Mwamuzi wa Yanga na USM Alger Atangazwa
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limemtangaza Mwamuzi Dahane Beida kutoka Mauritania Kuwa ndiye atakayechhezesha mchezo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya USM Alger dhidi ya Yanga SC Mchezo huo Utachezwa Juni 03 Uwanja wa Julliet 5, Jijini Algers nchini Algeria Dahane Beida atasaidiwa na Jarson Dos Santos Kutoka Angola na Arsenio Marngol kutoka Msumbiji from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/23RWA96 via IFTTT