Posts

Showing posts from August, 2021

Simba yaandika Rekodi Al Ahly...Kumfunga na Kuwauzia Mchazaji Kwa Bei Kubwa

Image
ACHANA na rekodi za kuwafunga kila mara wanapokanyaga kwenye Uwanja wa Mkapa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba imeandika rekodi nyingine dhidi ya Al Ahly ya Misri. Luis Jose waliyemuuza kwa Ahly kwa zaidi ya Sh2 bilioni amekuwa raia wa kwanza wa Msumbiji kucheza kwenye klabu hiyo kwa mujibu wa historia. Hakuna mchezaji yeyote raia wa nchi hiyo aliyewahi kuchezea klabu hiyo kabla kwa mujibu wa rekodi zilizoko kwenye makumbusho ya Ahly jijini Cairo. Lakini kwenye Ligi ya Misri anakuwa ni wa pili baada ya mkongwe wa ENPPI, Mano ambaye naye si mchezo. Simba ilimuuza Luis baada ya Kocha Pitso Mosimane kushinikiza kwamba anamtaka baada ya kuona makali yake kwenye Ligi ya Mabingwa msimu uliopita. Habari za uhakika zinadai kwamba Wekundu hao walishindwa kuvumilia kuacha fedha za Ahly kwani ni nyingi ambazo wanaweza kufanyia mambo mengine ikiwamo kuvuta mashine mpya. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/38vgt9a via IFTTT

Mwakinyo "Ngumi za Kulipwa si za Kugombania Beberu Wala Gari"

Image
Ninaposema hakuna mtu wa kupigananae Tanzania, haimaanishi mimi ni bora kuliko watu wote au hakuna mtu atakaeweza kunipiga. Huu ni mchezo ngumi hazina mwenyewe. Mimi nina heshimu nilipo kwa sababu najua nilipotoka, leo kuna ma-boxer wengi sana lakini ukimzungumzia Mwakinyo ni pekeyake kwa sababu rekodi yangu haifanani na ya mtu yeyote. Kwa hiyo, apatikane kwanza mtu mwenye rekodi kama ya Mwakinyo, ili nitakapopigananae mbali ya kupata pesa tu lakini ikitokea nimepoteza sishuki kwenye viwango vya ubora kwa sababu nimepigwa na bingwa. Mfano, bondia nitakayepinanae [Julius Indongo] sina wasiwasi hata akinipiga sishuki kwenye viwango vya ubora kwa sababu ameshacheza na watu wakubwa zaidi yangu lakini nikimpiga haitashtua, watu watanisifu na kwenye ubora haitanipandisha sana kwa sababu tayari nipo juu. Mtu akishafikia kwenye ubora nilipo mimi tunaweza kukaa kuzungumza nalipwaje ili tupigane sio kuandika kwenye mitandao kwamba kuna beberu linagombaniwa. Ngumi za kulipwa hazipo hivy

Mke wa Ali Kiba "Mimi na Ali Kiba Bado Hatujaachana Nampenda Sana"

Image
Mke wa Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (@officialalikiba ) Ambaye Sasa Anaishi Nchini Kenya Bi Amina Amefunguka kuwa Hawacha Achana na Baba Wa Mtoto wake. "Watu Wengi Wanaongea Mengi kuhusu Ndoa Yetu Ila Hawajui tuuu Mimi Nipo Kenya Kikazi tuuu Sio Kuwa Kwangu Kenya na Yeye kuwa Tanzania Ndio Muanzishe Habari Zisozo na Ukweli Wowote Nampenda Sana Baba Wa Watoto Wangu na Tupo pamoja Nae Milele"-Amefunguka Bi Amina from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3kEtlQ2 via IFTTT

Kutana na Maalim Ally Hamis Mtaalamu wa Tiba Asili Tanzania

Image
MAALIM ALLY HAMIS ANAPATIKANA MOROGORO NA PWANI Wasiliana na Mtaalam Huyu Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana ama Zilizo Achwa ndani ya Siku Moja 1. Maalim Ally Hamis ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA(Rudisha Mahusiano yako Ndani ya Saa 12 tu) MAALIM ALLY HAMIS ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili Mwenye Uwezo wa Kubaini Tatizo lako tu Pindi Utakapo Fanya Mawasiliano Kupitia Wasaa Husika. (NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFATA MAELEKEZO YAKE..) Je Unasumbuliwa na Mapenzi..? Umeachwa na UMPENDAE Awe Mume/Mke na Bado Unampenda Je Umejaribu Sehemu Nyingi Bila Mafanikio? Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo.. Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu. Je Umekimbiwa na Mumeo/Mkeo au Mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine..? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kus

Spika Ndugai amtaka Jerry Silaa kuomba radhi kwa umma

Image
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jerry Silaa lazima aombe radhi kwa Umma kwa kosa alilofanya Jerry Silaa ambaye ni Mbunge wa Ukonga alikutwa na hatia ya kuongea uongo kuhusu Mishahara ya Wabunge Kutokatwa Kodi Kamati ya Maadili ya Bunge ilipendekeza Silaa asihudhurie Mikutano Miwili ya Bunge na avuliwe ujumbe wa Bunge la Afrika (PAP) from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3t3qQus via IFTTT

Joyce Kiria afunguka kufuatia kusambaa kwa video chafu ya kina Mama J

Image
Joyce Kiria afunguka kufuatia kusambaa kwa video chafu ya kina Mama J "Hii video imenisikitisha sana….. kwa alieiona anaelewa video nayozungumzia hapa… Huyu dada anasema kwenye hii video kwamba kama video zake zitavuja and atakufa… sasa picha za dyadya ndo kama ivo video zake zimeshavuja, sa itakuwajeeee.  Kilichonisikitisha mimi ni kwamba dyadya anatoa ushirikiano kwenye video anazochukuliwa na huyu bwanaake kwa asilimia zoteeeee OMG.  Ivi wanawake Wenzangu huwa mnapata wapi ujasiri wa kuchukuliwa video za ngono?  uuuuuuwi  Yaani mimi mwanaume akithubutu tuu kunipigia video call ya kawaida tuu hapo sijapokea simu aombe picha chafu wanazoombaga, yani video call sipokei na kinachofuata ni kofuli kubwaaaa, anakula blokuuuuuu.  Sasa sielewi nyie wenzangu inakuwaje eti mwanaume anachukua simu anarekodi mauchafu yenu na wewe mwanamke upo unatoa ushirikiano tena unakenuakenua  kabisa kwenye kamera alafu unajifanya eti picha zikivuja utakufa fyuuuuuu.  KIUKWELI HAPA WA KU

Job Ndugai "Habari za Uaskofu wake ni Huko huko Mimi Nimeshaenda Mpaka Galilaya lakini Tumenyamaza"

Image
“Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama Askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za Uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa Askofu halafu kama wenzako hawaelewi Dini sio hivyo hayo ni macho ya Makengeza Watu ni Waumini sana” “Mimi ni Mzee wa Kanisa la Anglikana wa miaka mingi, ni nafasi ya Mshauri wa Askofu, nimeshakwenda Nigeria kwa TB Joshua, nimeenda Makao Makuu ya Kanisa langu, Uyahudi nimekwenda mara nne, nimeenda kwenye Kijiji cha Yesu, Galilaya yote ile nilitembea naijua” “Nimefika Nazareth, mara ya mwisho nimeenda na Mwalimu Mwakasege, tunatamba sisi?, sasa ukiwa Askofu utudanganye sisi?, Dini tunaijua, mnavyokwenda sio kutumia platform ya Dini kila Jumapili kuhamasisha “Mtusikilize, mtasikia mabomu kesho” Waziri wa Mambo ya Ndani uko hapa, Serikali mko hapa hii haiwezi kwenda hivi” ——— Spika Ndugai. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BuVy2f via IFTTT

Msami Baby Amchana Baraka the Prince "Baraka Acha Uharakati Mziki ni Biashara"

Image
Ukiachana na msanii @linexsundaymjeda ,msanii mwingine anayelalamika kuwa Muziki wa Bongo Flava umeharibiwa na baadhi ya wasanii wanaopewa kipaumbele sana siku hizi ni Baraka The Prince Hasa tunaelewa Barakah na Msami wamekuwa wakizinguana sana kwenye mitandao ya kijamii,Barakah akimtuhumu msami kuwa hajui kuimba na anamtambua kama dansa na Msami akimtaka Baraka afanye muziki mzuri tu aache kulilia. Akiwa kwenye Empire ya EFM,Msami kadai Barakah anachokifanya ni harakati kutaka kuwafanya watu wafanye anachokitaka ili baadae apate sifa kuwa yeye ndiye aliyefanya hilo litokee lakini mwisho wa siku haimsaidii kitu,haimpi mchongo. Amemtaka jamaa aache muziki wa harakati bali afate soko linatakaje. Hasa Barakah si kinyonge,atamjibu lazima ngoja tumpe muda. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3yquIGQ via IFTTT

Kisongo Power ileile Tangu Mwaka 2000, inaongeza Nguvu za Kiume na Kukufanya Uchelewe Kufika Kileleni

Image
Kisongo Power ileile tangu mwaka 2000, inaongeza nguvu za kiume na kukufanya uchelewe kufika kileleni, inauwezo wa kutatua changamoto za upungufu wa nguvu za kiume kwa vijana. 1.👉 Inaongeza nguvu za kiume. 2.👉 inaongeza matamanio (hamu) ya tenda la ndoa. 3.👉 Inakufanya wewe kijana achelewe kufika kileleni. Hii nzuri zaidi kwa vijana. Watu wenye umri mkubwa wasiliana nami ipo dawa inaitwa NKINDA inaondoa changamoto zote ambazo zinaweza kusababisha nguvu za kiume kupungua. Nguvu za kiume zinaweza kuwa dhaifu kwa sababu zifuatazo:- 👉 Magonjwa ya Moyo na Kisukari. 👉 Umri mkubwa. 👉 Mwili kuchoka. 👉 Misongo ya mawazo. 👉 Maumivu ya Kiuno na Mgongo 👉 Matumizi ya Dawa ya mda mrefu ya magonjwa sugu kama Sukari, Saratani, Bp na nk. TIBA YA NGUVU ZA KIUME KWA WATU WENYE UMRI MKUBWA NI? NKINDA dawa hii ni nzuri zaidi kwa watu wenye umri mkubwa yaani miaka 35 mpaka 80 inakakzi nyingi. 1.👉 Kuongeza nguvu kiume. 2.👉 Kufungua mishipa ya fahamu ya nguvu za kiume. Tambua w

Bunge lapunguza muda wa vikao kujinga na Uviko-19

Image
Bunge limepunguza muda wa kuanza kwa vikao vyake ambapo sasa litaanza vikao vyake kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 1:00 usiku huku kukiwa hakuna kipindi cha maswali na majibu asubuhi ikiwa ni jitihada za kujikinga na ugonjwa wa Uviko-19. Hayo yamesemwa leo Jumanne Agosti 31, 2021 na Spika wa Bunge, Job Ndugai mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika bungeni. “Lengo ni kupunguza muda wa kukaa pamoja. Kuanzia kesho kikao kitaanza saa 8:00 mchana na kumalizika saa 1:00 jioni, hii itatufanya tutumie saa tano badala ya saba na nusu ambao ni utaratibu wa kawaida,”amesema. Amesema pia kipindi cha maswali na majibu kitakuwa cha dakika 60 badala ya dakika 90 unaotumika kwa kawaida bungeni. Wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge Dodoma kwa ajili ya kuanza kwa kikao cha Bunge.Picha na Said Khamis Ndugai amesema kwa lengo la kupunguza msongamano bungeni watatumia kumbi mbili wakati wa vikao bungeni ikiwa ni ukumbi wa Bunge na ule wa Pius Msekwa. “Ukumbi wa Msekw

Kumbukumbu ya Mauaji Mabaya Yaliyowahi Kutokea Duniani

Image
Kumbukumbu ya miaka 50 tangu yatokee mauaji makubwa ya yanayofahamika kama My Lai yaliyotokea eneo la Son My nchini Vietnam. Mnamo March 16, 1968 wanajeshi wa Marekani waliwaua watu 504 ambao walikuwa raia wa Vietnam na tukio hili lilitokea na kutambulika kama tukio la kutisha zaidi ambalo lilitokea wakati wa Vita ya Wavietnam. Waliuawa wanawake, wanaume na watoto, huku idadi kubwa ya wanawake wakibakwa na kutendewa vitendo vya kikatili. On March 16, 1968, Capt. Ernest Medina led his infantry company in an assault on the village of Son My, along the central coast of South Vietnam, as part of a mission to find and destroy a battalion of the National Liberation Front, also known as the Vietcong. One of the hamlets within the village was called My Lai. Operating under the assumption that villagers of My Lai would be away at the market, Captain Medina planned an aggressive sweep through the area, ordering his men to destroy everything and to kill anyone who resisted. By the end

Essence ya Wizkid yaongoza kutafutwa Marekani kupitia Shazam

Image
Kampuni ya kuuza muziki mtandaoni ya @shazam imempongeza staa wa muziki kutoka nchini Nigeria @wizkidayo kwa ngoma yake ya #Essence kuongoza kutafutwa mtandaoni nchini Marekani kupitia mtandao huo. Ikumbukwe @wizkidayo aliifanyia ngoma hiyo Remix baada ya mara ya original yake kumshirikisha mwanadada @temsbaby kutoka nchini Nigeria lakini Remix yake akimuweka @justinbieber from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3jve70b via IFTTT

Kamati Yapendekeza Jerry Slaa AVULIWE Ujumbe wa Bunge la Africa

Image
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amepewa adhabu ya kuvuliwa Ujumbe wa Bunge la Afrika(PAP) na kutohudhuria mikutano miwili ya Bunge Adhabu hiyo imekuja baada ya Kamati ya Maadili ya Bunge kujiridhisha kuwa alitoa kauli ya uongo kuhusu Mishahara ya Wabunge kutokatwa kodi Aidha, wakati wa kusikiliza shauri lake, Jerry alionekana kutojibu maswali kama ilivyopaswa from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/38pbAhO via IFTTT

Utaratibu wa Kuendesha Bunge Wabadilishwa

Image
BUNGE leo Agosti 31, 2021 limepunguza muda wa kukaa bungeni na sasa litakuwa likianza saa 8 mchana na kuisha saa 1:00 usiku ikiwa ni hatua ya kujikinga na ugonjwa wa Uviko – 19. “Kwa kuzingatia azima tuliyonayo ya kujikinga na Uviko 19…tutafupisha masaa ya kufanya kazi, vikao vya bunge vitaanza kuanzia kesho saa nane mchana na kuendelea hadi saa moja usiku bunge litakapoahirishwa hadi siku inayofuata saa nane ya mchana tena… Kipindi cha maswali na majibu kitatumia muda wa dakika 60 badala ya dakika 90”- Spika wa Bunge Job Ndugai amesema from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3Dxzje5 via IFTTT

Mwana FA aeleza kilichotokea ajali aliyopata

Image
Mbunge wa jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, amepata ajali ya gari eneo la Mkambalani mkoani Morogoro jana Agosti 31, 2021 usiku.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Muslim na kueleza kuwa mbunge huyo yupo salama. Kwa upande wake Mwana FA alipopata nafasi ya kuongea na waandishi wa habari alieleza kuwa kabla ya ajali waliona gari mbele yao inataka kupita gari (Overtake) na ilikuwa mwendokasi sana hivyo hawakuweza kuikwepa ndio ikawaparamia. Aidha amesema kiafya yeye na mwenzake aliyekuwa naye kwenye gari ni wazima ila alikuwa anasikia maumivu kidogo kifuani mwake.   from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/38rjO97 via IFTTT

Kamati "Gwajima ni JEURI Kukataa Vitu Vilivyoandaliwa na Bunge"

Image
Kamati ya Maadili imetafsiri kitendo cha Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima kukataa vitu alivyoandaliwa kama ujeuri Gwajima alikataa kutumia kiti na kipaza sauti siku ya kwanza na siku ya nyingine alikataa kukaa chini kama alivyoelekezwa Aidha alikataa kujibu maswali kadiri yalivyoulizwa bali aling'ang'ania kuwa alizungumza kama kiongozi wa dini from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2WArnYr via IFTTT

Download App ya Udaku Special Hapa Kama Bado Hauna Kwenye Simu yako

Image
Usipitwe na Habari zetu za kila siku kwa kuzisoma kirahisi kupitia Application ya Udaku Special ambayo ipo Play Store kwa watumiaji wa Simu za Android Bonyeza Hapa Chini Kuinstall/Kudownload : ==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>   from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2yIA2fp via IFTTT

Marekani yaharibu ndege na vifaa vyake vya kijeshi walivyoviacha Afghanistan

Image
Jeshi la Marekani lilihakikisha linalemaza ndege zao na magari ya silaha waliyoyaacha kwenye uwanja wa ndege mjini Kabul kabla ya kuondoka usiku wa Jumatatu. Maafisa wameeleza. Kamanda wa majeshi ya Marekani Jeneralo Kenneth McKenzie amesema vikosi ''vililemaza'' ndege zake 73, na magari 70 ya silaha na magari mengine ya kijeshi ili Taliban wasiweze kuyatumia. ''Ndege hizo hazitaweza kuruka tena.....Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuyaendesha,'' alisema. Video iliyotumwa na mwandishi wa habari wa Los Angeles imes ilionesha Taliban wakiingia kwenye uwanja wa ndege eneo ambalo ndege za Marekani zimeegeshwa wakionekana kukagua vifaa hivyo. Pia Marekani imelemaza mfumo wa roketi wa teknolojia ya juu-ulioachwa uwanja wa ndege. Mfumo wa C-RAM ulifanya kazi Jumatatu kudhibiti shambulio la roketi la wanamgambo wa IS lililolenga uwanja wa ndege. Kama tulivyoripoti awali, wapiganaji wa Taliban katika kipindi cha majuma kadhaa yaliyopita wameonekana wak

Gwajima Akutwa na Hatia, Bunge Lampa Adhabu Hii Kabambe

Image
Kamati ya Maadili imependekeza vyom6bo vya Usalama kumchunguza Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kutokana na kauli alizokiri kutoa Kanisani kwake Aidha, Chama kilichompa tiketi ya kupata Ubunge (CCM) kimetakiwa kumuwajibisha kwa mujibu wa taratibu zao Kamati imependekeza Gwajima asihudhurie mikutano miwili ya Bunge mfululizo from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BiJyB4 via IFTTT

Unaambiwa Huyu Ndiye Mwanajeshi wa Mwisho wa Marekani Kuikanyaga Ardhi ya Afghanistan

Image
Afisa huyu ametambuliwa kuwa ni meja jenerali Chris Donahue, kamanda mkuu wa kitengo cha makomando wa kikosi cha 82 ABNDiv, akisbiria ndege ya kusafirisha mizigo ya jeshi la wanahewa la Marekani aina ya C-17 usiku wa kuamkia leo Agosti tarehe 31 kuashiria mwisho wa vita vilivyodumu kwa takriban miaka 20 kati ya Marekani na wapiganaji wa Taliban. Milio ya risasi ilisikika kote jijini Kabul wapiganaji wa Taliban wakisherehekea “Ushindi dhidi ya majeshi ya Marekani na washirika wake” from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3kx6Egk via IFTTT

"Manara Aluwekwa Jela Sababu ya Mo Dewji, Nikamuuliza Unapata Faida Gani " Baba wa Haji Manara

Image
"Kuna wakati Haji aliwekwa ndani kwa ajili ya kumtetea Mo kama mnakumbuka, baada ya kutoka mimi nikamuuliza unapata faida gani?" "Tangu zamani Haji amekuwa anatukanwa peke yake mitandaoni kwa ajili ya Simba lakini amekuwa akinyanyasika sana, sisemi kwamba hajapata faida lakini amehangaika sana mwenyewe" - Mzee Sunday Manara. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BlR0eC via IFTTT

Mzee Aliyefungwa Jela Akiwa na Miaka 15 Agoma Kutoka Jela Baada ya Kusamehewa Akiwa na Miaka 79

Image
He Went To Prison At Age 16 And Turn Down Offer To Be Released At 79,Read The Story Of Joseph Ligon There is always a popular saying by the Elders and Nigerian Mothers That an individual needs to be very careful of the places he got to at night, Joseph Ligon is a Living Witness, A good and perfect Example for all Nigerian Man. In the year 1953, February 20, Joseph Ligon, The then 15 years Old Fine Looking Boy, attended a night party along with is four other friends, They dance and drank wine with four of his other friends, They then ended up robbing and stabbing eight people in Philadelphia. Two of the victims, Charles Pitts and Jackson Hamm, died. It was a very painful thing that a young boy of age 15 as made the biggest mistake of his life, Which Is why Nigerian mothers will always tell their male Child not to go for night parties or get drunk. Joseph Ligon was charge to Court and was Found Guilty and Sentenced to life in prison in 1953, at 16 years old, alongside three other bo

Mama, Dada wa Hamza waachiwa, watano bado, Mwili wa Hamza Ulitolewa Risasi Kabla ya Kuzikwa

Image
Dar es Salaam. Wakati mama na dada wa marehemu Hamza Mohammed wakiachiliwa baada ya mahojiano, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema bado wanaendelea na upelelezi wa tukio hilo. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa polisi na mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi, jirani na ulipo Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam. Kufuatia tukio hilo Jeshi la Polisi liliwakamata ndugu kadhaa wa Hamza waliokuwa jijini na Dar es Salaam na wengine Chunya mkoani Mbeya. Hata hivyo, alipoulizwa na Mwananchi kuhusu watu waliokamatwa kutokana na tukio hilo jana, Kamanda Muliro alisema; “Jamani nyie hamtaki tupeleleze? Ni sahihi tuseme hadi wapo mahabusu namba ngapi? Ametoka au hajatoka? Ndugu yangu Mwananchi!” Wakati Muliro akisema hayo, Msemaji wa familia ya Hamza, Abdul-rahman Hassan aliliambia Mwananchi kuwa watu takribani saba wakiwamo mama na dada wa Hamza wameachiwa na wengine watano wana

MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Robert Manumba, amefariki dunia

Image
MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwanaye Rose Manumba amethibitisha kutokea kwa kifo cha baba yake. Manumba ambaye alistaafu mwaka 2013, katika utumishi wake, amelitumikia jeshi hilo katika nyadhifa mbalimbali zikiwamo katika Chumba cha Kupokea Mashtaka kati ya mwaka 1976 hadi 1977 na baadaye Mwendesha Mashtaka Wilaya ya Kibondo na Kasulu mkoani Kigoma kati ya 1977 na 1984. Alikuwa Mkufunzi katika Chuo cha Polisi kilichopo Kurasini Dar es Salaam, kati ya mwaka 1984 na 1987 kabla ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kipolisi ya Magomeni na Kinondoni. Manumba baadaye aliteuliwa kuwa Naibu Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia 1987 hadi 1993. Kati ya mwaka 1993 na 1995, alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa wa Mkufunzi Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi kati ya 1995 na 1996. Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo

Ruto Awakaribisha Walinzi Wake Wapya Nyumbani Kwake, Wanywa Chai Pamoja

Image
Naibu Rais William Ruto amefanya mkutano na maafisa wapya wa ulinzi kutoka kitengo cha utawala ambao amepewa na serikali. Ruto awakaribisha walinzi wake wapya nyumbani kwake, wanywa chai pamoja Maafisa wa GSU waliondolewa siku ya Alhamis, Agosti 26, hatua iliyomfanya Ruto kulalamikia usalama wake.Picha: DP Ruto/Twitter Source: Facebook Kwenye video ambazo amepakia mitandaoni, Ruto anaonekana akiwa matembezini na maafisa hao katika boma lake kabla ya kuketi chini kunywa chai pamoja nao. " Nanywa chai na walinzi wangu wapya, nawakaribisha katika makazi yangu rasmi," Ruto alisema. Kama ilivyoripotiwa awali na TUKO.co.ke, serikali ilimpokonywa Ruto walinzi ambao walikuwa maafisa wa kitengo cha GSU waliokuwa wakilinda makazi yake yalioko mtani Karen na yale ya Sugoi.   Maafisa hao waliondolewa siku ya Alhamis, Agosti 26, hatua iliyomfanya Ruto kulalamikia usalama wake. Msemaji wa naibu Rais William Ruto Davidi Mugonyi alisema mabadiliko hayo yalifanywa bila mazun

Mwana FA Afunguka Kuhusu Afya yake Usiku Huu na Jinsi Ajali ilivyotokea

Image
"Tulikua wawili mimi na Dereva wangu tulitoka Muheza tukapita Msoga Rais Mstaafu alikua amefiwa na Mtoto wa Kaka yake tukaenda mazikoni pale, tukawa tunatoka tunaelekea Dodoma hii sehemu inaitwa Kingolwira kuna malori mengi yanaelekea Dar kuna Mtu akawa ana overtake" "Alikuja upande wetu na yuko spidi sana tunamuona kabisa hivi, spidi yake ilikua kubwa kusema kweli nafikiri kati ya 140 au 160 hivi na tunamuona kabisa anakuja na hatukuwa na namna yoyote ya kumkwepa, tunashukuru tu Mungu tumetoka salama mimi nina maumivu kidogo kifuani na mkono wa kushoto lakini napata huduma hapa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kama unavyoona Mh. Mkuu wa Mkoa na Mh. Mkuu wa Wilaya wapo hapa kuhakikisha kila kitu kinakua sawa" ——— Mbunge wa Muheza Tanga Mh. Hamis Mwinjuma @MwanaFA. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2WCaXi8 via IFTTT

Wanawake Hufurahishwa na Vitu Vidogo Vidogo Sana Hakuna Haja ya Gharama

Image
Udaku Special Limebaini Kuwa Sasa hivi imekua ni kawaida mtu kutumia pesa nyingi labda kumpeleka mpenzi wake kwenye mahotel makubwa au kumnunulia vitu vya thamani ili kumuonyesha mapenzi, ila ukweli ni kwamba unaweza ukafanya hayo yote ukajiingiza kwenye gharama kubwa na matumizi usiyotarajia  bila mafaniko. Mwanamke haitaji vyote hivyo mwanamke anahitaji muda, tumia muda mwingi kuwa nae, muonyeshe unamjali, tatizo lake chukua liwe lako. Mpe kidogo ulicho nacho na kitoke moyoni, Usilazimishe mambo utamboa, fanya ajiamini ukiwa nae, kuwa na misimamo yako usiyumbe yumbe katika maamuzi, Usiogope kumwambia hisia zako kwake, kwani wanawake wanapenda mtu anayejiamini. Fanya hayo utaona matokeo yake..!! NEW GOVERNMENT JOBS CLICK HERE from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3bVyRZJ via IFTTT

Mama apambana na Simba kumnasua mtoto wake

Image
Mwanamke mmoja huko California amemuokoa mtoto wake wa miaka mitano kutoka kwenye shambulio la simba wa mlima. Mtoto huyo alikuwa akicheza nje ya nyumba yake huko Calabasas katika milima ya Santa Monica, magharibi mwa Los Angeles, simba alipomshambulia. Mtoto aliburuzwa kwenye nyasi, lakini mama yake alikimbia nje na kumpiga simba kwa mikono yake mpaka akamuacha mtoto wake. Mnyama huyo alipatikana baadaye na kupigwa risasi na maafisa wa wanyamapori. Mtoot alipata majeraha kichwani na mwilini, lakini sasa yuko katika hali nzuri katika hospitali huko Los Angeles, shirika la habari la Associated Press linaripoti. Kapteni Patrick Foy, msemaji wa idara ya samaki na wanyama pori ya California, aliiambia AP kwamba mama huyo "ameokoa maisha ya mtoto wake". Uchunguzi wa DNA baadaye ulithibitisha kuwa mnyama huyo ndiye aliyemshambulia mtoto. Mashambulio ya simba wa milimani ni nadra sana Amerika Kaskazini. Maafisa walisema mnyama aliyehusika alikuwa mchanga. Wataala

JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’?

Image
HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini, Simba na Yanga. Mastaa wengi waliocheza soka zamani waliwahi kukatisha boda katika klabu hizi. Kina Omary Hussein ‘Keegan’, Mohammed Hussein, Juma Kaseja, Hamis Gaga, Zamoyoni Mogella, Athuman Idd ‘Chuji’, Said Mwamba ‘Kizota’, Edibily Lunyamila, Athuman China, Godwin Aswile, Willy Martin, Nico Bambaga, Seleman Mathew, Ally Yusuf ‘Tigana’ na wengineo. Haijawahi kutokea kiongozi akakatisha boda. Haijawahi kutokea kiongozi akavuka mpaka huu wa kutoka Simba kwenda Yanga au kutoka Yanga kwenda Simba. Awe kiongozi wa kuchaguliwa au kiongozi wa kuajiriwa. Hapa nazungumzia wazawa. Haji anakuwa wa kwanza. Kwa wageni, Senzo Masingiza alishtua mwaka jana. Kwanza kabisa hizi klabu zina tamaduni zake. Hata ukiwa dereva wa basi wa Yanga unapaswa kuwa shabiki wa Yanga. Ukiw

JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’?

Image
HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya dunia cha Guiness. Anakuwa kiongozi wa kwanza kukatisha boda baina ya klabu mbili kubwa nchini, Simba na Yanga. Mastaa wengi waliocheza soka zamani waliwahi kukatisha boda katika klabu hizi. Kina Omary Hussein ‘Keegan’, Mohammed Hussein, Juma Kaseja, Hamis Gaga, Zamoyoni Mogella, Athuman Idd ‘Chuji’, Said Mwamba ‘Kizota’, Edibily Lunyamila, Athuman China, Godwin Aswile, Willy Martin, Nico Bambaga, Seleman Mathew, Ally Yusuf ‘Tigana’ na wengineo. Haijawahi kutokea kiongozi akakatisha boda. Haijawahi kutokea kiongozi akavuka mpaka huu wa kutoka Simba kwenda Yanga au kutoka Yanga kwenda Simba. Awe kiongozi wa kuchaguliwa au kiongozi wa kuajiriwa. Hapa nazungumzia wazawa. Haji anakuwa wa kwanza. Kwa wageni, Senzo Masingiza alishtua mwaka jana. Kwanza kabisa hizi klabu zina tamaduni zake. Hata ukiwa dereva wa basi wa Yanga unapaswa kuwa shabiki wa Yanga. Ukiw

Prof. Ndalichako aonya urasimu wakati wa kusajili bunifu za Teknolojia zinazoibuliwa hapa nchini

Image
Na Ezekiel Mtonyole, Dodoma. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amezitaka taasisi zinazohusika na utambuzi na kusajili wabunifu wa teknolojia hapa nchini kuondoa urasimu katika zoezi la kusajili wabunifu na bunifu zao ili kuongeza hamasa kwa wabunifu wengi kujitokeza. Pia amebainisha kuwa serikali imetenga bilioni 43 ili kulea wabunifu mbalimbali katika vituo atamizi vilivyopo katika vyuo vya elimu ya juu vinavyotumika kulea wabunifu wanaoendelea kuibuliwa hapa chini. Waziri Prof. Ndalichako ameyabainisha hayo leo Augost 30, 2021 Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri zote hapa nchini kikao chenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuibua na kuzitambua bunifu za teknolojia katika maeneo yao ya kazi. Ambapo amesema vitendo vya urasimu katika zoezi hilo vinafifisha na kukatisha tamaa wabunifu wengi wa teknolojia kujitokeza kujisajili na ili bunifu zao ziweze kujulikana na wao kunufaika na bunifu zao ka

Mbowe Amgeuzia Kibao DPP

Image
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kukubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe la kuhudhuria shauri lake la Kikatiba alilolifungua dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mda huu amefikishwa katika Mahakama kuu kwa ajili ya kusikiliza shauri hilo.   Katika shauri hilo namba 21 la mwaka 2021 linalosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu John Mgeta, Steven Magoiga na Leila Mgonya lilipangwa kutajwa leo Agosti 30, 2021.   Katika kesi hiyo, Mbowe anapinga hatua ya kushtakiwa kwa kosa la ugaidi kupelekwa mahakamani kimyakimya bila kumtaarifu wakili wake.   Sambamba na madai hayo ya anadai haki zake kukiukwa kwa kutokujulishwa na kupewa fursa ya kuwasilisha kuwajulisha ndugu zake na wakili wake, pia Mbowe anadai kuwa wakati alipokwa ameshikiliwa katika kituo cha Polisi Oysterbay alikuwa akipokea kauli za kejeli na vitisho kutoka kwa afisa wa polisi.   Mbowe