Posts

Showing posts from September, 2022

Ommy Dimpoz Awatambia Wenzake Kwenye Kisiwa Cha Matajiri Ibiza

Image
Supastaa Ommy Dimpoz amerudi tena na tambo zake, leo ameeleza kuwa ndio mwanamuziki wa kwanza Afrika Mashariki ku-shoot video ya wimbo huko Hispania, kwenye kisiwa maarufu kiitwacho Ibiza. Dimpoz amebainisha hilo ikiwa leo ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao #Vacation akiwa ameifanya kwenye visiwa vya Ibiza. Gusa link kwenye bio Ommy Dimpoz kuitazama video hiyo. Fahamu, kisiwa cha Ibiza mara nyingi hutembelewa na mastaa wakubwa Duniani kama vile kina Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na wengine wengi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bD4Mldu via IFTTT

Washukiwa watano wa ujambazi wauawa, saba watoroka Iringa

Image
Ramani ya Mji wa Mafinga WATU watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi kati ya 12 wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika majibizano ya risasi na Polisi wakati wakijaribu kufanya uhalifu katika kiwanda cha Daazhong kinachomilikiwa na wawekezaji kutoka China kilichopo katika kijiji cha Changarawe, wilayani Mufindi mkoani Iringa. Akizungumza na wanahabari katika eneo la tukio leo Ijumaa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema washukiwa hao walifariki wakati wakikimbizwa Hospitali ya Mji wa Mafinga kutokana na majeruhi ya risasi waliyoyapata. Alisema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 30, majira ya saa 8.00 usiku na washukiwa wengine saba walitokomea kusikojulikana. “Mnamo Septemba 29, mwaka huu ,Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa lilipokea taarifa za kuwepo kwa majambazi 12 waliopanga kufanya uhalifu katika kiwanda hicho,” alisema. Baada ya kupokea taarifa hiyo alisema, Jeshi liliweka mtego kwa ajili ya kuwakamata wahalifu hao, waliovamia kat...

Binti Aliyepooza Mwili Mzima Abakwa

Image
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Ligamba (45), mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani Mara anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mlemavu aliyepooza mwili mzima tangu kuzaliwa kwake. Akisimulia kwa masikitiko tukio hilo la kubakwa kwa binti yake mama mzazi wa mtoto huyo anasema binti yake ana ulemavu huo unaomfanya muda wote kulala tu kwani alipooza mwili akiwa na wiki tatu tangu alipozaliwa kwake. Nae Afisa Ustawi wa Jamii wilaya ya Butiama, Devotha Paschal, amesema kwa kipindi cha hivi karibuni kumekuwepo na kukithiri kwa vitendo vya ukatili wilayani humo huku mwanaasheria kutoka asasi isiyo ya kiserikali ya ATFGM Masanga Irene Assey, akikemea vikali juu ya vitendo hivyo vya ubakaji. Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kijiji cha Kibubwa anasema alipata taarifa ya tukio hilo la ubakaji na kushirikiana na familia katika kumkamata mhalifu ambaye yupo chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi kwa sasa na uchunguzi unaendelea. ...

Meridianbet Waongoza Zoezi la Usafi Upanga

Image
Kampuni ya  Maridianbet  imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya mtaa wa Charambe pia ilishiriki zoezi hili.  Kampuni hii imeshirikisha wadau mbalimbali wanaozunguka eneo hilo, wakiwemo wafanyakazi na wafanyabiashara wa maeneo hayo. Serikali ya mtaa, ikiwakilishwa na mwenyekiti na mtendaji nao walishiriki kuunga mkono jitihada za kampuni ya  Maridianbet Afisa masoko wa kampuni hii, Twaha Mohammed akiwakilisha kampuni ya Meridianbet amesema wanafurahi kushirikiana na serikali na majirani kufanya usafi wa mazingira kama muendelezo wa wajibu wao kwa jamii. "Nimefurahi sana, ikiwa ni mwendelezo wa ushiriki wetu kwenye masuala ya kijamii. Wki iliyopita tulitoa vifaa vya usafi na vifaa tiba kwenye hospitali ya Madale, kwa kumalizia mwezi huu tukaona tufanye usafi hapa Upanga, tushirikiane na wananchi na serikali" – Afisa Masoko,  Maridianbet   Kwa upande wa mwenyekiti, wa serikal...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH OSTADH RAMADHANI NASORO anapatikana mkoani MOROGORO

Image
JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio? Wasilina na OSTADH RAMADHANI NASORO ujionee muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 72 TU. ............................... Umekimbiwa na Mumeo, mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza. Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi .............................. OSTADH RAMADHANI NASORO ANATUMIA Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako, Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN, DAWA za ASILI na DAWA za KIARABU, Pia ni mkuvunzi wa kutafsiri Ndoto. Pia anatoa pete za bahati zilizo ambatanishwa na JINI MALI, kumiliki mali bila masharti kulingana na nyota yako, Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili, ZINDIKO la NYUMBA na MASHAMBA, na kwa wale walio fung...

Hii ndio Dawa ya Kumrejesha Mpenzi Wako Aliyekimbia

Image
Jina langu ni Hamza kutokea Dar es Salaam, Tanzania, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana, nilimgharamikia kila kitu kwa lengo la kuja kumuoa hapo baadaye lakini akaja kunisaliti na mtu mwingine na kuniacha bila huruma. Katika mahusiano yetu tulikuwa tunapigiana simu sana usiku na kuzungumza mipango yetu ya maisha na ndoa yetu itakavyokuwa, ilikuwa ni raha ajabu. Baada ya muda kila ambapo nilipokuwa napiga simu yake ilikuwa inatumika na muda mwingine alikuwa hapokei kabisa, hata hata baadaye alikuwa hanitafuti. Nilipomuuliza alikuwa anajibu kuwa ametingwa na kazi nyingi, mimi nililazimika kumuelewa kutokana nilimpenda sana kupita maelezo, siwezi kusimulia. Nilikuja kugundua yupo na mwanaume mwingine, nilimuuliza kuhusu hilo akanijibu ni kweli, yeye amejikuta akimpenda tu bila kujua sababu ni ipi. Niliamua kuachana naye na kupiga moyo konde kwamba siku moja nitakuja kupata wangu ambaye atakuwa ni mkweli maishani mwangu asiyekuwa na chembe la usaliti daima. Lakini...

Mke Mpya wa Manara Avunja Ukimya "Sijafata Pesa ni Kweli Nina Mtoto na Producer wa Ali Kiba"

Image
Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria. Katika Hatua Nyingine kipusa huyo Mpya wa Manara Amekubali Kuwa ni Kweli Alikuwa Mpenzi wa Yogo ambae ni producer wa Ali Kiba na Wana Mtoto Mmoja wa Miaka miwili, Amesema uhusiano wake na Yogo ulivunjika muda mrefu Takribani Miezi 11 Iliyopita. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/x0G5hOY via IFTTT

Siku 52 za Mzungu Simba, Alikuwa Akikaa Hotelini, Nyumba Alikuwa Akizikata

Image
Mshambuliaji wa Simba, Dejan Georgijevic imemchukua siku 52, kuishi kwenye kikosi hicho tangu alipotambulishwa Agosti 7, hadi jana alipositisha mkataba wa kuitumikia timu hiyo kutoka na sababu kubwa tatu. Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Dejan Georgijevic imemchukua siku 52, kuishi kwenye kikosi hicho tangu alipotambulishwa Agosti 7, hadi jana alipositisha mkataba wa kuitumikia timu hiyo kutoka na sababu kubwa tatu. Dejan aliandika ujumbe katika mtandao wa kijamii uliyoeleza: “Nathibitisha kuwa mkataba wangu na Simba umevunjika, kutokana na muajiri wangu kukiuka makubaliano ya kimkataba, asante mashabiki kwa mapenzi yenu.” Baada ya ujumbe huo wa jana asubuhi, Dejan alikutana na wachezaji wenzake kambini kuagana nao na alifanya hivyo kwa benchi la ufundi alilofanya nalo kazi chini ya kocha wa mpito, Juma Mgunda. Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake...

Mwambaji Ruger Atoa Bongo Kukiwasha Jukwaa Moja na Rosa Ree, Jaymelody na Nyanshiski

Image
Kutoka kwenye Twitter ya Staa wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambae kwa sasa yupo Hapa Tanzania kwa Ajili ya Kutumbuiza Siku ya Tarehe 01, Octoba Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Ameandika Ujumbe Huu... "TANZANIA 🇹🇿 !!!! I’m here and i didn’t forget my bags . See you October 1st ❤️" "Tanzania Nipo Hapa na Sijasahau Mabegi yangu,Tukutane Octoba 1 ❤️ Tunakumbuka Msanii Mwenzie kutoka Nchini Nigeria @kizzdaniel Alikutana na Misukosuko Baada ya kutua Tanzania na kushindwa kufanya Show kwa sababu ya Kusahau Mabegi yake ya nguo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/932hcKl via IFTTT

Breaking: Rapa wa Marekani Coolio Afariki Dunia Akiwa Bafuni

Image
Rapa wa Marekani Coolio amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59. Coolio ambaye alipata umaarufu kwenye miaka ya 90 akiwa na Hits zake kama “Gangsta's Paradise” na “Fantastic Voyage” Rafiki yake na meneja wa muda mrefu Jarez Posey ameithibitishia TMZ kwamba rapa huyo alifariki Jana Jumatano Jijini Los Angeles. Kwa mujibu tovuti hiyo, Coolio alimtembelea rafiki yake na alipokwenda bafuni hakurudi tena. Rafiki yake baada ya kuona ukimya huo, alienda bafuni na kumkuta Coolio akiwa amelala sakafuni. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/JjBIpO7 via IFTTT

Haji Manara Atoa Mpya "Ommy Dimpoz Hawezi Kuoa Kamwe, Atapata Tabu Sana Kuishi na Mwanamke"

Image
“Ommy Dimpoz hawezi  kuoa kwasababu  atapata tabu sana kuishi na Mwanamke kutokana na yeye kujipenda sana  na kuwa  msafi mno kupitiliza, anapenda  kuoga mara nyingi, anapenda kuvaa  nguo sana na kubadilisha na anatumia muda mwingi kwenye kujiangalia na kujitayarisha anapokuwa anajiandaa zaidi hata ya Mwanamke, Amna mwanamke ambae atakaa naye na  kuweza kumvumilia” alisema Manara @hajismanara Nini mtazamo wako kutokana na kauli hii ya Haji  Manara kwa Ommy Dimpoz?   from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/YmnQvs6 via IFTTT

Baadhi ya Mambo Yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume ni kama Yafuatayo

Image
Baadhi ya mambo yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume pamoja na maumbile madogo ya uume ni kama KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.MAX MAN GEL @240,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.VIGRX PLUS au VIMAX @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. 6.SHARK POWER @220,000/= >Huongeza uume kwa 4...

Ally Kamwe "Al Hilal ni Timu Ndogo Sana Tofauti na inavyozungumziwa na Wachambuzi"

Image
Afisa Habari mpya wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wapinzani wao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Al Hilal ni timu ndogo sana tofauti na inavyozungumziwa na wachambuzi wa soka. Ally Kamwe ameyasema hayo kupitiwa Wasafi fm, Yanga itashuka kwenye uwanja wa Mkapa Oktoba 8, 2022 kukabiliana na timu hiyo kutoka Sudan from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/5I20O8p via IFTTT

Maelfu ya Ng'ombe Waandamana Nchini India Kulalamikia Ukosefu wa Makazi

Image
Katika video na picha zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ng'ombe hao wanaonyesha wakipita kwenye majengo ya serikali Katika video na picha zilizosambazwa mitandaoni, ng'ombe hao wanaonyesha wakipita kwenye majengo ya serikali. Picha: IANS Katika video na picha zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ng'ombe hao wanaonyesha wakipita kwenye majengo ya serikali. Waandamanaji pia wametishia kususia uchaguzi ujao wa majimbo iwapo serikali itashindwa kutoa pesa za kudumisha makazi ya ng'ombe na wanyama wengine wa zamani. Idadi kubwa ya ng'ombe wamekuwa wakizurura mitaani, na kusababisha msongamano wa magari. Vile vile walilalamikia mlipuko wa ugonjwa wa ngozi ambao umesababisha sababisha hasara ya ng'ombe. Kwa mfano katika Jimbo la Gujarat ambalo limeathirika zaidi na ugonjwa huo, vifo 5,800 vya ng'ombe vimeripotiwa huku takriban 170,000 wakiathiriwa na ugonjwa huo, BBC imeripoti. Nchini India, ng'ombe ni wanyama watakatifu kwa jami...

Breaking: Mchezaji Mzungu wa Simba Avunja Mkataba"

Image
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Simba Mserbia, Dejan Georgijevic amethibitisha kuvunja mkataba na miamba hiyo ikiwa ni muda mfupi tangu alipojiunga nao. Nyota huyo aliyesajiliwa na Kocha Zoran Maki ambaye naye aliondoka na kutimkia Misri alijiunga na Simba Agosti 7 mwaka huu akitokea NK Domzale ambapo tangu ametua nchini amekuwa gumzo kubwa kutokana na kuwavutia mashabiki. Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram Dejan aliandika; "Nathibitisha mkataba wangu na waajiri wangu umevunjika, asanteni sana mashabiki kwa sapoti na mapenzi mliyonipa," Nyota huyo anaondoka kwenye kikosi hicho akiwa amefunga bao moja tu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar Agosti 20, wakati Simba iliposhinda mabao 2-0, mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/E8xs5jL via IFTTT

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu za Inasaidia Kukufanya Uwe Rijali Bila Kuaibika Kitandani...

Image
PATA TIBA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.INASAIDIA KUKUFANYA URUDIE MARA.5 NA KUCHELEWA KWA DK 20. TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.BAADA YA UTAFITI WA MDA MREFU JUU YA MATATIZO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UKOSAJI WA HAMU YA TENDO LA NDOA AMA KUSHINDWA KURUDIA TENDO KWA HARAKA DR.NTOBI AMEKULETEA TIBA SAHIHI YA MATATIZO HAYO KWA KUTUMIA DAWA ZA GUMBA POWER. GUMBA NI DAWA ASALI YA VIDONGE INAYOTIBU TATIZO LA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.DAWA HII INAMCHANGANYIKO WA KUTOSHA WENYE KUZALISHA VICHOCHEO VINGI VYA HEMONE ZA GESTROGEN VIKIWEMO VITAMINI B6&B1 VITAMINI E.PAMOJA NA MADINI AINA YA ZINC VITAKUFANYA KUWA NA NGUVU NA MZUNGUKO MZURI WA DAMU NA KUONGEZA HAMU NA UWEZO WA KUFANYA TENDO LA NDOA ZAIDI YA HATUWA NNE AU ZAIDI . NA KUCHELEWA KUFIKA KILELENI ZAIDI YA DAKIKA 20-30 NTINJE. INARUTUBISHA MAUMBILE YA UUME YAANI KUREFISHA NA KUNENEPESHA NCHI.4-7 UPANA CM4-6 STANDARD KIAFYA HAIJALISHI UMRI WAKO HATA KWA WAZEE UKIITUMIA MAUMBILE YAK...

CEO mpya aipa jeuri Yanga kuitoa Al Hilal

Image
ZIKIWA zimebaki takriban siku 11 kabla ya Yanga kuikaribisha Al Hilal kwenye mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika,... ... uongozi wa klabu hiyo umemtambulisha rasmi Mtendaji wao Mkuu (CEO), Mzambia Andre Mtine, ambaye wameingia naye mkataba wa miaka miwili akichukuwa nafasi ya Senzo Mbatha aliyemaliza 'kandarasi' yake hivi karibuni. Mtine amewahi kufanya kazi katika klabu mbalimbali hapa Afrika ikiwamo Zesco ya kwao Zambia, TP Mazembe ya DR Congo na kuhudumu katika Shirikisho la Soka Afrika (CAF) katika kitengo cha fedha. Yanga sasa inajivunia uzoefu CEO huyo ambaye anamjua vema Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan wa sasa, Florent Ibenge, tangu akiwa anafanya kazi nchini Congo kabla ya wote kuondoka. Tayari imeelezwa Mtine ameanza kushusha hesabu zote zitakazoisaidia Yanga kuwashangaza matajiri hao wa Sudan, ikiwamo mikakati ya kocha wa timu hiyo, Ibenge ambaye ni raia wa DR Congo. Kutokana na uzoefu na kufahamu uwezo wa Mtine katika soka, m...

Ally Kamwe Aomba Ushirikiano Young Africans

Image
Baada ya kutangaza kuwa Afisa Habari wa Klabu ya Young Africans, Ally Kamwe amefunguka kwa furaha na kusema hana budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi hiyo aliyoipata. Young Africans ilimtangaza Ally Kamwe jana Jumanne (Septemba 27), kushika wadhifa huo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Hassan Bumbuli aliyeondoka klabuni hapo kufuatia mkataba wake kumalizika. Amesema anatambua ana majukumu mazito ya kuhakikisha anaisemea Young Africans kwa Wanachama na Mashabiki kupitia Vyombo vya Habari, hivyo amewataka wadau wote kumpa ushirikiano, ili kutimiza wajibu wake ipasavyo. “Ninamajukumu makubwa mbele yangu na matarajio makubwa juu yangu kutoka kwa mashabiki wa Young Africans” “Kikubwa ninaomba ushirikiano kutoka kwa wadau wote, ili niweze kuifanya kazi yangu kwa urahisi, nina uhakika kila mmoja anayehusika na klabu hii atapata habari kwa wakati kupitia vyanzo mbalimbali.” Kuhusu kuwa Mwanachama wa Young Africans Ally Kamwe amesema: “Unajua hili suala sio la utani Young African...

Kihembe Herbalist Ni Mabingwa Wa Tiba Mbadala Wenye Uzoefu Wa Miaka Mingi

Image
Kihembe Herbalist Ni Mabingwa Wa Tiba Mbadala Wenye Uzoefu Wa Miaka Mingi *Wanakuletea Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume Iitwayo Speed X3 Inayokuwezesha Kufanya Tendo La Ndoa Zaidi Ya Mara 3 Kwa Speed Ile Ile. Utajuaje Kama Una Upungufu Wa Nguvu Za Kiume? 1:Kushindwa Kurudia Tendo La Ndoa 2:Korodani Moja Kuvimba 3:Kusinyaa Uume Na Kuingia Ndani 4:Tumbo Kuunguruma Na Kujaa Gesi 5:Kutojiskia Hamu Ya Tendo La Ndoa 6:Maumivu Ya Kiuno Na Mgongo 7:Kujisaidia Kinyesi Kama Cha Mbuzi Dawa Hii Speed x3 Inatibu Hormone Balance Na Kuzalisha Mbegu Za Kutosha Na Kukomaza Mbegu Zako Kumbuka Dawa Hizi Ni Za Mitishamba Ambazo Hazina Kemikali Yoyote Ile . Tunapatikana Dar Es Salaam Wasiliana Nasi Kupitia Simu Namba 0682977053 . Au pita kwenye website yetu https://ift.tt/W3gtjMi . Mikoani Tunatuma Kwa Njia Ya Mabasi from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/IQ8lvV3 via IFTTT

Mwanafunzi ateketeza nyumba yao baada ya kupewa pesa kidogo za matumizi shuleni

Image
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Kaunti Ndogo ya Marakwet Magharibi ameingia mitini baada ya kuchoma nyumba ya familia kutokana na kutofautiana na babake kuhusu pesa za matumizi ya shuleni ambazo alimpatia. Mwanafunzi huyo alikataa Sh1000 za matumizi alizopewa na baba yake, Jacob Kilimo akidai Sh 2000 ambazo mzazi huyo alikataa kumpatia kwa madai kuwa wapo ndugu wengine ambao walipaswa kwenda shule na pia wanahitaji usafiri wa mfukoni na karo ya shule. Akithibitisha kisa hicho, Chifu wa lokesheni ya Koibirir Allan Cheserek, alisema kuwa mvulana huyo ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Kapcherop alisema kuwa ndugu zake wengine hawapaswi kupata mengi kwa vile wao ni wasomi wa kutwa.  Madai yake yalipokataliwa kuzingatiwa aliamua kuteketeza nyumba ya familia na ghala akiharibu mali ya thamani isiyojulikana kabla ya kukimbia. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nKUeMf8 via IFTTT

Kocha Mgunda: Sijapata mtu maalum safu ya ulinzi

Image
Kaimu Kocha Mkuu wa Kikosi cha Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amesema analazimika kufanya mabadiliko ya mara kwa mara katika safu ya ulinzi kutokana na changamoto ambazo haziepukiki. Kocha Mgunda alikabidhiwa jukumu la kukaimu nafasi ukuu wa Benchi la ufundi Simba SC, siku chache baada ya kuondoka kwa Kocha kutoka nchini Serbia Zoran Maki kwa mkataba wake kuvunjwa kwa makubaliano maalum. Mgunda amesema anaendelea kuisuka safu yake ya ulinzi, lakini hadi sasa hajapata mtu sahihi wa kuanza katika kikosi cha kwanza kutokana na wachezaji wote wanaocheza nafasi hiyo kuwa na uwezo wa kupambana. Amesema alipoanza kazi klabuni hapo, alilazimika kuendeleza alipoachia Kocha Zoran Maki, lakini alikua hana budi kufanya mabadiliko ya kumtumia Beki kutoka nchini Kenya Joash Onyango kutokana na majeraha yaliomkabili Henock Inonga Baka kwenye mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Nyasa Bog Bullet. “Ni kweli tangu nimeingia Simba bado sijapata kikosi cha kwan...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH OSTADH RAMADHANI NASORO anapatikana mkoani MOROGORO

Image
Ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu Anatibu kwa kutumia visomo na dua na dawa za miti shamba pia  UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika. ............................... JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio? Wasilina na  OSTADH RAMADHANI NASORO ujionee muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 72 TU.  ............................... Umekimbiwa na Mumeo, mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.  Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi .............................. OSTADH RAMADHANI NASORO ANATUMIA  Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako, Anatibu kwa Kutumia  Vitabu vya QUR-AN, DAWA za ASILI na DAWA za KIARABU, Pia ni mkuvunzi wa kutafsiri Ndoto. Pi...

Kihembe Herbalist Ni Mabingwa Wa Tiba Mbadala Wenye Uzoefu Wa Miaka Mingi

Image
Kihembe Herbalist Ni Mabingwa Wa Tiba Mbadala Wenye Uzoefu Wa Miaka Mingi *Wanakuletea Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume Iitwayo Speed X3 Inayokuwezesha Kufanya Tendo La Ndoa Zaidi Ya Mara 3 Kwa Speed Ile Ile. Utajuaje Kama Una Upungufu Wa Nguvu Za Kiume? 1:Kushindwa Kurudia Tendo La Ndoa 2:Korodani Moja Kuvimba 3:Kusinyaa Uume Na Kuingia Ndani 4:Tumbo Kuunguruma Na Kujaa Gesi 5:Kutojiskia Hamu Ya Tendo La Ndoa 6:Maumivu Ya Kiuno Na Mgongo 7:Kujisaidia Kinyesi Kama Cha Mbuzi Dawa Hii Speed x3 Inatibu Hormone Balance Na Kuzalisha Mbegu Za Kutosha Na Kukomaza Mbegu Zako Kumbuka Dawa Hizi Ni Za Mitishamba Ambazo Hazina Kemikali Yoyote Ile . Tunapatikana Dar Es Salaam Wasiliana Nasi Kupitia Simu Namba 0682977053 . Au pita kwenye website yetu https://ift.tt/N35HYDb . Mikoani Tunatuma Kwa Njia Ya Mabasi from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/RlV3oKe via IFTTT

DAH! Morrison ana majanga huyo

Image
MSHAMBULIAJI Bernard Morrison amekutana na adhabu ya kufungiwa kuzikosa mechi tatu na kulimwa faini ya Sh1 milioni kutokana na kosa la kumkanyaga makusudi beki wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika mchezo ulioikutanisha timu hiyo na Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 6, mwaka huu uliomalizika kwa sare ya kufungana mabao 2-2. MSHAMBULIAJI Bernard Morrison amekutana na adhabu ya kufungiwa kuzikosa mechi tatu na kulimwa faini ya Sh1 milioni kutokana na kosa la kumkanyaga makusudi beki wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika mchezo ulioikutanisha timu hiyo na Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 6, mwaka huu uliomalizika kwa sare ya kufungana mabao 2-2. Adhabu hiyo iliyotolewa na Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) ilitangazwa Alhamisi na kutokana na hilo, mechi tatu ambazo mshambuliaji huyo raia wa Ghana atakosa ni dhidi ya timu za Ruvu Shooting, Namungo na Simba. Hapana shaka kumkosa Morrison katika mchezo dhidi ya Simba ni pigo ...

Abdu Kiba Arusha Jiwe Gizani " Eti SIMBA? SIMBA Sifa, SIMBA analiwa"

Image
''Eti SIMBA? SIMBA Sifa, SIMBA analiwa, SIMBA anafugwa 👑SIMBA anazaa, Bado anazaliwa✍🏿 @officialalikiba 29/09/2022'' Amepost @officialabdukibaa Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Ujumbe Ambao Ameleta Maswali Mengi Kwa Mashabiki Na Wadau Mbalimbali Ambao Wengi Wamekua Tafsiri Zao Binafsi Kuhusiana Na Ujumbe Huo. #ABDU Ameacha Maswali Mengi Kwa Mashabiki Wakitamani Kujua Ni #SIMBA Yupi Haswa Amelengwa Maana Kuna Baadhi Ya Wasanii Pia Wanatumia Jina Hilo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/RNtJTxm via IFTTT

Mr II Sugu Afunguka "Mkwanja Unaleta Raha Kwenye Mapenzi" - Mr II Sugu

Image
Mkongwe wa mziki wa HipHop Mr II Sugu amepigia misumari kauli ya mapenzi yanaenda sawa na pesa kwa kushea ujumbe unaoeleza kuwa pesa haiwezi kununua mapenzi lakini ikiwepo inaleta raha. "Ni kweli money can't buy  love but mkwanja kiasi ukiwepo unaleta raha kwenye mapenzi. Dogo langu Fred Vunja bei atakubaliana na mimi" - Mr II Sugu  Ikumbukwe hata Barakah The Prince alishaimba kwamba mapenzi sio pesa ila pesa ikikosekana mapenzi yanapungua. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/hSxWDgu via IFTTT

Yanga yang’oa fundi Mazembe

Image
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kupiga tizi jijini Dar es Salaam kujiandaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Bara na zile za Ligi ya Mabingwa Afrika zitakazopigwa mwezi ujao, lakini mabosi wa klabu hiyo wamefanya jambo moja la akili kwa kumng’oa fundi mmoja kutoka TP Mazembe ya DR Congo. Mabosi hao wa Yanga wamemleta aliyewahi kuwa kigogo wa TP Mazembe na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Power Dynamos ya Zambia pamoja na Chama cha Soka cha Zambia (FAZ), Andre Mtine ambaye tayari yupo jijini Dar es Salaam na kanaswa ‘live’ na Mwanaspoti. Katika toleo la Mwanaspoti la Septemba 4 mwaka huu, tuliripoti juu ya mpango wa Yanga kumleta mtendaji mkuu (CEO) Mzambia kutoka TP Mazembe na juzi lilimnasa jamaa huyo akitinga hoteli aliyofikia baada ya kuletwa na mabosi wa Jangwani, huku kukiwa na taarifa Mtine ndiye anayekuwa CEO mpya. Ingawa hakuna kiongozi yeyote wa Yanga aliyepatikana kuweka bayana ya huyu Mtine, lakini habari za kuaminika kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema Mzambia huyo...

Vita vya Ukraine: Je, Urusi Itatumia silaha za kimbinu za Nyuklia?

Image
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema yuko tayari kutumia silaha za nyuklia kutetea ardhi ya Urusi, na hivyo kuzua hofu kuwa huenda akatumia silaha ndogo ya nyuklia nchini Ukraine. Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya kuwa kufanya hivyo kutakuwa ni ongezeko kubwa la mzozo kijeshi tangu Vita vya Pili vya Dunia. Silaha za kimbinu za nyuklia ni za aina gani? Silaha hizi za nyuklia ni silaha na mifumo yao ya uwasilishaji kwa matumizi ya kwenye uwanja wa vita au kwa mgomo mdogo. Silaha za hizi za nyuklia zimeundwa kuharibu malengo ya adui katika eneo maalum bila kusababisha uchafuzi wa mionzi. Silaha ndogo zaidi za nyuklia zinaweza kuwa tani elfu moja au chini ya hapo, ambayo ni, tani elfu moja za mlipuko wa TNT, na kubwa zaidi inaweza kufikia tani laki moja za mlipuko wa TNT. Silaha za kimkakati za nyuklia ni kubwa (hadi daraja la megaton) na zinaweza kurushwa kutoka umbali mkubwa zaidi. Kwa kulinganisha, bomu la atomiki lililorushwa na Marekani huko Hiroshima mnamo 1945 lil...

Korea Kaskazini Yarusha Kombora Linaloshukiwa Kuwa la Balistiki

Image
Korea Kaskazini imerusha kombora linaloshukiwa kuwa la balistiki katika pwani yake ya mashariki, likiwa ni jaribio lake la kwanza kujulikana tangu Juni, maafisa wa jeshi la Korea Kusini wamesema.   Hatua hiyo Ilikuja baada ya shehena ya ndege ya Marekani kuwasili Korea Kusini kushiriki katika mazoezi ya pamoja, na kabla ya ziara iliyopangwa ya Makamu wa Rais Kamala Harris.   Seoul ilisema uzinduzi huo ulikuwa “kitendo cha uchochezi mkubwa”. Umoja wa Mataifa unapiga marufuku Korea Kaskazini kufanya majaribio ya silaha za balistiki na nyuklia.   Jeshi la Korea Kusini lilisema liligundua kombora la masafa mafupi lililorushwa mapema saa 07:00 kwa saa za huko (11:00 GMT) karibu na Taechon, zaidi ya kilomita 100 (maili 60) kaskazini mwa Pyongyang.   Ilisema iliruka takriban kilomita 600 kwenye mwinuko wa kilomita 60. “Jeshi letu liko tayari na linashirikiana kwa karibu na Marekani huku likiimarisha ufuatiliaji na umakini,” ilisema taarifa yake.   ...

Bodi ya Filamu nchini Kenya Yazifungia Filamu Zenye Maudhui ya Mapenzi ya Jinsia Moja

Image
Bodi ya Filamu nchini Kenya, The Kenya Film Classification Board (KFCB) imezifungia filamu zote nchini humo zenye maudhui ya mapenzi ya jinsia moja, (Ushoga/Usaganaji n.k) kama maudhui ambayo yapo kinyume na sheria za nchi. Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Christopher Wambua akiwa kwenye moja ya kituo cha radio nchini humo alipokuwa akifanya Interview siku ya jana ijumaa September 23, alidai bodi itaendelea kufungia na kutoruhusu contents hizo nchini humo hata kama wanachuja filamu kulingana na umri wa watazamaji, lakini bado haiondoi kuwa kuna mambo sheria za nchi haziruhusu. Wambua pia amedai hilo haliishii kwenye Media za Kenya tu (Mainstream) wapo kwenye mazungumzo na mitandao inayotumika kuonyesha filamu kama Netflix, kuzuia Maudhui ya aina hiyo kuonekana nchini humo. “I am Samuel ” ni moja ya filamu iliyokula nyundo hivi karibuni nchini humo ikiwa na maudhui ya aina hiyo. NB: Picha zilizotumika ni waigizaji wa Kenya pamoja na CEO wa KFCB, hazihusiani moja kwa moja na taarifa ya uteng...

OKOA NDOA YAKO!! PATA VIGRX PLUS (MPYA) UONGEZE UUME NA NGUVU ZA KIUME

Image
Baadhi ya mambo yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume pamoja na maumbile madogo ya uume ni kama KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.MAX MAN GEL @240,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.VIGRX PLUS au GOOD MAN @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kisukari 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. 6.SHARK POWER @220,000/= >Huongeza uume k...

Ndege yapitiliza njia na kutua ziwani

Image
Ndege ya Shirika la Ndege la West Atlantic ilipitiliza njia jana wakati ikijaribu kutua katika uwanja wa Ndege wa Montpellier nchini Ufaransa, na hatimaye kusimama pembeni mwa Ziwa. Ndege hiyo ya mizigo aina ya Boeing 737 ilikuwa na watu watatu na wote waliokolewa na kutoka bila majeraha. Uchunguzi kuhusiana na ajali hiyo unaendelea, huku mamlaka ya anga nchini humo ikitangaza kufungwa kwa uwanja huo kwa muda usiojulikana mpaka hapo Ndege hiyo itakapoondolewa. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/4SXano0 via IFTTT

Mayele, Morrison waliamsha Yanga

Image
YANGA juzi ilirudi mazoezini na kasi kubwa baada ya wachezaji kupewa mapumziko ya siku tatu wakitoka kumpiga mtu jumla ya mabao 9-0, lakini habari nzuri kwa wanayanga ni kurejea kwa mastaa wawili walioibua hofu kwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kuwa majeruhi, Bernard Morrison ‘BM33’ na Fiston Mayele. YANGA juzi ilirudi mazoezini na kasi kubwa baada ya wachezaji kupewa mapumziko ya siku tatu wakitoka kumpiga mtu jumla ya mabao 9-0, lakini habari nzuri kwa wanayanga ni kurejea kwa mastaa wawili walioibua hofu kwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kuwa majeruhi, Bernard Morrison ‘BM33’ na Fiston Mayele. Morrison alikosa mechi mbili za kimataifa ambazo Yanga ilicheza na Zalan na kuifunga nje ndani kwa mabao 4-0 na 5-0 sambamba na ile ya Ligi Kuu Bara waliyoipasua Mtibwa Sugar 3-0, wakati Mayele alitoka uwanjani akichechemea baada ya kutupia hat-trick ya pili akiwazamisha mabingwa hao wa Sudan Kusini. Hata hivyo, mastaa hao juzi walikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichojif...

Hii ndio Dawa ya Bosi Anayechelewesha Mshahara!

Image
Jina langu ni Betina mkazi wa Arusha, Tanzania, nina umri wa miaka 18, elimu yangu nimesoma hadi darasa la saba, nilianza sekondari ili nilipofika kidato cha pili shule ilinishinda nikawa natafuta kazi ya kufanya. Nakumbuka siku moja nilikutana na mama mmoja anapika mgahawa, nikaenda taratibu ili kuomba kazi pale, mama alinikaribisha kama mteja. Nikamuita pembeni nikamueleza shida yangu yule mama hakusita akaniambia niende kesho yake, na kweli asubuhi ilipofika nikajiandaa kuelekea kwa yule mama ntilie. Alinipokea na kuanza kazi siku ile ile, kwa siku nilikuwa napewa Tsh3,000, ilikuwa ni fedha ndogo kwangu ila niliendelea kufanya hivyo hivyo maana nilikuwa na shida na isitoshe maisha ni magumu. Unajua kuacha kazi ni rahisi sana ila kuja kupata kazi nyingine ndio huwa ngumu hasa kwa sisi watu ambao hatujaenda shule na kupata taaaluma au ujuzi wowote.  Jioni moja nilikuwa natokea kazini kuelekea nyumbani, kabla sijafika nikakutana na dada anatoka kazini kwao nikamsimamish...

Mwanamke akutwa amefariki gesti Handeni

Image
Handeni. Mkazi mmoja wa wilayani Handeni mkoani Tanga Mariam Mbwana (35) amekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni huku mwanaume aliyekuwa naye akitorokea kusikojulikana. Akielezea tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24, 2022 meneja wa nyumba ya kulala wageni Paradise, Christian Masawe amesema alifika mwanaume ambae hakutambulika na kulipia chumba hicho. Amesema kuwa mteja huyo wa kiume kabla ya kuingia kulala alipata huduma ya chakula na vinywaji na alikuwa peke yake na wala hawakufahamu kuwa alikuwa na mwenzake. Ameongeza kuwa asubuhi wakati mfanyakazi anakwenda kukagua chumba kwaajili ya kufanya usafi, ndio akagundua upo mwili wa mwanamke amefariki dunia na kutoa taarifa kwa uongozi.  "Aliyekuja kuchukua chumba ni mwanaume na alikuja peke yake yule mwanamke haijulikani aliingia saa ngapi majira ya usiku, ila mwanaume huyo alikula na kunywa akiwa peke yake na inaonekana alitoka asubuhi na kumuacha ndani",amesema Massawe. Mdogo...

Simba yapewa ujanja kwa de Agosto

Image
SIMBA imevuka bahari kwenda Zanzibar kwa ajili ya mechi za kirafiki dhidi ya Kipanga na Malindi zilizopo Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), huku ikipewa ujanja wa kufanya vyema kwenye mechi zao zijazo za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakapovaana na Primiesro de Agosto ya Angola. Aliyewapa mchongo huo ni winga wa zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kukipiga katika Ligi Kuu ya Angola, Said Maulid ‘SMG’ aliyesema ni lazima Simba ijiandae mapema hasa kwa mechi yao ya ugenini kwani aikishatoboa hapo, haitakuwa na kizuizi cha kuipeleka hatua ya makundi ya CAF. SMG aliyewahi kukipiga Simba na Yanga kabla ya kwenda Angola kuichezea Onze Bravos kati ya mwaka 2008-2012 alifichua maufundi ya de Agosto, akiweka wazi kama watajipanga vizuri watashinda na kusonga mbele kirahisi tu. “De Agosto ni timu ya jeshi ambayo kwa Angola ni kubwa kama ilivyo Simba au Yanga kwa maana ya ubabe, rekodi, makombe, mashabiki na hata kihistoria, hivyo ni lazima wawakilishi wa Tanzania waende kwa ...