1.Unaweza kuta mtu amekonda yaani afya mbovu,,ukafikiri labda ana virusi vya ukimwi ukaanza kumpa ushauri nasaha na kumshauri akapime ili ajijue aanze dozi ya ARV mapema kumbe mwenzio anaugulia MAUMIVU YA MAPENZI. 2.Unaweza shangaa mtu kajiua,kanywa sumu au kujinyonga ukafikiri ni stress za maisha,madeni au kauawa,,,kumbe chanzo kaumizwa na MAUMIVU YA MAPENZI,,kashindwa kuvumilia kaamua kujiua. 3.Unaweza kutana na mtu njiani kachanganikiwa anaongea mwenyewe kama tahira au kichaa ukajua karogwa kumbe chanzo ni MAUMIVU YA MAPENZI,,kaumizwa na mtu ambaye hakutarajia,,haamini maana walipendana mbo. 4.Unaweza shangaz dereva anapindua gari kizembe ukajua labda alilewa kumbe alikuwa anaugulia MAUMIVU YA MAPENZI,, kashindwa kuvumilia mawazo yamemtawala hajielewi mzimu wa aliyemtenda umeitawala akili yake,,,anaona barabara imepinda kumbe barabara imenyooka mwishowe anatumbukiza gari mtaroni. 5.Unaweza shangaa mamaa anauza gari,nyumba,kiwanja,vitu vya ndani n.k,,na kutumia fedha zote kuny...