Posts

Showing posts from September, 2023

Yanga Yatinga Hatua ya Makundi CAF Baada ya Kuitandika Al Merreik Nje Ndani

Image
KLABU ya Yanga SC imefanikiwa kutinga hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuichapa Al Merreik ya Sudan bao 1-0 mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la Chamazi. Kwa mara ya mwisho Yanga SC kufuzu hatua ya makundfi ilikuwa mwaka 1998 takribani miaka 25. Akichukua nafasi ya Kennedy Musonda,Mshambuliaji Clement Mzize aliwanyanyua wananchi waliofurika uwanja wa Chamazi akifunga bao dakika ya 66 kwa kichwa akimalizia krosi ya Joyce Lomalisa. Yanga SC wametinga hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 3-0 baada ya mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Rwanda,Yanga walishinda mabao 2-0. Sasa rasmi Yanga SC inaungana Pyramids FC,Al Ahly zote za Misri,Jwaneng Galaxy ya Botswana,TP Mazembe ya DR Congo,Ptro Atletico ya Angola,Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini,Medeama SC ya Ghana. Michuano hiyo itaendelea kesho katika uwanja wa Azam Complex Chamazi wekundu wa Msimbazi Simba SC watawakaribisha Power Dynamos kutoka Zambia huku Simba wakihitaji ushindo wowote au sare yoyote w...

Sababu Kuu Zinazosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile ya Kiume Kuwa Madogo

Image
Hizi ni sababu kuu zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume na uume kuwa mdogo mdogo:-👇👇 "KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, TEZI DUME, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K." *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika keleleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:-👇👇 1.GOLD MACA/GING SENG PILLS @250,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham ya tendo na nguvu za kiume hata kwa walioathiriwa na kujichua au kisukari >BIG XXL GEL @250,000/= >Huongeza uume kwa inch 6.5 hadi 8 ndani ya wiki mbili tu 3.MALE EXTRA/WENICK CAPSULES @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothirika kwa KISUKARI na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli ya uume 5.VIGA SPRAY @200,000/= >Hu...

Pyramids ya Mayele yatinga Makundi Ligi ya Mabingwa

Image
Mostafa Fathi amefunga magoli manne na kuisaidia Pyramids kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa magoli 6-1 dhidi ya miamba ya Rwanda, ARP FC. Mchezo wa mkondo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya 0-0 kabla ya Pyramids kugeuka mbogo kwenye mchezo wa marudiano. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC Fiston Mayele alianzia benchi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fAqL0eF via IFTTT

Wanne Wafariki, Sita Wajeruhiwa Ajali ya Gari Handeni

Image
 Wanne Wafariki, Sita Wajeruhiwa Ajali ya Gari Handeni Handeni. Watu wanne wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya BM Coach kugongana na Toyota Noah katika eneo la Manga Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jioni ya leo Ijumaa, Septemba 29, 2023 na kusema ilihusisha Noah na basi la Kampuni ya BM Coach ambalo lilikuwa likitokea Barabara ya Segera. "… Kweli imetokea ajali watu wanne wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa katika eneo la Manga wilayani Handeni," amesema Kamanda Mchunguzi. Mganga Mfawidhi Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Handeni, Abdulmajid Makoye amekiri kupokea miili ya marehemu hao pamoja na majeruhi wengine sita ambao kutokana na majeruhi yao walisafirishwa. Amewataja majeruhi wa ajali hiyo kuwa ni Amina Zuberi (50) mkazi wa Lushoto, Badru Hinda (4) na Nicolaus Mahimu (32) wa Dar es Salam, Joseph Joachim (39), Mariam Hamis ...

Hili Balaa la Mchezaji Aziz K Msimu Huu Balaa Tunalo Aisee..

Image
  Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Aziz Stephanie Ki amesema kuwa kikosi cha timu hiyo msimu huu ni bora zaidi kuliko msimu uliopita kwani wameanza vizuri kwenye mechi zao na kila mmoja ana uwezo wa kufunga badala ya kumtegemea mchezaji mmoja. Aziz Ki amesema hayo kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan itakayopigwa kesho Septemba 30, 2023 katika dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mechi tatu za Ligi, Yanga imeshinda mechi zote ikiwa imefunga mabao 11 bila kuruhusu bao hata moja wakati kwenye Ligi ya mabingwa, katika mechi tatu wamefunga mabao 9, na kuruhusu bao 1 pekee. “Siwezi kuwaahidi lolote mashabiki kwa sababu hujui lolote kuhusu kesho, lakini jambo la muhimu ni kujituma kwa sababu timu ilinisajili kwa kuwa inataka kuingia hatua ya makundi. Msimu uliopita haikuwezekana lakini tunamshukuru Mungu. “Huu msimu timu yetu iko imara zaidi ya msimu uliopita kwa ninavyoiona mimi. Kila mchezaji anacheza vizuri kwa hiyo tunaamini tim...

IKULU: Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua na kuridhia uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Regulatory Authority – TFRA). Kabla ya uteuzi Bw. Laurent alikuwa Mhadhiri, Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania). Ameridhia uteuzi wa Bw. Patrick Magologozi Mongella kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Board – CPB). Bw. Mongella ni Mkurugenzi wa Miradi, Benki ya Maendeleo TIB. Ameridhia uteuzi wa Bi. Mwanahiba Mohamed Mzee kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pembejeo za Kilimo (Agricultural Inputs Trust Fund – AGITF). Bi. Mwanahiba aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania. Ameridhia uteuzi wa Bi. Irene Madeje Mlola kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Regulatory Authority – COPRA). Bi Mlola aliwahi kuwa Mkurug...

Mashabiki Power Dynamos Watua Dar Kwa Kishindo Kuhakikisha SIMBA Anashikwa Mkia

Image
Mashabiki wa Klabu Bingwa nchini Zambia Power Dynamos wapo safarini kuelekea jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuishangilia timu yao, itakayokabiliwa na mchezo wa Mkondo wa pili wa kuwania kufuzu Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, dhidi ya Simba SC. Miamba hiyo itakutana Jumapili (Oktoba Mosi) katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam, huku ikikumbuka matokeo ya sare ya 2-2 yaliyopatikana kwenye mchezo wa Mkondo wa Kwanza uliopigwa Uwanja wa Levy Mwanawasa mjini Ndola, Zambia Jumamosi (Septemba 16). Klabu ya Power Dynamos imethibitisha kusafiri kwa Mashabiki hao kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, kwa kuweka picha inayowaonesha wakiwa safarini kwa njia ya barabara. Hatua hiyo ni kama majibu kwa Mashabiki wa Simba SC ambao walisafiri kuelekea Ndola, Zambia kwa lengo la kuishangilia timu yao ikicheza ugenini na kuambulia matokeo ya sare ya 2-2. Wakati Mashabiki wakiendelea na safari, Kikosi cha Power Dynamos kinatarajiwa kuwasili jijini Dar ...

Timu ya Messi Inter Miami wapokea kichapo Fainali ya US Open Cup 2023

Image
  Klabu ya Inter Miami leo alfajiri imekubali kichapo cha 2-1 magoli dhidi ya Houston Dynamo FC kwenye mchezo wa Fainali ya US Open Cup 2023 uliopigwa katika dinmba la DR PNK huko nchini Marekani. Inter Miami imepokea kipigo hicho huku ikiendelea kumkosa nahodha wake majeruhi Lionel Messi ambaye alishuhudia Houston Dynamo ikitwaa taji la US Open 2023 akiwa jukwaani. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/iLonU1c via IFTTT

Rais Yanga Agoma Kuvaa Bukta "Aziz KI Day"

Image
  Rais wa Young Africans Sports Club, Hersi Said amesema atakwenda na funguo katika mechi ya timu yake dhidi ya El Merrikh ya Sudan Jumamosi. Hersi amesema atafanya hivyo ili kuungana na mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kwa ajili ya siku ya Aziz KI Day “Pale jukwaani tunapokaa viongozi kuna taratibu zake za mavazi, ni ngumu kuvaa bukta, sijui nisemaje, lakini niwahakikishie nitakuwa na funguo yangu mkononi” alisema Hersi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/cRdS2KW via IFTTT

Baba Levo: BASATA kuweni macho na Nay qa Mitego Anataka toa Wimbo Mpya

Image
  Mwanamziki maarufu kutoka nchini Tanzania BABA LEVO,ameonekana kuwa na wasiwasi na nyimbo mbili alizotangaza msanii mwenzake NAY WA MITEGO kuziachia,huku Nay akiwataka mashabiki wachague gani ianze kuna ya michano na ya kujirusha. Wasiwasi wa Baba Levo unatokana na kile kwamba Nay amekuwa msanii wa kufungiwa nyimbo sana na Baraza la sanaa nchini humo BASATA kila mara anapotoa nyimbo,Levo ameiomba BASATA kua macho. "Nina ngoma mbili hapa zipo tayari Kuna club banger na la michano,tuanze ipi hapa semeni wanangu' huku Baba Levo akijibu...`BASATA njooni chap anatoa huku...," amesema BABA LEVO from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CYOrPyw via IFTTT

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 29, 2023

Image
                                Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/HF8DIJf via IFTTT

Vijue vyanzo, Dalili na Tiba Sahihi ya Upungufu wa Nguvu za Kiume, Pia Ongeza Maumbile

Image
Yafuatayo ni baadhi ya mambo yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume na uume mdogo:-👇👇 "KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, TEZI DUME, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K."     *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika keleleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu     *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:-👇👇 1.GOLD MACA/GING SENG PILLS @250,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham ya tendo na nguvu za kiume hata kwa walioathiriwa na kujichua au kisukari >BIG XXL GEL @250,000/= >Huongeza uume kwa inch 6.5 hadi 8 ndani ya wiki mbili tu 3.MALE EXTRA/WENICK CAPSULES @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothirika kwa KISUKARI na kujichua  4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli ya uume 5.VIGA SP...

Mbwana Samatta Gari Limewaka, Aanza Kutupia Timu yake Mpya

Image
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta @samagoal77 leo amefunga goli lake la kwanza katika mechi za mashindano toka ajiunge na PAOK ya Ugiriki baada ya kuichezea kwa dakika 435. Samatta amefunga goli hilo dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Volos huo ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Ugiriki. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/1H9kPOi via IFTTT

Viingilio Simba vs Power Dynamos Ligi ya Mabingwa

Image
Klabu ya Simba leo imetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutnga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika mchezo dhidi ya Power Dynamos utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Jumapili Oktoba 1 2023 Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema maandalizi ya mchezo huo yanaendelea vizuri ambapo ni wachezaji watatu tu ambao watakosekana kutokana na changamoto za majeruhi "Mchezo dhidi ya Power Dynamos utachezwa siku ya Jumapili Oktoba mosi saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex. Tumeamua kucheza saa 10 sababu michezo mingi hapa karibuni tumecheza muda huo hivyo hatukutaka kubadili muda lakini pia Jumatatu itakuwa siku ya kazi hivyo tunataka watu wawahi kurudi nyumbani" "Kikosi leo kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex pale Chamazi kwa ajili ya kuzoea uwanja. Tangu tumeanza msimu huu hatujawahi kutumia ule uwanja. Wapo wachezaji wetu w...

Rais Samia Apongeza Tanzania Kuandaa AFCON 2027

Image
Rais Samia Apongeza Tanzania Kuandaa AFCON 2027 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na kitendo cha Tanzania kuwa sehemu ya waandaaji wa Mashindano ya AFCON 2027 ikiwa pamoja na Mataifa ya Kenya na Uganda. Shirikisho la Soka Afrika CAF limetoa uenyeji wa nchi hizo za East Afrika kuandaa michuano hiyo mikubwa. Rais Samia aliandika “ Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumefanikiwa kuwa wenyeji wa michuano mikubwa ya soka Afrika (AFCON2027), tukishirikiana na Kenya na Uganda. Nawapongeza nyote mlioshiriki kuhakikisha nchi yetu inapata fursa hii adhimu. "Nawaagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhakikisha tunafanya maandalizi mazuri, ikiwemo kukamilika kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu, viwanja viwili vipya vya kisasa vya michezo Arusha na Dodoma," aliandika Rais Samia. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fYlKvOu via IFTTT

TANZIA: Mtoto wa Mandela afariki dunia…

Image
Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela, Zoleka Mandela, amefariki dunia baada ya kuuguwa saratani akiwa na umri wa miaka 43, familia yake imethibitisha. Anafahamika kwa kuelezea mapambano yake ya muda mrefu dhidi ya ugonjwa huo wa saratani. Alilazwa hospitalini Jumatatu kama sehemu ya matibabu yake na amefariki akiwa amezungukwa na marafiki na familia, kwa mujibu wa Zwelabo Mandela. Alikuwa mtoto wa binti mdogo wa Mandela, Zindzi Mandela, na mume wake wa kwanza, Zwelibanzi Hlongwane. Familia hiyo ilisema uchunguzi wa hivi majuzi kuhusu saratani, ulionyesha ilivyokuwa imeathiri nyonga, ini, mapafu, ubongo na uti wa mgongo. “Tunaomboleza kumpoteza mjukuu mpendwa wa Mama Winnie na Madiba,” Wakfu wa Nelson Mandela uliandika kwenye mitandao ya kijamii. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/M59FrHq via IFTTT

Diamond afunguka Wasanii wakike kukosa Wasafi, ‘Ukileta pozi nakukata, inaniharibia Career’

Image
Msanii na mkurugenzi mtendaji wa Wasafi Diamond Platnumz amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa kwa muda mrefu kuhusu kutokuwepo kwa wasanii wa kike katika lebo na tamasha linaloendelea la Wasafi. Diamond alikuwa akifanya mkutano na vyombo vya habari kupromoti chapa ya Pepsi ambayo imekuwa mstari wa mbele kufadhili tamasha hilo ambalo limekuwa likifanyika katika mikoa mbalimbali tangu mwezi jana. Aliulizwa mbona katika tamasha hilo kumekuwa na wasanii mbalimbali tena wengi wakiwa ni wa kiume huku kwa upande wa wasanii wa kike, bendera yao imekuwa ikipeperushwa na Zuchu pekee hali ya kuwa Bongo kuna makumi ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri na pia walio na fanbase tiifu kwao. Diamond alijibu kwa njia ya kuashiria kwamba huenda walijaribu kuwafikia wasanii wa kike lakini juhudi zao zilibuma kwa kuvimbiwa na wasanii hao. “Lakini unajua wakati mwingine wasanii wanaweza kuwa wako na ratiba zao kwa hiyo inakuwa vigumu kuwapata kwa wakati tunaowahitaji. Lakini tulijitahidi kuwa...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2023

Image
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 27, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.                           from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GAoH9X6 via IFTTT