hivyo, Fei haimbwi. Hakuna anayepiga kelele. Kwanini aimbwe wakati anacheza Azam? Kuna wachezaji wanafunga mabao mazuri lakini kwa sababu hawapo Simba na Yanga basi hatuwapigii sana kelele na wala mabao yao hatuyaposti mitandaoni kwa mbwembwe kama mabao ya kina Pacome Zouzoua. Kama Feisal angekwenda Simba basi kiwango hiki hiki ambacho kinatumika na Wanayanga kumsifu Pacome ndicho kiwango kile kile ambacho watu wa Simba wangekuwa wanamsifu Fei. Tatizo kubwa Fei amekwenda katika klabu ambayo haina mashabiki wengi kama wa Simba na Yanga. Amekwenda katika klabu ambayo nadhani hata wachezaji wa kigeni hawapewi sifa wanazostahili. Naamini hata kina Kipre Tchetche hawakupewa sifa wanazostahili kwa sababu walikuwa Azam. Vipi kuhusu James Akaminko? Unadhani anaweza kusifiwa kama ambavyo Mudathir Yahya anasifiwa pale Jangwani? Hapana. Mpira wetu una utamaduni wake.” 😃 — Edo Kumwembe. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/OoqW8lR via IFTTT

Moses Phiri Bado Aipasua Simba Kichwa

Image
  Moses Phiri Simba wanarudi mazoezini kwa sasa ili kujiandaa na michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 itakayoanza Alhamisi, huku ikielezwa mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Moses Phiri akiwavuruga na kuwagawa mabosi wa klabu hiyo kutokana na shinikizo la kutaka avunjiwe mkataba ili atimke zake. Katikati ya wiki, Mwanaspoti lilipenyezewa taarifa kwamba Phiri ameamua kuandika barua ya kuomba kuondoka kla-buni hapo kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, jambo linalomnyima furaha, japo mabosi wa klabu hiyo wanafanya siri kubwa, lakini taarifa za ndani zinasema mabosi hao wanahaha kumzuia. Mbali na kumzuia, lakini taarifa zaidi zinasema kama msimamo wa Phiri utaendelea, basi watauvunja mkataba kwa masharti maalumu baada ya kushtukia kitu kwamba nyota huyo yupo kwenye rada za Yanga inayosaka straika kwa sasa kutokana na waliopo kikosini mwao kwa sasa kushindwa kuziba pengo la Fiston Mayele. Mayele aliyemaliza kama kinara wa mabao wa klabu hiyo kwa misimu miwili