Posts

Showing posts from March, 2023

Mwanaume Zingatia Haya Linapokuja Suala la Kumridhisha Mpenzi Wako

Image
➡️ MWANAUME ZINGATIA HAYA 👇 🫂 Kumfikisha mwanamke kileleni lazima mwanaume awe na bakora yenye nguvu na iliyosimama imara mda wote wakati wa pambano. Tatizo kwa wanaume wengi hasa wale ambao wameshawahi kujichua huwa wanashindwa kusimamisha bakora mda wote wa pambano wengi bakora inalegea au kusinyaa ndani au kabla ya kuingiza bakora uwanjan pia bakora kuwa ndogo kama ya mtoto. ✅ Uzuri ni kwamba bidhaa zetu matokeo ni PERMANENT ukitumia mara moja ndo umemaliza hauna haja ya kurudia dawa 💯 ...... TUMIA BIDHAA HIZI KUTIBU MOJA KWA MOJA TATIZO LAKO. 1. VIG RX PLUS 2. SIZE UP XL > Kuongeza maumbile kwa size uipendayo > Kuongeza nguvu 💪 > Kuimalisha misuli iliyolegea kwa ( PUNYETO ) > Kukupa uwezo wa kurudia tendo hata mara tatu bila kuchoka > Kukupa msisimko wa raha mara mbili zaidi. > Kuimalisha mbegu kuwa imara zaidi. > Pia kwa wale wanaofanya mara moja ya kushindwa kurudia tena 📲 +255717137494 • au • +255768127494 call or text whatsaap ✓...

Simba wapigwa 3-1 na Raja Casablanca

Image
Baada ya dakika 90 kutamatika kwa kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa Raja Casablanca Mchezo wa mwisho hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Simba imekiri kupoteza mchezo guo lakini imefuzu robo fainali. ”Tumekamilisha hatua ya makundi ya #TotalEnergiesCAFCL kwa kupoteza lakini tumefuzu robo fainali.” Goli pekee kwa Simba SC limefungwa na Jean Baleke dakika ya 49. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Erc3K58 via IFTTT

Dawa ya Sado Mix Kwa Wenye Matatizo ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

Image
DAWA YA SADO MIX _BORA SANA YA KIBAMIA CALL 0713 195321/ WHATSAPP +255745387469. ---------------------------------------- Ni dawa ya asili ( yenye mchanganyiko wa mitishamba yenye kutibu na kumaliza matatizo yafuatayo KIBAMIA _Uume kusinyaa na kuwa kama mtoto , _kunyoosha mishipa ya askari iliyosinyaa kutokana na kujichua kwa muda mrefu -au ngiri ,nk _kuongeza size ,urefu na unene wa askari nchi (6-8) _kukaza misuli ya askari iliyolegea kutokana na kujichua nk. 3 POWE Ni dawa ya kutibu matatizo ya Nguvu za kiume na tatizo la kuwahi kileleni kuongeza ham ya tendo la ndoa ndani ya dk 90 hukufanya unogewe kufika kileleni dk 15-20 na kurudia tendo zaidi ya mara 3 bila hamu kuisha.Pia kuna dawa za matatizo ya (1) Kisukari (2)tezi dime(3)bawasiri(4)madonda ya tumbo (5) busha bila opretion nk. Tunapatikana Dar es salaam na inaweza kukufikia popote ulipo dawa. dar es salam ,Mwanza, Zanzibar ,arusha ,mbeya ,na mikoa yote Tanzania kwa bus au kwa boti NB; dawa hizi ni za asili (...

Waombolezaji warudisha maiti polisi kisa msomaji risala ‘kupindisha’ chanzo cha kifo

Image
Geita. Jeshi la Polisi wilayani Chato mkoani Geita limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji na wananchi wa Kata ya Mganza, kufuatia vurugu zilizotokea wakati wa maziko ya kijana Enos Misalaba (32) anayedaiwa kukamatwa na polisi kisha kupigwa na kusababisha kifo chake. Mkuu wa Wilaya ya Chato, Deusdedith Katwale amethibitisha kutokea tukio hilo na kusema yupo njiani kuelekea eneo la tukio na taarifa zaidi atazitoa baada ya kufika Mganza. Kaka wa marehemu, Samweli Misalaba akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu, amesema wakiwa kwenye eneo la maziko kwa taratibu za mazishi, wananchi walikataa kuendelea na maziko baada ya msomaji risala ya marehemu kusema amekufa kwa ugonjwa wa kifua na siYo kupigwa kama jamii inavyoamini. “Tulikubali kuzika, tumeshachimba kaburi wakati wa historia ya marehemu msomaji alisoma kuwa amekufa kwa kuugua kifua ndio wananchi wakakataa na kubeba jeneza na kuurudisha mwili kituoni wakitaka waelezwe kifo cha marehemu kimetokana n...

Hamisa Mobetto "Sijawahi na Haitakaa Itokee Kuwa Kwenye mahusiano na Mwanaume Asiye na Pesa"

Image
Mwanamuziki na mfanya modelling nchini, @hamisamobetto ameketi kwenye meza ya Amplifaya ya Clouds Fm na kufanya Exclusive interview kuongelea mambo mengi yanayo muhusu yeye pamoja na maisha yake kiujumla. Miongoni mwa aliyo yaongea ni kuhusu aina ya wanaume ambao amewahi kuwa nao kwenye mahusiano, Misa amekiri kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hana hela na hajawahi kuwa na mwanaume wa dizaini hiyo. Kwa sasa mwanaume aliye kwenye mahusiano na Hamisa hajulikani, ila kwa zawadi za Range Rover na mambo mengine, inakupa picha kuwa si sehemu ya kawaida. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/kOGVq8b via IFTTT

Mambo Kumi Usiyoyajua Kuhusu NDEGE ya Air Force Two Iliyomleta Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris

Image
Haya ni Mambo 10 Usiyoyajua kuhusu Air Force Two, ndege inayotumiwa na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris; 🛩Air Force Two ni ndege maalum ya serikali ya Marekani inayotumiwa na makamu wa rais wa Marekani 🛩Ndege hiyo ni Boeing C-32, ambayo ni sawa na Boeing 757-200, lakini imeboreshwa na kuwa na vitu maalum vya usalama na kifahari 🛩 Ina uwezo wa kusafiri kwa kasi ya hadi maili 530 kwa saa na inaweza kusafiri umbali wa maili 5,500 bila kukata mafuta 🛩Ndege ya Air Force Two ina uwezo wa kubeba hadi abiria 45 kwa wakati mmoja, ikiwa ni pamoja na maafisa wa serikali, waandishi wa habari na walinzi 🛩 Ina teknolojia ya kisasa ya mawasiliano, ikiwa ni pamoja na vituo vya simu za satelaiti, mtandao wa Wi-Fi, na vifaa vya kupokea taarifa za habari moja kwa moja 🛩Ndege hiyo ina vyumba vya kulala, vyumba vya mikutano, na sehemu za kujumuika na kupumzika 🛩 Ina vifaa vya kujikinga na mashambulizi, ikiwa ni pamoja na mifumo ya kujihami dhidi ya makombora na vifaa vya kuji...

Hatimaye Mange Kimambi Atoa Msimamo Wake Kwenye Sakata la Ushoga

Image
Nimeulizwa sana msimamo wangu kwenye hii Issue ya ushoga. Here it goes; . Mimi ni mama mwenye watoto wa kiume. Nataka waje kuoa wanipe wajikuuu. Nataka wakue wawe vidume kweli kweli. Lakini ikitokea wakawa magay hakuna kitakachobadilika kwangu. Nitawapenda na kuwathamini na nitakuwa proud na watoto wangu. Mimi mtoto wangu hata aue mtu, nini kuwa gay, hata aue I will stil love and support them. I love my kids unconditionally. . That being said msimamo wangu mimi kwenye ugay ni hivi, sisi kam jamii tusiweke environment inayo encourage watoto kuwa gay hili napinga kwa nguvu zote kwa mfano siku hizi mpaka cartoon kuna watu gay, hapana i dont like this. Staki mtu aweke hii idea kwenyw kichwa cha mtoto wangu kuwa it’s okay to be that. . So yes kwangu mimi nasaposti kuwa tusiweke mazingira rafiki kwa vijana wetu kuweza kuwa gay. Ila pia kuna wanaozaliwa hivyo they can’t help themselves, wamezaliwa wa kiume ila wana mahormone ya kike je hawa ni sawa kuwatenga na kuwapa hard time? . ...

Meridianbet Yaangukia kwa Mama Ntilie wa Kariakoo na Manzese

Image
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii  https://a.meridianbet.co.tz/c/TRqTCA Kama ilivyo kawaida yao kila siku, Meridianbet hufikiria kurejesha kile kidogo wakipatacho kwa jamii, na sasa wamehamia kwa Mama Ntilie ambapo leo hii wametoa aprons kwa kina mama hao wanaopatikana maeneo ya Kariakoo na Manzese ziwasidie kwenye uandaji wao wa chakula. Kila binadamu anahitaji kula chakula salama na kilicho bora kabisa ambacho kimeandaliwa vyema kwenye mazingira ya usafi, ndiyo maana timu nzima ya Meridianibet ikaona kuwa ni muhimu kuwatembelea wafanyabiashra wadogo wa chakula wanaojulikana kama Mama Ntilie na kuwapatia Aprons.  Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na  Kasino ya Mtandaoni   Na kuhakikisha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha m...

Wasiliana na Maalim JUMA, Mwenye Maombezi Yenye Maajabu na Wengi Wamefanikiwa Kwa Karama na Dua zake

Image
Maalim juma Sasa yupo hapa Tanzania anatoa msaada kwa watu wote wadini zote nakabila zote nawajinsia wote, Maalim Juma nibingwa wadua natiba Asilia anatoa uchawi vifungo mikosi nuksi matego mabalaa yote pia anadawa yabiashara kuvuta wateja nakuondoa chuma ulete wanaoiba pesa kwa njia Takeza au uchawi pia ana dawa yakuondoa migogoro kazini napia kuaponyesha vichaa walioshindikana Na wale wenye maradhi sugu pia wasikate tamaa kwa Maalim Juma yote yatakwisha kwa uwezo wa Mungu kwa ufupi mtafute Maalim Juma umuulize au akusaidie kwa chochote unachokihitaji Mpigie muda wowote atakupokelea Simu yeye mwenyewe au wasaidizi wake . Namba anazotumia Maalim Juma kwa Whatsapp +255675322429 au +255788150485 kwahiyo Acha kuteseka Acha kukata tamaa Acha kuongopewa nakupotezewa muda, muone Sasa Maalim Juma akusaidie kwa shida mbalimbali zinazokusumbua wabillahi tawfiq. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DqwFx8c via IFTTT

Droo robo fainali ligi ya mabingwa, Shirikisho Jumatano ijayo

Image
  Droo ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na kombe la Shirikisho, itafanyika Jumatano ijayo April 05 huko Cairo, Misri Wananchi Yanga watakuwa miongoni mwa timu nane ambazo zitahusika katika droo ya robo fainali ya kombe la Shirikisho Mechi za kuhitimisha makundi zinapigwa mwishoni mwa wiki hii Yanga ikitarajiwa kuondoka Dar leo kuifuata TP Mazembe kwa ajili ya mchezo utakaopigwa April 02 huko Lubumbashi pia Simba ni miongoni mwa timu nane zilizofuzu robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ikimaliza kwenye nafasi ya pili kutoka kundi C Mechi za kuhitimisha makundi zinapigwa mwishoni mwa wiki hii Simba ikimaliza mechi yake ya mwisho dhidi ya Raja Casablanca huko Morocco mchezo ukipigwa saa saba usiku wa kuamkia Jumamosi Yanga imepania kumaliza kileleni mwa kundi D ili kuanzia mechi ya robo fainali ugenini na kisha kumalizia nyumbani huku Simba ikiwa tayari kukutana na yeyote katika hatua ya robo fainali kwani hakuna timu nyepesi katik...

Papa Francis alazwa hospitalini kwa tatizo la kupumua

Image
  Papa Francis ana ugonjwa wa kupumua na atahitaji kukaa kwa siku chache hospitalini huko Roma, Vatican inasema. Kiongozi huyo wa kanisa katoliki mwenye umri wa miaka 86 alikuwa na shida ya kupumua katika siku za hivi karibuni lakini hana Covid, taarifa ilisema. Ilisema atahitaji “siku chache za matibabu sahihi ya hospitali”. “Papa Francis ameguswa na jumbe nyingi alizopokea na anatoa shukrani zake kwa ukaribu na sala,” taarifa hiyo iliongeza. Wafanyakazi wake wa karibu, wakiwemo wa usalama, wanatarajiwa kulala usiku katika Hospitali ya Gemelli, mtu mwenye ujuzi wa moja kwa moja aliambia BBC. Huu ni wakati wenye shughuli nyingi zaidi za mwaka kwa Papa Francisko, huku matukio na ibada nyingi zikipangwa kabla ya wikendi ya Pasaka. Misa ya Jumapili ya Mitende imepangwa wikendi hii, na maadhimisho ya Wiki Takatifu na Pasaka wiki ijayo. Pia amepangwa kuzuru Hungary mwishoni mwa Aprili. Siku ya Jumatano asubuhi, aliongoza hadhira yake ya jumla ya kila wiki katika Uwanj...

Air Tanzania (ATCL) Yapata Hasara ya TZS Bilioni 35

Image
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepata hasara ya TZS bilioni 35.23 katika mwaka wa fedha 2021/22, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonesha. Katika mwaka wa fedha 2020/21, ATCL ilipata hasara ya TZS bilioni 36.18. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/uUlZBov via IFTTT

Kutana na Mtaalam wa Kuongeza Hips na Makalio Kwa Warembo

Image
Kutana na @ongeza_hips_makalio mtaalamu wa kuongeza maumbo kwa watoto wa kike, unajiitaje mtoto wakike na humjui @ongeza_hips_makalio Mfollow instagram ukajionee bidhaa zake zilizobadili maumbo ya warembo wengi mjini, bado hujachelewa bei zake ni nafuu na Dawa ni uhakika unasubiri nini?? wapigie upate huduma Pasaka na Eid inakukuta vipi bila shape ya kueleweka? Utakosa hela ya sikukuu bure😅 maana sikuhz kabla hujahongwa unaangaliwa nyuma yaliyomo yamo?🤭 haya tukutane kwa @ongeza_hips_makalio huko instagram tupendeze unaweza pia kumpigia au kucheki wasap +255765747698 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/r0SAOdW via IFTTT

NIGERIA: Wanaume wapiga simu jeshi la zimamoto kuomba namba ya AFISA huyu MREMBO, adai imekuwa KERO

Image
NIGERIA: Wanaume wapiga simu jeshi la zimamoto kuomba namba ya AFISA huyu MREMBO, adai imekuwa KERO VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/gxESHoC via IFTTT

Yanga Yamfuta Kazi Kocha Wake, Kisa Kizima Hichi Hapa

Image
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake, Yanga Pirincess, Sebastian Nkoma. Uamuzi huu umefikiwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Sebastian Nkoma afutwa Kazi Yanga Princess Sebastian Nkoma afutwa Kazi Yanga Princess Uongozi wa Yanga umesema kuwa unamshukuru Kocha Sebastian kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya Wanawake. Kutokana na hilo benchi la ufundi la Yanga Princess litakuwa chini ya kocha Fredy Mbuna mpaka mwisho wa msimu huu wa 2022/2023. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/RlPqL56 via IFTTT

Hii Ndio Bei ya Bastola Tanzania, Ukitaka Kumiliki Fuata Utaratibu Huu

Image
Mwenye Sifa za kumiliki silaha lazima awe na umri wa miaka 25 na kuendelea. Atafanyiwa uchunguzi huyu mtu kuangalia kama ana matukio ya uhalifu asiwe na tabia ya ugomvi wala historia ya matukio ili isije ikamdhuru yeye mwenyewe au jamii. Baada ya hapo atapewa hati ya tabia njema. Baada hapo anapata Mafunzo kwenye Jeshi la Polisi katika Shirika la Uzalishaji Mali na kupata cheti baada ya hapo atakwenda kulipia silaha atapewa 'invoice'. Tunampa fomu 'N' za kuomba kumiliki silaha atajaza kopi Nne ataambanisha na cheti cha tabia njema na uwezo kutoka Jeshi la Polisi atakwenda hadi Serikali ya Mtaa au Kijiji watakaa na kuangalia tabia yake. "Wakiridhika na historia yake watampitisha na kwenda ngazi ya Kata, wakishampitisha atakwenda kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya. Kikao atakaa OCD, Mkuu wa Usalama wa wilaya na Mkuu wa wilaya watamwita. Atahojiwa na kuangalia mapendekezo kutoka chini. Wakijiridhisha watayapeleka yale maombi Kamati ya Ulinzi na Usalama...

Wasiliana na Maalim JUMA, Mwenye Maombezi Yenye Maajabu na Wengi Wamefanikiwa Kwa Karama na Dua zake

Image
Maalim juma Sasa yupo hapa Tanzania anatoa msaada kwa watu wote wadini zote nakabila zote nawajinsia wote, Maalim Juma nibingwa wadua natiba Asilia anatoa uchawi vifungo mikosi nuksi matego mabalaa yote pia anadawa yabiashara kuvuta wateja nakuondoa chuma ulete wanaoiba pesa kwa njia Takeza au uchawi pia ana dawa yakuondoa migogoro kazini napia kuaponyesha vichaa walioshindikana Na wale wenye maradhi sugu pia wasikate tamaa kwa Maalim Juma yote yatakwisha kwa uwezo wa Mungu kwa ufupi mtafute Maalim Juma umuulize au akusaidie kwa chochote unachokihitaji Mpigie muda wowote atakupokelea Simu yeye mwenyewe au wasaidizi wake . Namba anazotumia Maalim Juma kwa Whatsapp +255675322429 au +255788150485 kwahiyo Acha kuteseka Acha kukata tamaa Acha kuongopewa nakupotezewa muda, muone Sasa Maalim Juma akusaidie kwa shida mbalimbali zinazokusumbua wabillahi tawfiq. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vToOAGq via IFTTT

Morrison kuikabili Simba SC Ligi Kuu

Image
Inaelezwa kuwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison huenda akauwahi mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba SC, kufuatia ripoti kueleza ameshapona kwa asilimia 80. Morrison kwa kipindi kirefu amekuwa nje ya kikosi cha Young Africans kwa sababu za kuwa majeruhi, lakini ameshaanza mazoezi binafsi, huku akitarajiwa kujiunga na wachezaji wenzake wakati wowote kuanzia sasa. Ripoti iliyotolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Young Africans, Ally Kamwe imeeleza mambo ni mazuri kwa Morrison na wachezaji kama Denis Nkane ambao walikuwa majeruhi na tayari wameshaanza mazoezi. “Wachezaji ambao wamebaki kwenye timu kwa kutoitwa kwenye timu zao za taifa wanaendelea vizuri na mazoezi na wale waliokuwa majeruhi wapo sawa.” “Nkane yeye ameshapona na yupo tayari kucheza michezo ya ushindani na kwa Morrison yeye amepona kwa asilimia 80, nafikiri kwenye michezo ijayo ya ligi anaweza kuwa sehemu ya timu,” amesema. Young Africans kwa sasa inajiandaa na ...

Gigy Money "Nimeongea na Mo J , Nimemsamehe na Ninampenda"

Image
Kilichotokea wiki hii kwa Gigy Money na Baba mtoto wake kimeuza magazeti na kutawala kwenye mitandao ya Kijamii vile vile kubaki gumzo vinywani mwa watu. Gigy Money ameamua kusafisha hali ya hewa kwa andiko lake hapa instagram masaa machache yaliyopita kuhusiana na tukio lile la mzazi mwenzake kumfuata akiwa na polisi. Kwenye andiko lake Gigy amefunguka kwamba, amezungumza na Mo J na amemsamehe kwa alichokifanya. Lakini pia kwa ustawi wa mtoto wao (Mayra) Gigy amefungua moyo na kusema sasa ameondoa kinyongo na kumruhusu Mo J awe anakuja kumuona mtoto kwani licha ya yote, bado ni baba wa mtoto wake. Gigy Money alienda mbali zaidi na kusema anampenda sana Mo J, sana kama ambavyo anampenda Mayra. Ameweka mbali chuki na sasa  wanaangalia ustawi wa mtoto wao! SLIDE kusoma andiko lote. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ZcM8uiY via IFTTT

RAY VANNY kibabe asepa na Dili alilowahi kupewa HARMONIZE, sasa ni muda wa kuvuna mapesa bila idadi

Image
RAY VANNY kibabe asepa na Dili alilowahi kupewa HARMONIZE, sasa ni muda wa kuvuna mapesa bila idadi TAZAMA VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/zLBkcvQ via IFTTT

TBL yapiga marufuku pombe kwa wajawazito

Image
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) imewataka wanawake wajawazito nchini kuacha mara moja kutumia pombe hususan zinazotengenezwa na kampuni hiyo sababu ni hatari. Angalizo hilo limetolewa Dar es Salaam Machi 24, 2023 na kampuni hiyo wakati wa kuzindua kampeni yake ya ‘Mdogomdogo’ huku ikiwasihi watu wanaotumia pombe kuhakikisha kuwa wanazingatia usalama wao. Kwa mujibu wa TBL kampeni hiyo inalenga kuelimisha wateja juu ya unywaji mbaya na kuepukana na maafa yatokanayo na unywaji huwo holela. Mkurugenzi wa Uhusiano na Maendeleo Endelevu wa TBL, Mesiya Mwangoka amesema wanajaribu kuhamasisha wanywaji ikuona pale wanapokuwa wamekunywa pombe nyingi kuweza kutafuta uzaidizi wa kufika nyumbani. “Katika kampeni hii tunasisitiza kuwa wanawake wajawazito wasitumie kabisa vinywaji vyetu sababu ni hatari kwao na kwa mtoto aliyeko tumboni, hivyo mnywaji wa pombe anapaswa kufuata alama zitakazo mwezesha kuwa salama katika unywaji wake, tumezindua kampeni hii ili kuelimisha jamii kuwa mnywaji a...

Shujaa wa Hotel Rwanda Aachiwa Huru

Image
Shujaa wa filamu ya Hollywood inayojulikana kama Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina (68) ameachiliwa kutoka jela mjini Kigali miaka miwili baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 25 kwa kosa la ugaidi. Rusesabagina amemuomba msahama Rais Paul Kagame na kukubali kujiepusha na siasa za Rwanda pamoja na kuahidi kuishi maisha yake yote kwa utulivu nchini Marekani. Msemaji wa serikali ya Rwanda, Yolande Makolo amesema hukumu ya Rusesabagina imebadilishwa kwa amri ya Rais. Tangazo hilo linakuja wiki mbili baada ya Kagame kusema kuwa Kigali inatafuta kusuluhisha kesi ya Rusesabagina, ambayo Qatar na Marekani zimeonesha jitihada katika kutatua kesi hiyo pamoja na mashirika ya kutetea haki za ulimwengu. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/4YyIckU via IFTTT

Wanawake/Wasichana wa Aina Hii ni Hatari Sana Kuwa Nao Kimapenzi

Image
Demu wako wa zamani Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni. Dada wa rafiki yako kipenzi Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako. Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa, sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi...

Washukiwa ugonjwa wa Marburg wafikia 205 Kagera

Image
Idadi ya washukiwa wa Ugonjwa Wa Marburg Mkoani Kagera imefikia watu 205 Kutoka 193 kama ilivyokuwa imeelezwa na Mganga Mkuu wa Serikali, Prof.Tumain Nagu hapo awali Machi 23, Mwaka huu (2023). Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hii leo March 25, 2023 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Manispaa ya Bukoba na kusema mpaka sasa hakuna visa vipya vya wagonjwa wala kifo kilichotokea. Amesema, “bado tuna visa nane ikiwa ni vifo vitano na wa tatu bado wanaendelea na mabibabu, lakini washukiwa waliochangamana na wagonjwa wameongezeka na kufikia 205, ambao ni wanafamilia na wataalamu wetu wa afya waliohudumia wagonjwa hao, hii ni dhahili kuwa ugonjwa huu haujatoka nje ya familia ambazo zimeathiliwa na ugonjwa huo.” Waziri wa afya, Ummy Mwalim alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa Kagera. Tuungane kutokomeza Kifua Kikuu: Waziri Mkuu Aidha, amesema watu hao walioteng...

AKILI ZA KIJIWENI: Matokeo mazuri yawaokoa Aziz KI, Doumbia

Image
KUNA wachezaji wawili pale Yanga walikuwa gumzo kubwa wakati waliposajiliwa ambao ni kiungo mshambuliaji Steohane Aziz Ki na beki wa kati Mamadou Doumbia. Aziz Ki alisajiliwa akitokea Asec Mimosas ya Ivory Coast wakati Doumbia yeye alinaswa kutoka timu ya Stade Malien ya Mali. Wakati tunapiga stori kijiweni tukawakumbuka wachezaji hao wawili kipindi hiki ambacho Yanga inafanya vizuri katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Huyu Aziz Ki licha ya kuanza vizuri alipoingia nchini, kwa sasa amekuwa akisugua benchi huku Doumbia tangu amekuja ameonekana kushindwa kulishawishi benchi la ufundi kumpa nafasi na mechi alizocheza hadi sasa hazizidi mbili. Hata hivyo, licha ya wachezaji hao kutocheza, hakuna shabiki wa Yanga ambaye anaonekana kushtuka au kulalamika kwa nini hawapangwi. Wanayanga wanafurahi tu matokeo ya timu yao na hawajali kama Doumbia na Aziz Ki wanapangwa au wanasotea benchi. Hii ni kwa sababu timu yao inapata matokeo mazuri. Mara zote Yanga wameku...

Abiria Watakiwa Kumrekodi Askari Anayechukua Rushwa

Image
Maelekezo hayo yametolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa #Geita, Safia Jongo akisisitiza imekuwa ni mazoea kwa Askari wa Usalama Barabarani wanapokagua na kubaini gari lina upungufu basi wanachukua fedha kwa madereva badala ya kuandika faini na kuchukua hatua Amesema “Rushwa ni adui wa haki, ni chanzo cha ongezeko la ajali, tusikubali. Mkitutumia ushahidi Askari akichukua rushwa kibarua chake kitakuwa ndio kimeishia hapo." Aidha, ameagiza kila basi la abiria kubandika namba za simu za Makamanda wa mikoa yote wanapopita ili abiria wanapoona sintofahamu ama ukiukwaji wa Sheria ya Barabarani watoe taarifa kwa haraka from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/iDhxPuK via IFTTT

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Image
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili ambapo kwanza amemteua Stephen Wassira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA). Wassira ameteuliwa kwa kipindi cha pili cha miaka minne baada ya kipindi cha kwanza kumalizika. Pili, amemteua Dkt. Fidelice Simbagungile Mafumiko, kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali. Simbagungile naye ameteuliwa kwa kipindi kingine cha miaka mitano kitakachoanza Aprili 3, 2023. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/KFz5gXD via IFTTT

Msanii Loui Amlipa Milioni 45 Producer S2kizzy Kwa Ajili ya Nyimbo Kumi

Image
Msanii wa Muziki @itslouiagain Huwenda akawa Msanii wa kwanza kukitimiza kile alichokitangaza Mtaarishaji wa Muziki @s2kizzy kuwa Baada ya Mwezi wa Ramadhan atatengeneza kila Music audio moja kwa gharama ya Milioni 4.5. . Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Loui ameshare Mawasiliano yake na #s2kizzy yakionesha kuwa Amemlipa Kiasi cha Milioni 45 kwa ajili ya kuandaa Ngoma 10. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/dRrDKMs via IFTTT

Ripoti ya pili ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air Yazua Mengine

Image
Ripoti ya pili ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyoanguka Ziwa Victoria mkoani Kagera na kuua watu 19 ambayo imetolewa na Taasisi ya Uchunguzi wa Ajali za Ndege (AAIB) chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa waongozaji wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza waliwajulisha marubani wa ndege hiyo na kuwashauri kwenda kutua Mwanza lakini wao waliamua kutua Bukoba. Mkurugenzi Msaidizi wa Uchunguzi wa Ajali za Ndege, Redemptus Bugumola amesema ripoti hiyo ni tofauti na ripoti iliyotolewa Novemba 23 mwaka jana ambapo amebainisha kuwa uchunguzi umefanyika kwa kina ukijumuisha vinasa sauti vilivyokuwa katika ndege hiyo. Ripoti hiyo inaeleza kuwa wakati ndege ikikaribia kutua Bukoba ilisikika sauti (alarm) mara tatu ikiwaonya marubani kuwa wako karibu kugusa ardhi lakini wachunguzi wanasema marubani hawakufanya lolote, huku sauti za majadiliano ndani ya chumba cha marubani zilirekodiwa ambapo rubani msaidizi alisikika akipaza sauti mara mbili ya kumtaka rubani mkuu kuach...

Bondia Karim Mandonga Apima Uzito, Kupanda Ulingoni leo dhidi ya Lukyamuzi

Image
 Awali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan aliahidi kuizawadia timu ya Taifa 'Taifa Stars' Tsh Milioni 500 kama itafanikiwa kufuzu fainali za michuano ya Afcon 2023 zitakazofanyika huko Ivory Coast Jana baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo uliopigwa huko Misri, Rais Samia ameongeza bonas kwa Stars Katika michezo mitatu iliyobaki, Stars itavuna Tsh Milioni 10 kwa kila bao watakalofunga Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuanzia mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda ambao utapigwa Jumanne, Tsh Milioni 10 zitaanza kutolewa kwa kila bao la Stars Rais Samia anatoa Tsh Milioni 5 kwa timu za Simba na Yanga kwa kila bao wanalofunga kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika Takribani Tsh Milioni 85 zimetolewa katika mechi tano za hatua ya makundi ambazo Simba na Yanga wamecheza mpaka sasa from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bhk3NdB via IFTTT

Mama Samia Aongeza Dau Mabao Kimataifa sasa Kila Goli Milioni 10

Image
Awali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan aliahidi kuizawadia timu ya Taifa 'Taifa Stars' Tsh Milioni 500 kama itafanikiwa kufuzu fainali za michuano ya Afcon 2023 zitakazofanyika huko Ivory Coast Jana baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo uliopigwa huko Misri, Rais Samia ameongeza bonas kwa Stars Katika michezo mitatu iliyobaki, Stars itavuna Tsh Milioni 10 kwa kila bao watakalofunga Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuanzia mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda ambao utapigwa Jumanne, Tsh Milioni 10 zitaanza kutolewa kwa kila bao la Stars Rais Samia anatoa Tsh Milioni 5 kwa timu za Simba na Yanga kwa kila bao wanalofunga kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika Takribani Tsh Milioni 85 zimetolewa katika mechi tano za hatua ya makundi ambazo Simba na Yanga wamecheza mpaka sasa from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vRGIHTz via IFTTT

Wasiliana na Maalim JUMA, Mwenye Maombezi Yenye Maajabu na Wengi Wamefanikiwa Kwa Karama na Dua zake

Image
Maalim juma Sasa yupo hapa Tanzania anatoa msaada kwa watu wote wadini zote nakabila zote nawajinsia wote, Maalim Juma nibingwa wadua natiba Asilia anatoa uchawi vifungo mikosi nuksi matego mabalaa yote pia anadawa yabiashara kuvuta wateja nakuondoa chuma ulete wanaoiba pesa kwa njia Takeza au uchawi pia ana dawa yakuondoa migogoro kazini napia kuaponyesha vichaa walioshindikana Na wale wenye maradhi sugu pia wasikate tamaa kwa Maalim Juma yote yatakwisha kwa uwezo wa Mungu kwa ufupi mtafute Maalim Juma umuulize au akusaidie kwa chochote unachokihitaji Mpigie muda wowote atakupokelea Simu yeye mwenyewe au wasaidizi wake . Namba anazotumia Maalim Juma kwa Whatsapp +255675322429 au +255788150485 kwahiyo Acha kuteseka Acha kukata tamaa Acha kuongopewa nakupotezewa muda, muone Sasa Maalim Juma akusaidie kwa shida mbalimbali zinazokusumbua wabillahi tawfiq. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ZMEVSaW via IFTTT

Mange Kimambi Amshukia Mke wa Mojay "Yule Dada Kuna Siku Yatamkuta Hana Akili Hata Kidogo"

Image
Ameandika Mange Kimambi: Eti Moj hakumpiga mtoto? Asingempiga mtoto, mtoto angechukuliwa na ustawi wa jamii mpaka leo hii? Kesi iko mahakamani mpaka sasa hivi bado mahakamani inajaribu kuamua mtoto aende wapi. . Ingekuwa mtoto kadondoka tu akaumia angechukuliwa na serikali?? Mtoto kaondolewa kwenye nyumba ya Moj. . Mke wa Moj hana akili hata moja. . Alafu anapigana vita za Moj why? Anyways, nawahakikishia yule dada kuna siku yatamkuta tu, jasiri haachi asili. Na sio kwamba hayajamkuta tayari. Yashamkuta mengi tu ila ni vile yule ni wale wanawake wakiTnzania wanaaoona ndoa ni muhimu kuliko kitu chochote duniani. Mwanamke ana paka hina anashindwa kulipa, madeni kila kona. . Mmeshindwa vita na Giggy we na mmeo ndo maana mkakimbilia polisi. Mnamchokonoaga Giggy wenyewe this time kawakalieni kooni mmekimbia polisi? We na mmeo wote masnitchi. Si mlikuwa mnachambana na Gigy siku zote sasa leo imekuwaje mkakimbilia polisi? Ukiona unachambana na mtu muda mrefu then suddenly unakim...

Stars yaichapa Cranes ugenini, kituo kifuatacho kwa Mkapa

Image
Dar es Saalam. Timu ya taifa ya Tanzania imeibuka na ushindi wa bao 1-0, ugenini mbele ya Uganda katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon 2023), zitakazofanyika nchini Ivory Coast mwaka huu. Katika mechi hiyo ya kwanza kwa kocha mpya wa Stars, Adel Amrouche bao pekee na la ushindi kwa Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 68 akimalizia pasi safi ya Dickson Job aliyekuwa aliyecheza eneo la beki wa kulia. Katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo, timu zote zilicheza kwa kushambulia kwa kushitukiza lakini hadi dakika 45 zinamalizika matokeo yalikuwa 0-0. Uganda iliingia kipindi cha pili kwa kufanya mabadiliko matatu ya pamoja wakitoka Farouk Miya, Fahad Bayo, na Siraje Ssentamu na kuingia Isma Mugulusi, Steven Sserwadda, ambaye aliumia dakika 10 baadae na kutolewa nafasi yake ikichukuliwa na Allan Okello. Mabadiliko hayo yaliyolenga kushambulia, yalilipwa na kocha wa Stars Amrouche ambapo dakika ya 57 naye alimtoa mshambuliaji Hamis Said Jr na ku...

Mayele Ashinda Goli la Wiki Shirikisho

Image
Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ameibuka mshindi wa goli la wiki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, raundi ya tano Mayele ameshinda tuzo hiyo kupitia goli alilofunga kwenye mchezo dhidi ya US Monastir uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 Lilikuwa bao la pili akipiga shuti kali baada ya kupokea pasi murua kutoka kwa Kennedy Musonda akiwa nje kidogo ya 18 Lilikuwa bao lake la tatu kwenye hatua ya makundi michuano ya kombe Shirikisho barani Afrika from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/IcB0XZ1 via IFTTT

Beyonce na Adidas Biashara Imevunjika Baada ya Kupata Hasara Kubwa

Image
Beyonce na Adidas wamefikia makubaliano ya kumaliza ushirikiano wao Kibiashara kufuatia kutofanya vizuri kwa bidhaa za Mwanamuziki huyo sokoni. Ripoti ya mauzo ya mwaka jana inaonesha Adidas waliitazama ‘Ivy Park Clothing’ kuingiza kiasi cha ($250 million) kwa mwaka 2022 lakini bidhaa hizo ziliangukia pua na kuingiza ($40 million) pekee. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vO0BfbQ via IFTTT

Soma Athari za Jini Mahaba Katika Ndoa au Mahusiano

Image
ATHARI ZA JINI MAHABA KATIKA NDOA AU MAHUSIANO Dalili zake Mwanaume au Mwanamke kukasirika bila sababu. Kuto Sikia Hamu ya TENDO la NDOA iwe Kwa mumeo, Mkeo au Mpenzi wako. Mpenzi wako akikuona ANAKUCHUKIA tu Ukiongea kitu kinakuwa KIBAYA kwake Akiwa mbali na wewe MNAELEWANA Mara nyengine HUKUTUKANA bila sababu za msingi na wewe hupandwa na hasira UNAMCHUKIA. Ukifanya nae tendo la NDOA husikii RAHA anachelewa KUSIMAMISHA pia. Akimaliza tendo la NDOA hataki KUGUSWA tena mkiwa kitandani. Mkifanya TENDO wala hataki mfanye ROMANCE anapanda tu amalize. UKICHEPUKA nnje unajisikia RAHA ukirudi nyumbani mnaongea vizuri na MPENZI wako au MKEO au MUMEO. Ratiba ya KULA nyumbani inabadilika au HALI kabisa. Mwanamke/MWANAUME anakuwa MKALI sana KIBURI kila saa anawapenda MARAFIKI zake zaidi ndio anao WASIKILIZA kuliko WEWE. Yapo mambo mengi sana Endelea Kufatilia Page ya Instagram Kwa Makala Nyingi TOFAUTI TOFAUTI kama hizi na Nyingine... WASILIANA na Maalim Ally Uji...

John Bocco Kuwa Kocha wa Simba...Issue Ipo Hivi

Image
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdalah 'Try Again' ni kama amemshtua nahodha John Bocco kugeukia upande wa ukocha ambao amekuwa akitamani Try Again aliyasema hayo mapema leo wakati Simba ikisaini mkataba wa kuendeleza na kukuza soka la vijana Try Again alibainisha kuwa Bocco mara kadhaa amekuwa akimwambia juu ya ndoto yake ya kuwa kocha na sasa njia kwake ni nyeupe kutokana na uwekezaji ambao umeanza kufanywa kwa vijana "Bocco nahodha wetu na wewe ndoto yako ya kuwa kocha wa vijana inatimia sasa maana mara kwa mara umekuwa ukiniambia kuhusu hilo, hivi karibuni tutaanza ujenzi wa akademi yetu na tayari niliongea na mwekezaji wetu," alisemaTry Again from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/tHY3KDd via IFTTT

Rubani Afichua Madhaifu Ajali ya Ndege "Siamini Kama Ndege iliishiwa Mafuta"

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Marubani Tanzania, Kapten Aziz Abdallah amesema haamini kama Ndege ya Precision Air iliyopata ajali Mjini Bukoba Mkoani Kagera, ilikuwa haina mafuta ya kutosha na kusababisha ajali hiyo. Akizungumza na Azam TV jijini Dar es Salaam, Kapteni Aziz amesema ni kosa kubwa kwa Ndege yoyote Duniani kupata ajali kwasababu ya kuishiwa mafuta kwani uratibu wa usafiri wa anga huzingatia umbali na tahadhari, na endapo itatokea dharula ya hali ya hewa, hitilafu au ajali katika kiwanja cha ndege kusudiwa, Rubani hatatakiwa kutua kiwanjani hapo. Amesema, inapotokea hali ya dharula kama iliyokuwa katika mazingira ya Ndege hiyo aina ya ATR, humlazimu Rubani kwenda kutua katika uwanja mwingine na hivyo kuwa na akiba ya mafuta ya kuwezesha kufika uwanja husika na uwezo wa kuzunguka kwa takribani dakika 30 hadi 45 za ziada. Mwenyekiti wa Chama cha Marubani Tanzania, Kapten Aziz Abdallah “Alikuwa na mafuta ya kutosha tangu anatoka Dar es Salaam, tumefundishwa kwamba hali ...

UBISHI WA MZE EWA KALIUA: Umemuona Clatous Chama?

Image
HADI leo ukiniuliza kwa nini Clatous Chama yuko Tanzania siwezi kukupa jibu la moja kwa moja. Nitajikanyaga kanyanga. Nitajigonga gonga tu. Mchezaji pekee mwenye utu na utulivu. Mchezaji mwenye akili kubwa sana ya soka. Watu wengi wanawahusudu sana wachezaji wenye mabao mengi, lakini Chama ni zaidi ya mabao. Anaufanya mpira kuonekana mchezo rahisi sana kwenye miguu yake. Unaweza kuhisi miguu yake ina sumaku. Kila mpira unapofika kwenye miguu yake unakutana na utu na utulivu. Ni wachezaji wachache wamekuwa na baraka hii ya miguu. Hadi leo ukiniuliza ni kwa nini Chama bado anacheza soka Tanzania siwezi kuwa na jibu la moja kwa moja. Kuna mahali nitajigongagonga tu. Kuna mahali nitajikanyaga. Chama aliwahi kusajiliwa na Klabu ya Al Ittihad Alexandria ya Misri, lakini aliondoka bila kucheza hata mechi moja rasmi. Chama amewahi kusajiliwa na RS Berkane ya Morocco, lakini aliondoka kama mchezaji aliyeshindwa. Ukitazama ufundi miguuni mwake na akili kubwa anayoitumia kwenye kufanya ...

Nchi kumi zenye furaha Duniani, wastani wa kuridhika washangaza

Image
Ripoti ya Dunia ya Furaha ya 2023, ambayo ilirekodi wastani wa kuridhika ulimwenguni na inasema azimio la mwanadamu la kuwa na furaha limekuwa ni la kustahimili na lenye hali ya kushangaza, kutoka kwa zaidi ya nchi 150, na Taifa la Finland lipo katika nafasi ya kwanza kwa mwaka wa sita mfululizo. Viwango vya Ripoti ya Dunia vya Furaha kwa kiasi kikubwa vinatokana na tathmini za maisha kutoka katika upiogaji wa Kura ya Dunia, ya Gallup huku vigezo sita muhimu vinavyokadiriwa ni mapato (GDP per capita), usaidizi wa kijamii, umri wa kuishi kiafya, uhuru wa kufanya maamuzi ya maisha, ukarimu, na mauala ya rushwa. Moja kati ya maswali ya kawaida la kupima ustawi wa watu ni – “Kwa ujumla, umeridhikaje na maisha yako ya sasa? na majibu hutegemea kipimo cha 0-10 (0 iokimaanisha kutoridhika kabisa, 10 ikiwakilisha kuridhika kabisa). Matokeo ya kila mwaka ya ripoti daima hutegemea wastani wa tathmini za maisha katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita ikihusisha ukosefu wa usawa wa fura...

Fahamu jiwe la ekari 7 lenye ramani ya bara la Afrika linalotumika katika ibada za kimila Tanzania

Image
Huwenda umepata kusikia maajabu mengi duniani hebu fahamu na hili, huko Mkoani Njombe Kusini Magharibi mwa nchi ya Tanzania kuna jiwe kubwa kwa jina la Lwiwala lenye ramani ya bara la Afrika. Jiwe hilo la ukubwa ekari 7.8 limejizoelea umaarufu mkubwa kutokana na kuwepo kwa ramani ya bara la Afrika ambayo haijachorwa na mtu. Katika mahojiano yake na Shirika la habari la BBC Mhifadhi Msitu wa Lwiwala, Yuda Masamaki amesema kuwa wakazi wa kijiji hicho hulitumia jiwe hilo katika ibada za kimila. ”Limepewa jina Lwiwala kwa sababu humeremeta nyakati za usiku, baadhi ya wakazi hutumia jiwe hilo kama madhabahu ya ibada zao za kimila,” amesema Yuda Masamaki ambaye ni Mhifadhi Msitu wa Lwiwala. Masamaki ameongeza ”Humu kuna ramani ya Afrika ambayo haijachongwa na wanakijiji, isipokuwa ilitambuliwa na wataalamu.” Jiwe hilo lenye ramani ya Afrika maarufu kama Lwiwala hutembelewa na watalii mbalimbali huku wageni wakitozwa dola 25 za Kimarekani huku wazawa dola mbili pekee. Bongo ...

Bondia Mtanzania Stumai Muki Amchapa Chimwemwe Banda wa Malawi Dar

Image
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Stumai Muki amefanikiwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake kutoka Malawi, Chimwemwe Banda katika pambano lisilokuwa la ubingwa la kimataifa ililopigwa kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar Katika pambano hilo ambalo limepigwa usiku wa Jumatano ambapo mabondia wengine wa Tanzania walioshinda mapambano ya kimataifa ni Grace Mwakamele aliyemchapa kwa pointi Luckia Ali wa Malawi wakati Zawadi kutaka naye akibonda kwa pointi Mphatso Metaudzu huku Nasra Msami akimmaliza vibaya Chiedza Homakoma kutoka Zimbabwe. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/O5DFQCP via IFTTT